Kisa QNET, Walimu 8 wafukuzwa kazi Geita

sasa mwalimu wa lakini tatu, milioni nne ya kununulia saa au walter filter ili aingize Qnet, anaitoa wapi?....
Sasa wewe usiyeweza hata kuandika water ndo wa kudis walimu kweli[emoji16][emoji16]
 
Nielezeni vizuri ni nini hicho!??
 
Kuna siku ndugu yangu alinilaghai nikajikuta nimeingia kwenye chumba cha Qnet kwa ajili ya mafunzo ya siku ya kwanza. Nilivyoingia na kuwaona wale watu na salamu zao za good morning, nikajua hapa hakuna jambo la maana. Hiyo session ilipoisha tukawa tumekubaliana kuendelea na session nyingine kesho yake, sikutaka tena kupokea simu ya huyo ndugu hadi leo hii mwaka wa tano sijawahi kuwasiliana naye wala kutaka kujua wanaendeleaje na mishe zao za gudi moningi.​
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi nilihakikisha nayajua yote kwanza, nilienda session mbili na ya tatu ilikuwa ni ya kwenda kulipa pesa nayo nilienda mikono mitupu, wakanisihi wanikopeshe ila niweke commitment ya ntakavyo ilejesha. Kuhusu kutafuta wengine wa kujiunga chini yangu nisijali wao watanisaidia kunitafutia coz wanafanya kazi kama timu ili utajiri tupate wote. Mikutano yao ni kuanzia saa 12 jion eti wakidai mchana kutwa wako busy. Wanakuja na magar ya kuazima ili wakuonyeshe kwa kudai ni sehemu ya mafanikio yao, ukimcheki anaekuonyesha gari hana personality hilo gari (mwenda kwa miguu hajifichi).

Yaan nilichagua kutoshirikiana tena kwa lolote la kiuchumi huyo rafiki yangu aliyenichagua kuniweka kati, alikuwa mfanyabiashara hata tenda niliacha kumshirikisha coz nili sense upigaji wake
 
dah maskini waalimu wetu wanateseka
 
Kuna mmama mmoja mstaafu alitak kuniingiza uko, wakanipa semina wee mwisho wa siku nikawauliza napataje pesa? Nispopata mtu was kumwingiza je hela yangu ntaipataje. Sema upare wangu unanisaidia
 
Mstaafu pekee haitoshi sema mwalimu mstaafu
 
Mtoto wa Manzese kwa mara ya kwanza naenda chuo napata boom kilo kama tano

Nilishazoea kuuza vyuma chakavu kilo 200 kuuza maji madumu 100

Kuchimba mtaro saidia fundi buku 5

Leo napata laki tano kila baada ya miezi miwili

Siku hiyo mwamba kanichukua kanipeleka huko kwenye semina eti kianzio kipindi hicho laki tano

Yaani kweli nitoe laki tano yangu yote halafu naishije

Nikawaambia sawa hawakuniona tena jamaa angu alivuoona ananilazimisha sana akaniambia shauri yako utashangaa siku kwenye graduu nakuja na gari

Biashara ilimchanganya mwaka wa pili kadisco
 
hawa watu jamani juzi hapa nimeenda kwa anko anataka amfukuze mke wake kisa kaka yake alimrubuni shemeji aingine mtandao pendwa matokeo yake mda unaenda na hela haionekani anko kawa mbogo anamwambia mkewe arudi kwao mpaka braza ake alete hela yake
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji28]
 
Back
Top Bottom