Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaukimbia uzi?Mleta mada rudi kwenye uzi wako uliouanzisha kuhusu kesi ya Sabaya.
Tukijaribu kukumbuka jinsi alivypendwa kuabudiwa, kutisha watu, kuzusha uongo mfano mabeberu sio watu wazuri kumbe wamemfungia betri ili aweze kuishi, uongo kuponda serikali zilizopita wakati hata yeye alikuwa sehemu ya serikali tangu 1995.
Uongo kuwa alilishwa sumu akiwa waziri wakati yeye aliuza nyumba zaidi ya 8000 kwa mkono wake.
Tabia ya vitisho na kutaka aabudiwe kama Mungu.
Ufisadi wa kupeleka miradi Chato na kuajiri watu wa kabila lake.
Kumuita Manji fisadi hukua akimkumbatia Rostam, kumuita Lowasa fisadi ila aliporudi CCM akamuita shujaa na mtoto wake akampa ubunge.
Kubaka Demokrasia ndani ya chama chake na nje ya chama chake.
Kukimbatia wahuni kama Sabaya na Makonda.
Risasi, utekaji, machozi jasho na damu.View attachment 1975197
nakumbuka jamaa alivotoka ikulu alienda tanga akasema watanzania tunautapiamlo balaaaView attachment 1975200
Hapa yupo na beberu anajichekeshachekesha
Nyie maCCM ni wauaji unawezaje kutoa kauli kama hii?Alikuwa mwoga ndo maana vitisho vilikuwa vingi. Ila kiukweli lilikuwa janga sema Mungu ni fundi wa mafundi.