Kisa nilicho kutana nacho huu mwaka katika kutafuta ajira

Taasisi nyingi ziache ukiritimba, ifike pahala ofisi ziwe eneo kubwa kwa ndani kila mmoja awe na meza yake pale waachiane tu space ya mita chache chache
 
Jamani!!! Jamani!!! Maofisi yametulia,majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia,na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini!!!!,let s go to the point mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja ivi sehemu Fulani,jamani nilikutana na kaka mmoja alinipokea vizuri tu, nikampa barua yangu na CV zangu lakini alionesha kutokuridhika na nilichokiandika ilibidi afanye kazi upya kuanzia kuandika barua hadi CV, tukiwa pale ofisini huku ananifanyia ile kazi huku ananilazimisha niende home kwake,na kunilazimisha kupima HIV ili niweze kumpa mzigo!!! nikamkatalia nikamwambia kaka kama hautaki kunisaidia basi naomba barua zangu niondoke watanisaidia wengine!!! Akaniambia Nina mda mrefu sija sex mke wangu yuko mbali naomba nipunguze kidogo zimejaa!!! Nikamwambia Mimi sihitaji naomba barua zangu,akaniambia kwaiyo wewe unataka Mimi nikusaidie lakini wewe kunisaidia Mimi hutaki nikamwambia nitafanya huu mchezo kwa watu wangapi katika maofisi wakati Mimi bado naendelea kutafuta kazi,ivi ninavyowaambia barua niliziacha na sijapata iyo nafasi ya kujitolea hadi Leo.ofisini kwake nilienda karibu Mara tatu akidai vitu havijakamilika na siku izo zote alinidai ngono.nilikosa furaha kila nilipokuwa nikirudi nyumbani. Basi nilivyoona miezi inakatika nikaenda sehemu nyingine nako nilisaidiwa na kupewa ela juu lakini nikaendelea kuombwa ngono kama kawaida mtu ananiambia njoo nyumbani nifulie nguo,Mara kuna kitu inabidi unitimizie,nikaenda tena ofisi nyingine ivo ivo oh Dada naomba unipe nafasi nimekuelewa sana nakupenda hii barua yako Leo hii hii napeleka sehemu husika!!! tena sehemu nyingine uyo sasa alikuwa manager akaniambia njoo ulipoti lakini naomba uwe na Mimi nitakufungulia na biashara pia,siwachafui watu jamani huu mwaka nimepitia mikasa tu!!! Nimekata hadi tamaa ya kuomba kujitolea,hapo tu kujitolea vipi nikiwaambia waniajiri? Yani nimechoka kuzunguka na No za hawa watu zote nimezifuta yani ni kuniomba ngono tu Hamna msaada wowote!!! nasemaje ofisini kuna mambo ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini acha kabisa.....
TANGAZO limekaa utamu[emoji848]
 
Ungeweka na kapicha kako bac
 
Kama walivosema wadau hapo, inawezekana mavazi yako yanashawishi uombwe rushwa ya ngono, jaribu kuvaa mavazi yasiyochora umbo lako (8) hasa unapokwenda kwenye maofisi ya watu.
Pia , unaweza kumchoma mmoja PCCB aipate fresh
 
Tatizo Ni hayo matiti yako yaliyochongoka.. uwe inavaa sidiria hata Kama huipendi
 
Ukute anamkataa bosi halafu analiwa na bodaboda mchafu..wanawake bhana ....ila Kama usemayo Ni kweli na sio Chai ya harua ,,Pongezi
 
Jamani!!! Jamani!!! Maofisi yametulia,majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia,na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini!!!!,let s go to the point mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja ivi sehemu Fulani,jamani nilikutana na kaka mmoja alinipokea vizuri tu, nikampa barua yangu na CV zangu lakini alionesha kutokuridhika na nilichokiandika ilibidi afanye kazi upya kuanzia kuandika barua hadi CV, tukiwa pale ofisini huku ananifanyia ile kazi huku ananilazimisha niende home kwake,na kunilazimisha kupima HIV ili niweze kumpa mzigo!!! nikamkatalia nikamwambia kaka kama hautaki kunisaidia basi naomba barua zangu niondoke watanisaidia wengine!!! Akaniambia Nina mda mrefu sija sex mke wangu yuko mbali naomba nipunguze kidogo zimejaa!!! Nikamwambia Mimi sihitaji naomba barua zangu,akaniambia kwaiyo wewe unataka Mimi nikusaidie lakini wewe kunisaidia Mimi hutaki nikamwambia nitafanya huu mchezo kwa watu wangapi katika maofisi wakati Mimi bado naendelea kutafuta kazi,ivi ninavyowaambia barua niliziacha na sijapata iyo nafasi ya kujitolea hadi Leo.ofisini kwake nilienda karibu Mara tatu akidai vitu havijakamilika na siku izo zote alinidai ngono.nilikosa furaha kila nilipokuwa nikirudi nyumbani. Basi nilivyoona miezi inakatika nikaenda sehemu nyingine nako nilisaidiwa na kupewa ela juu lakini nikaendelea kuombwa ngono kama kawaida mtu ananiambia njoo nyumbani nifulie nguo,Mara kuna kitu inabidi unitimizie,nikaenda tena ofisi nyingine ivo ivo oh Dada naomba unipe nafasi nimekuelewa sana nakupenda hii barua yako Leo hii hii napeleka sehemu husika!!! tena sehemu nyingine uyo sasa alikuwa manager akaniambia njoo ulipoti lakini naomba uwe na Mimi nitakufungulia na biashara pia,siwachafui watu jamani huu mwaka nimepitia mikasa tu!!! Nimekata hadi tamaa ya kuomba kujitolea,hapo tu kujitolea vipi nikiwaambia waniajiri? Yani nimechoka kuzunguka na No za hawa watu zote nimezifuta yani ni kuniomba ngono tu Hamna msaada wowote!!! nasemaje ofisini kuna mambo ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini acha kabisa.....
Nikweli kabisaa .tena imezidi jaman. Inakera sana
 
Shida ipo kwako dada, kwa Nini kila sehemu ukienda unaombwa ngono?? Unatakiwa ujichunguze, aidha wewe unavaa mavazi ya mitego yanayoamsha hisia za wanaume ndo maana, hayo ni mavazi ya kikahaba unaenda nayo ofsini, jaribu kuvaa mavazi yenye heshima mtu akikuona atajua kuwa wewe ni mtu mwenye heshima zake hawezi kukutamkia maneno hayo, lakini ukienda umevaa mavazi ya kikahaba kila mmoja anakudharau pamoja na kuwa na elimu anaona Kama wewe ni Malaya tu!!! Ukijiheshimu na wewe utaheshimiwa mpendwa! Ila ukijirahisisha na wewe watakurahisisha
Mim napinga. Unakuta mtu kavaa smart kiofis nguo ndefu ya heshima lakin wap labda useme muonekano wake una attract
 
Lol...pole Nyie pisi kali ndio changamoto zenu hizo...Mimi nilivyomaliza chuo nafasi ya kwanza kwenda kuomba niliulizwa tu unaitwa nani,??nikaambiwa haya karibu nenda ofisi ile pale utawakuta na wenzako au unaweza kuanza jumatatu nikaanza kupiga mzigo the rest is history poleni pisi kali sura za mama na shepu za mashangazi zinawaponza.
 
Mim napinga. Unakuta mtu kavaa smart kiofis nguo ndefu ya heshima lakin wap labda useme muonekano wake una attract
Mungu hajakupa mwili wako uwe jaribu lako mpendwa, wanawake hasa waliosoma wengi wanavaa vibaya Sana, mnavaa nusu uchi, kama mwili wako unaattract wanaume basi wewe ni wakala wa shetani, hilo ni tatizo mpendwa, lazima ujiangalie maana Uumbaji wa Mungu umekamilika, Mungu hawezi kukupa mwili ambao utasababisha wengine waende motoni, ni wanadamu tunataka wenyewe, Kama mwili wako unavutia, vaa nguo inayofika miguu isiyoonyesha maungo yako ya ndani, alafu weka kilemba chako au vaa kama waislamu uone kama mtu atakutaka, atakayekutaka maanake yeye ndiyo mwenye matatizo, lakini sio kuvaa sket fupi Tena Ina mipasuo kama yote, au kuvaa kisuruali kimebana utafikiri ni taiti, yaani ukikaa mpaka uweke mkoba mapajani kufunika aibu! Alafu uwalaumu mabosi wako!! Ole wako, wewe mwanamke!

Luka 17:1
Akawaambia wanafunzi wake, Makwazo hayana budi kuja, lakini ole wake mtu yule ambaye yaja kwa sababu yake!

Luka 17:2
Ingemfaa zaidi mtu huyo jiwe la kusagia lifungwe shingoni mwake, akatupwe baharini, kuliko kumkosesha mmojawapo wa wadogo hawa.
 
Jamani!!! Jamani!!! Maofisi yametulia,majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia,na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini!!!!,let s go to the point mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja ivi sehemu Fulani,jamani nilikutana na kaka mmoja alinipokea vizuri tu, nikampa barua yangu na CV zangu lakini alionesha kutokuridhika na nilichokiandika ilibidi afanye kazi upya kuanzia kuandika barua hadi CV, tukiwa pale ofisini huku ananifanyia ile kazi huku ananilazimisha niende home kwake,na kunilazimisha kupima HIV ili niweze kumpa mzigo!!! nikamkatalia nikamwambia kaka kama hautaki kunisaidia basi naomba barua zangu niondoke watanisaidia wengine!!! Akaniambia Nina mda mrefu sija sex mke wangu yuko mbali naomba nipunguze kidogo zimejaa!!! Nikamwambia Mimi sihitaji naomba barua zangu,akaniambia kwaiyo wewe unataka Mimi nikusaidie lakini wewe kunisaidia Mimi hutaki nikamwambia nitafanya huu mchezo kwa watu wangapi katika maofisi wakati Mimi bado naendelea kutafuta kazi,ivi ninavyowaambia barua niliziacha na sijapata iyo nafasi ya kujitolea hadi Leo.ofisini kwake nilienda karibu Mara tatu akidai vitu havijakamilika na siku izo zote alinidai ngono.nilikosa furaha kila nilipokuwa nikirudi nyumbani. Basi nilivyoona miezi inakatika nikaenda sehemu nyingine nako nilisaidiwa na kupewa ela juu lakini nikaendelea kuombwa ngono kama kawaida mtu ananiambia njoo nyumbani nifulie nguo,Mara kuna kitu inabidi unitimizie,nikaenda tena ofisi nyingine ivo ivo oh Dada naomba unipe nafasi nimekuelewa sana nakupenda hii barua yako Leo hii hii napeleka sehemu husika!!! tena sehemu nyingine uyo sasa alikuwa manager akaniambia njoo ulipoti lakini naomba uwe na Mimi nitakufungulia na biashara pia,siwachafui watu jamani huu mwaka nimepitia mikasa tu!!! Nimekata hadi tamaa ya kuomba kujitolea,hapo tu kujitolea vipi nikiwaambia waniajiri? Yani nimechoka kuzunguka na No za hawa watu zote nimezifuta yani ni kuniomba ngono tu Hamna msaada wowote!!! nasemaje ofisini kuna mambo ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini acha kabisa.....
Kwani we Ni bikra ,, umeliwa Mara ngap Tena bure sometime chips? Sasa unashindwa nini toa mzigo we ndo unajitakia kuendelea kukaa bila kazi
 
Uzuri unatambua kuwa wanaomba ngono. Uchaguzi ni wako, NDIYO au HAPANA.

Don't be cheap. Know your value na utapata unachostahili
 
Pole Dada, Uzi umejaa wapiga punyeto....
Ndio maana tunafananishwa na minyani ya porini kila kona ya dunia...
 
Back
Top Bottom