Triple G
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 3,018
- 4,369
Chakula gani kingine unachopenda? ukila unasema yaah hapa kweli nimekula😜😜😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chakula gani kingine unachopenda? ukila unasema yaah hapa kweli nimekula😜😜😜
Hahahah hiki chenyewe chenyewe genuine,.karibu tukikule😋😋😋Mnya mnya mnya [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]but niwie radhi mno... Heading ilinichanganya kidogo nikadhani ni kisamvu kile cha kopo... Kisamvu cha pilau [emoji87][emoji85]
Jr[emoji769]
Maini rosti na chapati za kusukuma,.woii😋😋Chakula gani kingine unachopenda? ukila unasema yaah hapa kweli nimekula
Hahahah ngoja tuwaone,..Safi kwa kuelezea mapishi hata asiyejua kupika kwa kufata maelezo ataivisha na atakula mboga tamu, labda jiko lake liwe na matatizo.
Kuna wataokuja hapa na kuuliza kuna kisamvu cha kopo??!!!
Kasie.
Hahahhaa😂😂😂Maini rosti na chapati za kusukuma,.woii😋😋
Kina jina lingine la kiswahili,au hujaelewa?!
We cheka tuu😂😂napenda kula mwenzio😊Hahahhaa😂😂😂
Siye huku twaita "Mulukhiyah" !!Unaweza kukichemsha leo ukakipika kesho kwa utuvu..kisamvu kikilala nacho kinautam wake eti,..hahah
Kabila gani wanaita hivyo??Siye huku twaita "Mulukhiyah" !!
wa Misri (waarabu in general)Kabila gani wanaita hivyo??
Sisi kwa kabila letu tunaita "mashambura"
Oh,.kumbe...!!!wa Misri (waarabu in general)
ipo ingine yaitwa SILK au shakshooka!! siwajua MidoEast foods...!!?Oh,.kumbe...!!!
Hapana,.sifahamu vyakula vingi sana vya middle Eastipo ingine yaitwa SILK au shakshooka!! siwajua MidoEast foods...!!?
Mnya mnya mnya [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]but niwie radhi mno... Heading ilinichanganya kidogo nikadhani ni kisamvu kile cha kopo... Kisamvu cha pilau [emoji87][emoji85]
Jr[emoji769]
kitakuwa hicho-hicho😎😎😎tofauti upishi tuuKumbe kisamvu hiki nilidhani ni kile cha kuungwa na nazi unatia pia na nyanya chungu.
😎😎😎