Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi

Ni sahihi ulichokiandika kwa kiasi fulani, kiasi fulani no. Kwenye Uzi huu, nimepitia comment moja moja sijairuka hata moja. Nilicho gundua wengi sana humu comment zao zinaongozwa na chuki za kidini na si mawazo huru.
Ningeshauri kwa wamiliki wa JF kwenye mijadala serious kwa ustawi/ usalama wa Taifa letu la TANZANIA, mijada la mamna hii yajitokeze majina halisi ya wachangiaji kuepusha michango ya kipuuzi.
 
Msijiteteee mashetani nyie mnafundisha watoto ugaidi kwenye miskiti yenu huko na tutawafuchua sana
 
Shule ivamiwe usiku na DC kwani ni ya Bweni?
Watoto wamekatishwa masomo kwa sababu ilibidi wasome hadi kidato cha nne ambayo kwa mujibu wa sera ya elimu elimu ya sekondary ni mandatory kwa kila mtoto.
Wazazi maskini hawana uwezo wa kugharamia elimu ya upili lakini wana uwezo wa kufadhili masomo ya madrasa.
Nimeamini dini ni bangi
 
Wenye watoto wamesema hawamjui?
Vipi wanaopeleka watoto wao shule za boarding?

Hiyo ndio boarding school? Inaitwaje? Mnawalaza watoto kama vile wako jeshini? Kuna usemi mmoja unasema garbage in garbage out(GIGO). Tusitegemee maajabu kwenye malezi ya hivyo. Tutaandaa watu wasiojimudu kifikra
 

Hakuna elimu kwenye yale mazingira. Wanaandaa watu wa kujaza namba mitaani
 
Kwa hiyo watoto wanakuwa wanafundishwa elimu akhera tu? Vipi kuhusu elimu dunia??
tuiulize serikali je ipo tayari kuona watoto waliofeli la saba hawasomi hata hiyo elimu akhera badala yake wakae mtaani tu ?

Maana wazazi wengi hupeleka watoto waliofeli la saba huko katika hizo madrasa.
 
Ustaadhi Dil limebuma!

Pia Tunataka kujua wanafundisha Nini
Je ni kuanana ugaidi?

Lakini wizara ya elimu Ina miongozo ya idada kwa afya mdugu
Hizo madrasa ni kawaida kama nilivyoandika,sio jambo geni na zipo nyingi sana hapa tz na nje ya nchi kama mombasa hata kenya.

Kuhusu wanachosoma ni elimu ya dini ambayo ina mjumuiko wa masomo mengi.
.na mfano wa hizo madrasa ndio hutoa mashekhe mbalimbali.

Hakuna ugaidi unaofundishwa bali kinachofundishwa ni masomo kadhaa ya kiislamu kama vile..

Qurani kuhifadhi
Qurani tafsiri.
Lugha ya kiarabu
tabia(akhlaaq)
Hadithi za mtume.
Fiqhi
Ahkaam za Qurani.

Na mengine mengi tu
 
Hiyo ndio boarding school? Inaitwaje? Mnawalaza watoto kama vile wako jeshini? Kuna usemi mmoja unasema garbage in garbage out(GIGO). Tusitegemee maajabu kwenye malezi ya hivyo. Tutaandaa watu wasiojimudu kifikra
Kulala chini msikitini siyo shida
 
Ok lakini zingatia afya ustaadhi

Mi wasiwashi wangu msijekuwa mnawaandaa vijana wakatumike kule msumbiji Jimbo la caprigado
 
Ok lakini zingatia afya ustaadhi

Mi wasiwashi wangu msijekuwa mnawaandaa vijana wakatumike kule msumbiji Jimbo la caprigado
Suala la afya ni muhimu sana kaka,kama mazingira ya afya ni mabovu hakuna budi madrasa ifungiwe.

Ila kuhusu madrasa za bweni jambo la kawaida sana katika ulimwengu wa kiisilamu na madrasa hizo zipo nyingi mno.

Shida ni watu wa itikadi kali baadhi yao nao wamekuja kutumia mlango wa madrasa hizi kufundisha ajenda zao.

lakini uhalisa wa hizo madrasa ni kufundisha elimu ya Dini kwsni uisilamu una mambo mengi ya kujifunza na elimu katika uisilamu zipo nyingi.
 
Hii ni alarming kabisa, naipongeza serikal lakin jambo kama hili lisirudiwe kabisa
Hata kama wamepelekwa hapo na wazazi wao lakini ni lazima serikali ijue kuwa wapo hapo kisheria, mtoto anaweza kufundishwa kuwa akiulizwa aseme nimeletwa hapa na baba yangu wakati sivyo, tusitetee uhalifu kwa kisingizio cha kuhifadhi korani wakati sheria inawataka wawe shule.
 
HMV,
DC amerudi msikitini jana mchana peupe kaja na lori la mifuko ya simenti kuja kusaidia ujenzi wa mabweni ili yajengwe na haraka watoto warejee masomoni.

Karejea kistaarabu bila kundi la watu na hakuwa na maneno ya vitisho kama siku ile usiku.
 
 
Nipe jibu kwanini hauna mtoto wakati mdogo wako ana mtoto. Kila mtu ana utendaji wa kazi tofauti na mwingine, huyu wa Kisarawe hahusiki huko Mwanga.
Jaribu kuuliza maswali yenye tija achana na mawazo ya udini.
 
HMV,
DC amerudi msikitini jana mchana peupe kaja na lori la mifuko ya simenti kuja kusaidia ujenzi wa mabweni ili yajengwe na haraka watoto warejee masomoni.

Karejea kistaarabu bila kundi la watu na hakuwa na maneno ya vitisho kama siku ile usiku.
Hili nililijua kabla lakini halihalalishi watoto kutokwenda shule eti wanajifunza kuhifadhi Korani!
 
Hili nililijua kabla lakini halihalalishi watoto kutokwenda shule eti wanajifunza kuhifadhi Korani!
Je watoto wa akina Mohamed Said etal nao hawasomi elimu ya upili wanafundishwa kuhifadhi quran kwenye hizo madrasa za bweni?
Watoto wao wanalala misikitini chini kwenye sakafu na kuwa deprived elimu ya dunia?
 
Hili nililijua kabla lakini halihalalishi watoto kutokwenda shule eti wanajifunza kuhifadhi Korani!
Unataka wajifunze kuimba singeli? Acha chuki Quran ndio kitabu chenye muongozo sahihi kwa waislamu na wasio waislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…