Kisamvu...

Kisamvu...

Mnya mnya mnya [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]but niwie radhi mno... Heading ilinichanganya kidogo nikadhani ni kisamvu kile cha kopo... Kisamvu cha pilau [emoji87][emoji85]

Jr[emoji769]
Hahahah hiki chenyewe chenyewe genuine,.karibu tukikule😋😋😋
 
Safi kwa kuelezea mapishi hata asiyejua kupika kwa kufata maelezo ataivisha na atakula mboga tamu, labda jiko lake liwe na matatizo.

Kuna wataokuja hapa na kuuliza kuna kisamvu cha kopo??!!!

Kasie.
Hahahah ngoja tuwaone,..
 
Mapishi murua kabisa,

Kwa kunogesha tu ni kuwa kisamvu ni mboga ya pili kwa wingi wa virutubisho duniani, ikitanguliwa na KATUK.
 
Mapishi murua kabisa,

Kwa kunogesha tu ni kuwa kisamvu ni mboga ya pili kwa wingi wa virutubisho duniani, ikitanguliwa na KATUK.
 
Ukiongea kisamvu natamani niseme lakini najua nitajulikana hivyo sisemi. Watu tumeenda mpaka kusaka mbegu mpaka nchi za watu, kisa, tulipo hakilimwi. Nilishalima kisamvu kwenye pipa nchi fulani nikamwonjesha mwenye nyumba wangu, siku naonodoka alipiga marufuku mtu asiguse. Kisamvu ni ugonjwa wangu ila ina maana nina nutrients fulani nazimiss kwenye mwil zinazonifanya nikitafute sana. Unavyoona mama mwenye mimba anakula udongo ndo mimi na kisamvu which means there are vitamins I am looking for from those leaves. Nilipandisha miti kwenye ndege lakini watu wa airport huku ughaibuni walinielewa na walijua ni mumu kwa mumu nchi jirani ila Ulaya nisingefika.
 
Back
Top Bottom