Kisaikolojia Magufuli hakuwa sawa.

Kisaikolojia Magufuli hakuwa sawa.

Tukijaribu kukumbuka jinsi alivypendwa kuabudiwa, kutisha watu, kuzusha uongo mfano mabeberu sio watu wazuri kumbe wamemfungia betri ili aweze kuishi, uongo kuponda serikali zilizopita wakati hata yeye alikuwa sehemu ya serikali tangu 1995.
Uongo kuwa alilishwa sumu akiwa waziri wakati yeye aliuza nyumba zaidi ya 8000 kwa mkono wake.
Tabia ya vitisho na kutaka aabudiwe kama Mungu.
Ufisadi wa kupeleka miradi Chato na kuajiri watu wa kabila lake.
Kumuita Manji fisadi hukua akimkumbatia Rostam, kumuita Lowasa fisadi ila aliporudi CCM akamuita shujaa na mtoto wake akampa ubunge.
Kubaka Demokrasia ndani ya chama chake na nje ya chama chake.
Kukimbatia wahuni kama Sabaya na Makonda.
Risasi, utekaji, machozi jasho na damu.View attachment 1975197
Sho.ga limetoka kupumliwa kisogoni na mwanaume, limechubuliwa chuki kwa JPM kwa kupiga marufuku uagizwaji holela wa virainishi.
 
Ata marehemu naye unamuonea wivu unatamani uwe kama yeye .
 
Tukijaribu kukumbuka jinsi alivypendwa kuabudiwa, kutisha watu, kuzusha uongo mfano mabeberu sio watu wazuri kumbe wamemfungia betri ili aweze kuishi, uongo kuponda serikali zilizopita wakati hata yeye alikuwa sehemu ya serikali tangu 1995.
Uongo kuwa alilishwa sumu akiwa waziri wakati yeye aliuza nyumba zaidi ya 8000 kwa mkono wake.
Tabia ya vitisho na kutaka aabudiwe kama Mungu.
Ufisadi wa kupeleka miradi Chato na kuajiri watu wa kabila lake.
Kumuita Manji fisadi hukua akimkumbatia Rostam, kumuita Lowasa fisadi ila aliporudi CCM akamuita shujaa na mtoto wake akampa ubunge.
Kubaka Demokrasia ndani ya chama chake na nje ya chama chake.
Kukimbatia wahuni kama Sabaya na Makonda.
Risasi, utekaji, machozi jasho na damu.View attachment 1975197
Bado mnapambana na marehemu?,hakika huu ni ulofa,Legacy yake haitavunjwa na nyie vijakazi
 
  • Thanks
Reactions: nao
Magufuli alikuwa na nyota ya ng'e (scorpio). Watu wa nyota hiyo ndivyo walivyo na ndiyo haiba yao

Sasa madaraka + nyota yake ya kuzaliwa ndipo shida ilipoanzia

Watu wenye nyota yake na wale wenye nyota ya ng'ombe (taurus) ndiyo waliopewa hela kwa asili na asili yenyewe
 
Mwambieni Lisu arudi sasa, hamna sababu ya kuendelea kufugwa na Amsterdam
Hoja ni Magufuli lissu kaingiaje? Mkiambiwa UBONGO UNA MAJI MNASEMA MNATUKANWA
20210716_160047.jpg
 
Tukijaribu kukumbuka jinsi alivypendwa kuabudiwa, kutisha watu, kuzusha uongo mfano mabeberu sio watu wazuri kumbe wamemfungia betri ili aweze kuishi, uongo kuponda serikali zilizopita wakati hata yeye alikuwa sehemu ya serikali tangu 1995.
Uongo kuwa alilishwa sumu akiwa waziri wakati yeye aliuza nyumba zaidi ya 8000 kwa mkono wake.
Tabia ya vitisho na kutaka aabudiwe kama Mungu.
Ufisadi wa kupeleka miradi Chato na kuajiri watu wa kabila lake.
Kumuita Manji fisadi hukua akimkumbatia Rostam, kumuita Lowasa fisadi ila aliporudi CCM akamuita shujaa na mtoto wake akampa ubunge.
Kubaka Demokrasia ndani ya chama chake na nje ya chama chake.
Kukimbatia wahuni kama Sabaya na Makonda.
Risasi, utekaji, machozi jasho na damu.View attachment 1975197
Acha unafiki na chuki binafsi wakati anauza aliyekuwa rais alikuwa wapi kumwajibisha?

Huu uongo mwingine ni wa ajabu sana yaani waziri auze nyumba halafu haijulikani hata pesa zilizouza ziko wapi na akahojiwa awajibike leo hii hayupo mnaendelea kumpaka matope yenu ya wizi mnamsingizia.

Kuna siku utakuja kuomba radhi hadharani kutokana na uzandiki wako huu maana hauishi kupandisha uzi huu sijui ulizuiwa kitu gani wewe kununua wakati bunge liliidhinisha mauzo hayo?
 
Kwa afya yake hakustahili kupewa majukumu mazito kama Yale.Ilitakiwa Kazi za kupumzika
 
Alikuwa mwoga ndo maana vitisho vilikuwa vingi. Ila kiukweli lilikuwa janga sema Mungu ni fundi wa mafundi.
 
Huwa mnanisikitisha sana...

Mzee alipokuwa hai mngepambana mkamtuliza lakini mlimshindwa baadala yake kawatuliza sasa maajabu ametimiza ibada ya mwenyezi Mungu kwa maana ya kifo eti ndio mnapambana naye kumkebehi nk...

Hizi ni dalili za watu waoga ambao walishindwa kupambana na mhusika akiwa hai baadala yake mnapambana na dead body, halafu mnajiita wanaharakati, Pumbavu kabisa...
 
Back
Top Bottom