Wadada bwana!!!! Kama una boyfriend na hamjaoana, na unamtegeshea kichupa anajisaidia, kwa Mungu hiyo ni dhambi (kama ndicho unachoogopa). So kumpa huyo jamaa wa kibaruani ni extension tu ya dhambi unayofanya na your boyfriend. Kama unaogopa magonjwa, ndo keshakwambia ukapime. Kuliko kuendelea kumpa bure boyfriend wako, achia for the first time kikulipe. Ila hakikisha kinakulipa kweli.
NB: KAMA KAWAIDA YA SIKU ZOTE, USHAURI UNAWEZA KUCHUKULIWA AU KUACHWA. HUU USHAURI NISINGEUTOA KWA MY WIFE MPENDWA
Kuna MAHALI napafukuzia nikifanikiwa nitakushtua,sina tamaa za ngono wala muda Zaid nitakwambia mshukuru MunguJamani, jamani, ofisi zimetulia, majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia, na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini?! Lets go to the point,
Mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja hivi sehemu fulani, jamani nilikutana na kaka mmoja alinipokea vizuri tu, nikampa barua yangu na CV zangu lakini alionesha kutokuridhika na nilichokiandika, ilibidi afanye kazi upya kuanzia kuandika barua hadi CV.
Tukiwa pale ofisini huku ananifanyia ile kazi huku ananilazimisha niende nyumbani kwake, na kunilazimisha kupima HIV ili niweze kumpa mzigo! Nikamkatalia, nikamwambia kaka kama hautaki kunisaidia basi naomba barua zangu niondoke watanisaidia wengine!
Akaniambia nina mda mrefu sijafanya mapenzi, mke wangu yuko mbali naomba nipunguze kidogo zimejaa! Nikamwambia mimi sihitaji, naomba barua zangu. Akaniambia kwahiyo wewe unataka mimi nikusaidie lakini wewe kunisaidia mmi hutaki?
Nikamwambia nitafanya huu mchezo kwa watu wangapi katika maofisi wakati mimi bado naendelea kutafuta kazi? Hivi ninavyowaambia barua niliziacha na sijapata hiyo nafasi ya kujitolea hadi leo.
Ofisini kwake nilienda karibu mara tatu akidai vitu havijakamilika na siku hizo zote alinidai ngono. Nilikosa furaha kila nilipokuwa nikirudi nyumbani. Basi nilivyoona miezi inakatika nikaenda sehemu nyingine, nako nilisaidiwa na kupewa hela juu, lakini nikaendelea kuombwa ngono kama kawaida.
Mtu ananiambia njoo nyumbani nifulie nguo, mara kuna kitu inabidi unitimizie, nikakataa pia. Nikaenda tena ofisi nyingine hivyo hivyo, oh dada naomba unipe nafasi, nimekuelewa sana, nakupenda, hii barua yako leo hii hii napeleka sehemu husika. Nikaipotezea tena hiyo sehemu hadi leo sijafatilia.
Nikaenda tena sehemu nyingine huyo sasa alikuwa Meneja, akaniambia njoo uripoti lakini naomba uwe na mimi, nitakufungulia na biashara pia! Ikabidi nimwambie basi nimegairi nitatafuta sehemu nyingine.
Siwachafui watu jamani huu mwaka nimepitia mikasa tu. Nimekata hadi tamaa ya kuomba kujitolea, hapo tu kujitolea vipi nikiwaambia waniajiri? Yani nimechoka kuzunguka. Namba za hawa watu zote nimezifuta, yaani ni kuniomba ngono tu hamna msaada wowote.
Nasemaje, ofisini kuna mambo! Ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini, acha kabisa.
Bongo kuna ukiritimba wa hali ya juu. Huko takukuru nako wapenda rushwa wapo kibao.Huu ni utamaduni wa wanaume wengi wa Tanzania. Kuja kuondoa hii tabia itabidi nguvu za ziada zitumike. BTW ni vizuri muwe mnaweka majina yao hadharani ili kujaribu kupunguza hii tabia. Si ajabu hata ukienda TAKUKURU nako ukakumbana na watu wa aina hii. Siku nyingine fanya hivi: tegesha simu au nunua kitu cha kurekodi. Rekodi mazungumzo na uyaweke hadharani eg hapa. Taja jina lake, ofisi na siku. Hili litasaidia sana kupunguza huu ujinga.
Happy New Year to you too. Hivi ni kweli mwaka huu hatujaonana humu kweli?!!
Are you in Dar or ....?
Tz ni uoza!Jamani, jamani, ofisi zimetulia, majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia, na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini?! Lets go to the point,
Mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja hivi sehemu fulani, jamani nilikutana na kaka mmoja alinipokea vizuri tu, nikampa barua yangu na CV zangu lakini alionesha kutokuridhika na nilichokiandika, ilibidi afanye kazi upya kuanzia kuandika barua hadi CV.
Tukiwa pale ofisini huku ananifanyia ile kazi huku ananilazimisha niende nyumbani kwake, na kunilazimisha kupima HIV ili niweze kumpa mzigo! Nikamkatalia, nikamwambia kaka kama hautaki kunisaidia basi naomba barua zangu niondoke watanisaidia wengine!
Akaniambia nina mda mrefu sijafanya mapenzi, mke wangu yuko mbali naomba nipunguze kidogo zimejaa! Nikamwambia mimi sihitaji, naomba barua zangu. Akaniambia kwahiyo wewe unataka mimi nikusaidie lakini wewe kunisaidia mmi hutaki?
Nikamwambia nitafanya huu mchezo kwa watu wangapi katika maofisi wakati mimi bado naendelea kutafuta kazi? Hivi ninavyowaambia barua niliziacha na sijapata hiyo nafasi ya kujitolea hadi leo.
Ofisini kwake nilienda karibu mara tatu akidai vitu havijakamilika na siku hizo zote alinidai ngono. Nilikosa furaha kila nilipokuwa nikirudi nyumbani. Basi nilivyoona miezi inakatika nikaenda sehemu nyingine, nako nilisaidiwa na kupewa hela juu, lakini nikaendelea kuombwa ngono kama kawaida.
Mtu ananiambia njoo nyumbani nifulie nguo, mara kuna kitu inabidi unitimizie, nikakataa pia. Nikaenda tena ofisi nyingine hivyo hivyo, oh dada naomba unipe nafasi, nimekuelewa sana, nakupenda, hii barua yako leo hii hii napeleka sehemu husika. Nikaipotezea tena hiyo sehemu hadi leo sijafatilia.
Nikaenda tena sehemu nyingine huyo sasa alikuwa Meneja, akaniambia njoo uripoti lakini naomba uwe na mimi, nitakufungulia na biashara pia! Ikabidi nimwambie basi nimegairi nitatafuta sehemu nyingine.
Siwachafui watu jamani huu mwaka nimepitia mikasa tu. Nimekata hadi tamaa ya kuomba kujitolea, hapo tu kujitolea vipi nikiwaambia waniajiri? Yani nimechoka kuzunguka. Namba za hawa watu zote nimezifuta, yaani ni kuniomba ngono tu hamna msaada wowote.
Nasemaje, ofisini kuna mambo! Ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini, acha kabisa.
Mm nadhani tatizo limeanzia hapo chini kwenye huo uzi wako
Nina matiti madogo nisipovaa sidiria yanachongoka, nikivaa inaniumiza nifanyaje?
Nina maziwa madogo nisipovaa sidiria yanachongoka kwasababu hayajalala, kwahiyo chuchu zinasimama. Nikivaa hivyo najikuta tu sipo huru. Nikivaa sidiria kifua na mgongo vinauma kwani nailazimisha tu inasaidia nguo kukaa vizuri zaidi, na kutosimamisha chuchu. Nina miaka ishirini na kitu, nina...www.jamiiforums.com
Jamani, jamani, ofisi zimetulia, majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia, na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini?! Lets go to the point,
Mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja hivi sehemu fulani, jamani nilikutana na kaka mmoja alinipokea vizuri tu, nikampa barua yangu na CV zangu lakini alionesha kutokuridhika na nilichokiandika, ilibidi afanye kazi upya kuanzia kuandika barua hadi CV.
Tukiwa pale ofisini huku ananifanyia ile kazi huku ananilazimisha niende nyumbani kwake, na kunilazimisha kupima HIV ili niweze kumpa mzigo! Nikamkatalia, nikamwambia kaka kama hautaki kunisaidia basi naomba barua zangu niondoke watanisaidia wengine!
Akaniambia nina mda mrefu sijafanya mapenzi, mke wangu yuko mbali naomba nipunguze kidogo zimejaa! Nikamwambia mimi sihitaji, naomba barua zangu. Akaniambia kwahiyo wewe unataka mimi nikusaidie lakini wewe kunisaidia mmi hutaki?
Nikamwambia nitafanya huu mchezo kwa watu wangapi katika maofisi wakati mimi bado naendelea kutafuta kazi? Hivi ninavyowaambia barua niliziacha na sijapata hiyo nafasi ya kujitolea hadi leo.
Ofisini kwake nilienda karibu mara tatu akidai vitu havijakamilika na siku hizo zote alinidai ngono. Nilikosa furaha kila nilipokuwa nikirudi nyumbani. Basi nilivyoona miezi inakatika nikaenda sehemu nyingine, nako nilisaidiwa na kupewa hela juu, lakini nikaendelea kuombwa ngono kama kawaida.
Mtu ananiambia njoo nyumbani nifulie nguo, mara kuna kitu inabidi unitimizie, nikakataa pia. Nikaenda tena ofisi nyingine hivyo hivyo, oh dada naomba unipe nafasi, nimekuelewa sana, nakupenda, hii barua yako leo hii hii napeleka sehemu husika. Nikaipotezea tena hiyo sehemu hadi leo sijafatilia.
Nikaenda tena sehemu nyingine huyo sasa alikuwa Meneja, akaniambia njoo uripoti lakini naomba uwe na mimi, nitakufungulia na biashara pia! Ikabidi nimwambie basi nimegairi nitatafuta sehemu nyingine.
Siwachafui watu jamani huu mwaka nimepitia mikasa tu. Nimekata hadi tamaa ya kuomba kujitolea, hapo tu kujitolea vipi nikiwaambia waniajiri? Yani nimechoka kuzunguka. Namba za hawa watu zote nimezifuta, yaani ni kuniomba ngono tu hamna msaada wowote.
Nasemaje, ofisini kuna mambo! Ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini, acha kab
Pole sana dadaJamani, jamani, ofisi zimetulia, majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia, na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini?! Lets go to the point,
Mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja hivi sehemu fulani, jamani nilikutana na kaka mmoja alinipokea vizuri tu, nikampa barua yangu na CV zangu lakini alionesha kutokuridhika na nilichokiandika, ilibidi afanye kazi upya kuanzia kuandika barua hadi CV.
Tukiwa pale ofisini huku ananifanyia ile kazi huku ananilazimisha niende nyumbani kwake, na kunilazimisha kupima HIV ili niweze kumpa mzigo! Nikamkatalia, nikamwambia kaka kama hautaki kunisaidia basi naomba barua zangu niondoke watanisaidia wengine!
Akaniambia nina mda mrefu sijafanya mapenzi, mke wangu yuko mbali naomba nipunguze kidogo zimejaa! Nikamwambia mimi sihitaji, naomba barua zangu. Akaniambia kwahiyo wewe unataka mimi nikusaidie lakini wewe kunisaidia mmi hutaki?
Nikamwambia nitafanya huu mchezo kwa watu wangapi katika maofisi wakati mimi bado naendelea kutafuta kazi? Hivi ninavyowaambia barua niliziacha na sijapata hiyo nafasi ya kujitolea hadi leo.
Ofisini kwake nilienda karibu mara tatu akidai vitu havijakamilika na siku hizo zote alinidai ngono. Nilikosa furaha kila nilipokuwa nikirudi nyumbani. Basi nilivyoona miezi inakatika nikaenda sehemu nyingine, nako nilisaidiwa na kupewa hela juu, lakini nikaendelea kuombwa ngono kama kawaida.
Mtu ananiambia njoo nyumbani nifulie nguo, mara kuna kitu inabidi unitimizie, nikakataa pia. Nikaenda tena ofisi nyingine hivyo hivyo, oh dada naomba unipe nafasi, nimekuelewa sana, nakupenda, hii barua yako leo hii hii napeleka sehemu husika. Nikaipotezea tena hiyo sehemu hadi leo sijafatilia.
Nikaenda tena sehemu nyingine huyo sasa alikuwa Meneja, akaniambia njoo uripoti lakini naomba uwe na mimi, nitakufungulia na biashara pia! Ikabidi nimwambie basi nimegairi nitatafuta sehemu nyingine.
Siwachafui watu jamani huu mwaka nimepitia mikasa tu. Nimekata hadi tamaa ya kuomba kujitolea, hapo tu kujitolea vipi nikiwaambia waniajiri? Yani nimechoka kuzunguka. Namba za hawa watu zote nimezifuta, yaani ni kuniomba ngono tu hamna msaada wowote.
Nasemaje, ofisini kuna mambo! Ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini, acha kabisa.
Mbona kama sio mtu serious😹Ni kweli kabisa angalia na huu
Napenda kuvaa
Mimi ni ke mwenye umri wa miaka 25 ,ni mrefu wastani,maji ya kunde/chocolate colour mwembamba wastani ,napenda kuvaa jamani,lakini nikinunua nguo nikianza tu kuivaa sikawii kuichoka,nguo zangu ni za mtumba najua nikienda mtumbani na elfu 50 narudi na nguo nyingi kwa sh 4000_6000 lakini dukani...www.jamiiforums.com
Kwa msaada wa kisheria njoo inbox haraka usaidiwe.Jamani, jamani, ofisi zimetulia, majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia, na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini?! Lets go to the point,
Mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja hivi sehemu fulani, jamani nilikutana na kaka mmoja alinipokea vizuri tu, nikampa barua yangu na CV zangu lakini alionesha kutokuridhika na nilichokiandika, ilibidi afanye kazi upya kuanzia kuandika barua hadi CV.
Tukiwa pale ofisini huku ananifanyia ile kazi huku ananilazimisha niende nyumbani kwake, na kunilazimisha kupima HIV ili niweze kumpa mzigo! Nikamkatalia, nikamwambia kaka kama hautaki kunisaidia basi naomba barua zangu niondoke watanisaidia wengine!
Akaniambia nina mda mrefu sijafanya mapenzi, mke wangu yuko mbali naomba nipunguze kidogo zimejaa! Nikamwambia mimi sihitaji, naomba barua zangu. Akaniambia kwahiyo wewe unataka mimi nikusaidie lakini wewe kunisaidia mmi hutaki?
Nikamwambia nitafanya huu mchezo kwa watu wangapi katika maofisi wakati mimi bado naendelea kutafuta kazi? Hivi ninavyowaambia barua niliziacha na sijapata hiyo nafasi ya kujitolea hadi leo.
Ofisini kwake nilienda karibu mara tatu akidai vitu havijakamilika na siku hizo zote alinidai ngono. Nilikosa furaha kila nilipokuwa nikirudi nyumbani. Basi nilivyoona miezi inakatika nikaenda sehemu nyingine, nako nilisaidiwa na kupewa hela juu, lakini nikaendelea kuombwa ngono kama kawaida.
Mtu ananiambia njoo nyumbani nifulie nguo, mara kuna kitu inabidi unitimizie, nikakataa pia. Nikaenda tena ofisi nyingine hivyo hivyo, oh dada naomba unipe nafasi, nimekuelewa sana, nakupenda, hii barua yako leo hii hii napeleka sehemu husika. Nikaipotezea tena hiyo sehemu hadi leo sijafatilia.
Nikaenda tena sehemu nyingine huyo sasa alikuwa Meneja, akaniambia njoo uripoti lakini naomba uwe na mimi, nitakufungulia na biashara pia! Ikabidi nimwambie basi nimegairi nitatafuta sehemu nyingine.
Siwachafui watu jamani huu mwaka nimepitia mikasa tu. Nimekata hadi tamaa ya kuomba kujitolea, hapo tu kujitolea vipi nikiwaambia waniajiri? Yani nimechoka kuzunguka. Namba za hawa watu zote nimezifuta, yaani ni kuniomba ngono tu hamna msaada wowote.
Nasemaje, ofisini kuna mambo! Ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini, acha kabisa.
Pole sanaJamani, jamani, ofisi zimetulia, majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia, na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini?! Lets go to the point,