Kisa nilicho kutana nacho huu mwaka katika kutafuta ajira

Mm nadhani tatizo limeanzia hapo chini kwenye huo uzi wako

Kinaonekanaa kiongo kiongo hiki
 
Hebu tupia kapicha kako kwanzaa
Haiwezekani woote hao baada ya kukuona tuu mawazo yakahamia kwenye naniliuuu
Huwenda umebarikiwa Dadaaa
 
Sio Kila snakuambia wewe mzuri basi unaenda sex nae.

Wanawake wenye misimsmo Wachache sana.

Ungewapa ngono wangekutema pia

Sisi wanaume tukishapizi huwa tunawaona Wanawake vinyamkera Fulani hivi[emoji1] yaani kama takataka hasa Hawa cheap na tusio na mapenzi nao ila tuliwatamani.
 
Huu ni utamaduni wa wanaume wengi wa Tanzania. Kuja kuondoa hii tabia itabidi nguvu za ziada zitumike. BTW ni vizuri muwe mnaweka majina yao hadharani ili kujaribu kupunguza hii tabia. Si ajabu hata ukienda TAKUKURU nako ukakumbana na watu wa aina hii. Siku nyingine fanya hivi: tegesha simu au nunua kitu cha kurekodi. Rekodi mazungumzo na uyaweke hadharani eg hapa. Taja jina lake, ofisi na siku. Hili litasaidia sana kupunguza huu ujinga.
Ni ushauri mzuri, lakini utamuondoa kwenye uso wa dunia mapema sanaaaa
 
Jamani!!! Jamani!!! Maofisi yametulia,majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia,na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini!!!!,let s go to the point mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja ivi sehemu Fulani,jamani nilikutana na kaka mmoja alinipokea vizuri tu, nikampa barua yangu na CV zangu lakini alionesha kutokuridhika na nilichokiandika ilibidi afanye kazi upya kuanzia kuandika barua hadi CV, tukiwa pale ofisini huku ananifanyia ile kazi huku ananilazimisha niende home kwake,na kunilazimisha kupima HIV ili niweze kumpa mzigo!!! nikamkatalia nikamwambia kaka kama hautaki kunisaidia basi naomba barua zangu niondoke watanisaidia wengine!!! Akaniambia Nina mda mrefu sija sex mke wangu yuko mbali naomba nipunguze kidogo zimejaa!!! Nikamwambia Mimi sihitaji naomba barua zangu,akaniambia kwaiyo wewe unataka Mimi nikusaidie lakini wewe kunisaidia Mimi hutaki nikamwambia nitafanya huu mchezo kwa watu wangapi katika maofisi wakati Mimi bado naendelea kutafuta kazi,ivi ninavyowaambia barua niliziacha na sijapata iyo nafasi ya kujitolea hadi Leo.ofisini kwake nilienda karibu Mara tatu akidai vitu havijakamilika na siku izo zote alinidai ngono.nilikosa furaha kila nilipokuwa nikirudi nyumbani. Basi nilivyoona miezi inakatika nikaenda sehemu nyingine nako nilisaidiwa na kupewa ela juu lakini nikaendelea kuombwa ngono kama kawaida mtu ananiambia njoo nyumbani nifulie nguo,Mara kuna kitu inabidi unitimizie nikakataa pia,nikaenda tena ofisi nyingine ivo ivo oh Dada naomba unipe nafasi nimekuelewa sana nakupenda hii barua yako Leo hii hii napeleka sehemu husika!!! Nikaipotezea tena iyo sehemu hadi Leo sijafatilia,nikaenda tena sehemu nyingine uyo sasa alikuwa manager akaniambia njoo ulipoti lakini naomba uwe na Mimi nitakufungulia na biashara pia ikabidi nimwambie basi nimegairi nitatafuta sehemu nyingine,siwachafui watu jamani huu mwaka nimepitia mikasa tu!!! Nimekata hadi tamaa ya kuomba kujitolea,hapo tu kujitolea vipi nikiwaambia waniajiri? Yani nimechoka kuzunguka. No za hawa watu zote nimezifuta yani ni kuniomba ngono tu Hamna msaada wowote!!! nasemaje ofisini kuna mambo ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini acha kabisa.....
Ujengewe sanamu!. Nafurahi kusikia wanawake mnaotambua thamani ya utu wenu bado mpo!

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Huu ni utamaduni wa wanaume wengi wa Tanzania. Kuja kuondoa hii tabia itabidi nguvu za ziada zitumike. BTW ni vizuri muwe mnaweka majina yao hadharani ili kujaribu kupunguza hii tabia. Si ajabu hata ukienda TAKUKURU nako ukakumbana na watu wa aina hii. Siku nyingine fanya hivi: tegesha simu au nunua kitu cha kurekodi. Rekodi mazungumzo na uyaweke hadharani eg hapa. Taja jina lake, ofisi na siku. Hili litasaidia sana kupunguza huu ujinga.
Hata sikumbuki ni lini nimemsaidia demu in anticipation or in exchange of sexual pleasure. Kwangu huu nao ni ukatili wa kimtindo. Kwanza ukimsaidia vizuri yeye mwenyewe anaweza aka appreciate and that's enough.
 
Jamani!!! Jamani!!! Maofisi yametulia,majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia,na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini!!!!,let s go to the point mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja ivi sehemu Fulani,jamani nilikutana na kaka mmoja alinipokea vizuri tu, nikampa barua yangu na CV zangu lakini alionesha kutokuridhika na nilichokiandika ilibidi afanye kazi upya kuanzia kuandika barua hadi CV, tukiwa pale ofisini huku ananifanyia ile kazi huku ananilazimisha niende home kwake,na kunilazimisha kupima HIV ili niweze kumpa mzigo!!! nikamkatalia nikamwambia kaka kama hautaki kunisaidia basi naomba barua zangu niondoke watanisaidia wengine!!! Akaniambia Nina mda mrefu sija sex mke wangu yuko mbali naomba nipunguze kidogo zimejaa!!! Nikamwambia Mimi sihitaji naomba barua zangu,akaniambia kwaiyo wewe unataka Mimi nikusaidie lakini wewe kunisaidia Mimi hutaki nikamwambia nitafanya huu mchezo kwa watu wangapi katika maofisi wakati Mimi bado naendelea kutafuta kazi,ivi ninavyowaambia barua niliziacha na sijapata iyo nafasi ya kujitolea hadi Leo.ofisini kwake nilienda karibu Mara tatu akidai vitu havijakamilika na siku izo zote alinidai ngono.nilikosa furaha kila nilipokuwa nikirudi nyumbani. Basi nilivyoona miezi inakatika nikaenda sehemu nyingine nako nilisaidiwa na kupewa ela juu lakini nikaendelea kuombwa ngono kama kawaida mtu ananiambia njoo nyumbani nifulie nguo,Mara kuna kitu inabidi unitimizie nikakataa pia,nikaenda tena ofisi nyingine ivo ivo oh Dada naomba unipe nafasi nimekuelewa sana nakupenda hii barua yako Leo hii hii napeleka sehemu husika!!! Nikaipotezea tena iyo sehemu hadi Leo sijafatilia,nikaenda tena sehemu nyingine uyo sasa alikuwa manager akaniambia njoo ulipoti lakini naomba uwe na Mimi nitakufungulia na biashara pia ikabidi nimwambie basi nimegairi nitatafuta sehemu nyingine,siwachafui watu jamani huu mwaka nimepitia mikasa tu!!! Nimekata hadi tamaa ya kuomba kujitolea,hapo tu kujitolea vipi nikiwaambia waniajiri? Yani nimechoka kuzunguka. No za hawa watu zote nimezifuta yani ni kuniomba ngono tu Hamna msaada wowote!!! nasemaje ofisini kuna mambo ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini acha kabisa.....

Muhimu: Fanya utafiti kidogo kabla ya kwenda kwenye taasisi kujua HR ni nani na anafikikaje;
Pamoja na kuwa kuna hiyo changamoto, kuna uwezekano umewapa watu barua yako ya maombi ambao hawahusiki na rasmali watu.....
Muhimu pia: hakikisha umeandika barua na CV nzuri ili usitoe nafasi sijui ya kusaidiwa kuandika????
Ila hii tabia ya kuendekeza Ngono hata kwa vitu vya msingi ni mbaya sana na naamini hata adhabu yake kwa Mungu ni kubwa; Wanaume wa namna hiyo wajue tu wanaupalilia moto!!!!
 
Hata sikumbuki ni lini nimemsaidia demu in anticipation or in exchange of sexual pleasure. Kwangu huu nao ni ukatili wa kimtindo. Kwanza ukimsaidia vizuri yeye mwenyewe anaweza aka appreciate and that's enough.

Mriga....!!

Happy New Year...!!!😉

I know the year is ending, but...... t's been long...

Good to see you here.

Happy Wednesday 😊.
 
Kama bado unatafuta kazi njoo PM nikupe dawa wakikuomba ngono tu wewe wakubalie ila unawaambia kabisa na wao kutawala bao watakazo kupiga ww,ikiwa tatu na yeye lazima alambwe tatu bila.
Hao wangese wamezidi sana kusambaza Ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa kwa mabinti wa watu,wako maofisini kuwaza kunyanduana tu.
Narudia tena dawa yao ninayo.
 
Jamani!!! Jamani!!! Maofisi yametulia,majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia,na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini!!!!,let s go to the point mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja ivi sehemu Fulani,jamani nilikutana na kaka mmoja alinipokea vizuri tu, nikampa barua yangu na CV zangu lakini alionesha kutokuridhika na nilichokiandika ilibidi afanye kazi upya kuanzia kuandika barua hadi CV, tukiwa pale ofisini huku ananifanyia ile kazi huku ananilazimisha niende home kwake,na kunilazimisha kupima HIV ili niweze kumpa mzigo!!! nikamkatalia nikamwambia kaka kama hautaki kunisaidia basi naomba barua zangu niondoke watanisaidia wengine!!! Akaniambia Nina mda mrefu sija sex mke wangu yuko mbali naomba nipunguze kidogo zimejaa!!! Nikamwambia Mimi sihitaji naomba barua zangu,akaniambia kwaiyo wewe unataka Mimi nikusaidie lakini wewe kunisaidia Mimi hutaki nikamwambia nitafanya huu mchezo kwa watu wangapi katika maofisi wakati Mimi bado naendelea kutafuta kazi,ivi ninavyowaambia barua niliziacha na sijapata iyo nafasi ya kujitolea hadi Leo.ofisini kwake nilienda karibu Mara tatu akidai vitu havijakamilika na siku izo zote alinidai ngono.nilikosa furaha kila nilipokuwa nikirudi nyumbani. Basi nilivyoona miezi inakatika nikaenda sehemu nyingine nako nilisaidiwa na kupewa ela juu lakini nikaendelea kuombwa ngono kama kawaida mtu ananiambia njoo nyumbani nifulie nguo,Mara kuna kitu inabidi unitimizie nikakataa pia,nikaenda tena ofisi nyingine ivo ivo oh Dada naomba unipe nafasi nimekuelewa sana nakupenda hii barua yako Leo hii hii napeleka sehemu husika!!! Nikaipotezea tena iyo sehemu hadi Leo sijafatilia,nikaenda tena sehemu nyingine uyo sasa alikuwa manager akaniambia njoo ulipoti lakini naomba uwe na Mimi nitakufungulia na biashara pia ikabidi nimwambie basi nimegairi nitatafuta sehemu nyingine,siwachafui watu jamani huu mwaka nimepitia mikasa tu!!! Nimekata hadi tamaa ya kuomba kujitolea,hapo tu kujitolea vipi nikiwaambia waniajiri? Yani nimechoka kuzunguka. No za hawa watu zote nimezifuta yani ni kuniomba ngono tu Hamna msaada wowote!!! nasemaje ofisini kuna mambo ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini acha kabisa.....
ALLAAH AKUBAARIK...

NIKUAHIDI NA NIKUPE DHAMANA... NAKUHAKIKISHIA HIYO JUHUDI HAITAPOTEA BURE... IPO SIKU ALLAAH ATAKULIPA...

NA MALIPO YAKE NI MAKUBWA KULIKO UNAVYOVIKOSA...

ALLAAH HAWEZI AKAKUACHA UKITEKELEZA AMRI ZAKE ALAFU AKUACHE TU UDHALILIKE...
 
Jamani!!! Jamani!!! Maofisi yametulia,majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia,na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini!!!!,let s go to the point mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja ivi sehemu Fulani,jamani nilikutana na kaka mmoja alinipokea vizuri tu, nikampa barua yangu na CV zangu lakini alionesha kutokuridhika na nilichokiandika ilibidi afanye kazi upya kuanzia kuandika barua hadi CV, tukiwa pale ofisini huku ananifanyia ile kazi huku ananilazimisha niende home kwake,na kunilazimisha kupima HIV ili niweze kumpa mzigo!!! nikamkatalia nikamwambia kaka kama hautaki kunisaidia basi naomba barua zangu niondoke watanisaidia wengine!!! Akaniambia Nina mda mrefu sija sex mke wangu yuko mbali naomba nipunguze kidogo zimejaa!!! Nikamwambia Mimi sihitaji naomba barua zangu,akaniambia kwaiyo wewe unataka Mimi nikusaidie lakini wewe kunisaidia Mimi hutaki nikamwambia nitafanya huu mchezo kwa watu wangapi katika maofisi wakati Mimi bado naendelea kutafuta kazi,ivi ninavyowaambia barua niliziacha na sijapata iyo nafasi ya kujitolea hadi Leo.ofisini kwake nilienda karibu Mara tatu akidai vitu havijakamilika na siku izo zote alinidai ngono.nilikosa furaha kila nilipokuwa nikirudi nyumbani. Basi nilivyoona miezi inakatika nikaenda sehemu nyingine nako nilisaidiwa na kupewa ela juu lakini nikaendelea kuombwa ngono kama kawaida mtu ananiambia njoo nyumbani nifulie nguo,Mara kuna kitu inabidi unitimizie nikakataa pia,nikaenda tena ofisi nyingine ivo ivo oh Dada naomba unipe nafasi nimekuelewa sana nakupenda hii barua yako Leo hii hii napeleka sehemu husika!!! Nikaipotezea tena iyo sehemu hadi Leo sijafatilia,nikaenda tena sehemu nyingine uyo sasa alikuwa manager akaniambia njoo ulipoti lakini naomba uwe na Mimi nitakufungulia na biashara pia ikabidi nimwambie basi nimegairi nitatafuta sehemu nyingine,siwachafui watu jamani huu mwaka nimepitia mikasa tu!!! Nimekata hadi tamaa ya kuomba kujitolea,hapo tu kujitolea vipi nikiwaambia waniajiri? Yani nimechoka kuzunguka. No za hawa watu zote nimezifuta yani ni kuniomba ngono tu Hamna msaada wowote!!! nasemaje ofisini kuna mambo ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini acha kabisa.....
Kazi ipo.. pole sana
 
Kwa kweli siku hizi kwenye ofisi hizi suala la ngono limekuwa tatizo sana wewe umeenda kuomba kazi umeombwa rushwa ya ngono. Hilo haliishii hapo utakutana nalo wakati wa kwenda training, kupanda cheo, kupata baadhi ya fursa ndani au nje ya ofisi. Nina rafiki wa karibu wa kike yuko kwenye chama cha siasa anatafuta nafasi yaani kuna siku alikuwa ananisimulia anayokutana nayo nilijisikia vibaya sana yaani mpaka niliwaza rais wa awamu ya sita hadi amefika hapo amekutana na changamoto kiasi gani.
JInsi ya kuepuka rushwa ya ngono:
1. Tazama uvaaji wako kama ni mzuri ingawa kuna wadada wana maumbo makubwa. Kama una umbo la hatari vaa hijab ambayo haijachakachuliwa au nguo pana sana.
2. Epuka kukutana nje ya ofisi au mahali pa siri 0na anayekuahidi nafasi ya kazi au cheo.
3. Uwe tayari kukosa nafasi kwa kuwa na msimamo ili kulinda afya na utu wako ( hapa ni magumu hasa kama una dhiki)
NB: narudia tena sasa hivi ofisi zimejaa ngono balaa hadi mabosi wa kike ( mama zetu) wanatumikisha vijana Kingono.
 
Umeenda kutafuta kazi ukiwa na mapozi ya kimahaba na vinguo za mitego unategemea kikupate nn?.
Nenda katafute kazi ukiwa na sura ya kazi siyo sura na vinguo vya mapenzi. Wadada wengi kwa hili mnafeli sana, mnatuingiza vijana wa kiume kwenye mitego tusiyoitarajia japo ni kosa kisheria kuomba rushwa ya ngono.
Nakumbuka siku moja nipo kazini katikati ya mwaka huu akaja mdada anatafuta kazi, nguo alizokuwa amevaa ilibidi kila mmoja wetu aliyekuwa pale ainamishe kichwa chini kuepuka astagafrilah iliyokuwa mbele yake. Boss wangu ni mtu wa makamo kidogo ilibidi amwambie nafasi zimejaa japo nafasi zilikuwepo tena tatu(3).
 
Hadi uombwe rushwa ya ngono ofisi zaidi ya tatu angalia pia shida huenda ikawa kwako.
 
Back
Top Bottom