Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi

Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi

NI KAWAIDA KABISA HIZO NI BOARDING ZA ELIMU YA DINI YA KIISILAMU.

tatizo ni kwamba ikionekana watu wanalala katika misikiti watu hudhani wanafundishana ugaidi.

lakini kimsingi boarding kama hizo za masomo ya kiisilamu zipo nyingi sana Nchi hii katika mikoa mingi.

na boarding hizo hufundisha masmo ya kawaida kabisa katika uisilamu.

Kama vile kuhifadhi Qurani,kusoma hadithi,fiqhi,lugha ya kiarabu n.k

Japokuwa wstu wabaya hupitisha ajenda yao popote pale na hivyo hatà huko wapo wachache wanaweza kutumia huo upenyo.

Ila kimsingi Hapo hakuna viashiria vyovyote vya ugaidi.
Mimi nina uzoefu na mazingira ya malkaz

Ishu kubwa hapo mazingira ni mabovu mno,

Halafu unakuta hiyo ni project ya sheikh kupiga pesa huku hawajali watoto

Sheikh anaomba misaada kwenye taasisi mbalimbali huku pesa anapiga yeye

Masheikh wengi si wa kuaminika
 
Alichofanya DC ni jambo zuri.
Hakuna anayepinga watoto kusomeshwa elimu ya dini. Kuliko wazagae mitaani heri wasome dini.
Rai yangu kwanini taasisi za kiislamu zisiwe institutionalised kama zile za Kikatoliki. Ikawa hawa watoto wanapata elimu ya ki-secular sanjari na dini kama wale wa seminari wa kikatoliki?
Naumia sana maskini watoto wengi hapo wakimaliza wanarudi mtaani bila maarifa yoyote nje ya yale ya dini.
Shida iko wapi taasisi za kiislamu kua za kisasa na kuendeshwa kisomi? Vijana wananyimwa maarifa ya msingi ya kushiriki shughuli za kiuchumi nje ya elimu ya dini wanayoipata. Natamani taasisi ziendeshwe kisasa hawa vijana waive kuwe na masheikh na maimamu wahandisi, wanasheria, waalimu, wahasibu, wataalam wa sayansi jamii n.k
 
Kama hali iko hivyo basi ni vyema hatua zikachukuliwa.

Shida hapa jukwaani watu wameleta tafsiri za kudhani kwamba watu wanafundishana ugaidi humo.
 
Alichofanya DC ni jambo zuri.
Hakuna anayepinga watoto kusomeshwa elimu ya dini. Kuliko wazagae mitaani heri wasome dini.
Rai yangu kwanini taasisi za kiislamu zisiwe institutionalised kama zile za Kikatoliki. Ikawa hawa watoto wanapata elimu ya ki-secular sanjari na dini kama wale wa seminari wa kikatoliki?
Naumia sana maskini watoto wengi hapo wakimaliza wanarudi mtaani bila maarifa yoyote nje ya yale ya dini.
Shida iko wapi taasisi za kiislamu kua za kisasa na kuendeshwa kisomi? Vijana wananyimwa maarifa ya msingi ya kushiriki shughuli za kiuchumi nje ya elimu ya dini wanayoipata. Natamani taasisi ziendeshwe kisasa hawa vijana waive kuwe na masheikh na maimamu wahandisi, wanasheria, waalimu, wahasibu, wataalam wa sayansi jamii n.k
From...
Unawafananisha Waislam masikini ya Mungu na Wakatoliki wanaopewa ruzuku ya mabilioni na serikali?

Unaijua Memorandum of Understanding (MUM)?
 
Kiongozi jenga utamaduni wa kushughulikia chanzo cha tatizo au chanzo cha uvunjifu wa sheria/utaratibu nk nani aliwaleta hapo hao watoto, kwa vibali gani..lengo ni nini? nk ili isije rudiwa tena na wale walioanzisha hili jambo wachukuliwe hatua wao binafsi. Sasa fungeni kituo, halafu baada ya muda wanakwenda kuanzisha jambo hilo hilo sehemu nyingine!

Ni kweli kuna Balaa linaandaliwa mbeleni kupitia hizi dini chini ya umaskini unaoratibiwa na Watawala ,wazungu na waarabu.

Viashiria vya ugaidi hua vinaanza hivi hivi. Ukizingatia mapori yote wamepewa waarabu na wazungu kuna mambo ya kutisha yanakuja.

Kuna wanufaika wakubwa kisiasa wa haya mambo.
Fedha za kuratibu hayo mambo zinatoka wapi?
Kwa nini ni watoto wa maskini kutoka Tanganyika?
Ina maana dini ni kwa ajili ya watoto wa maskini tuu?

JPM alijenga vyuo vya VETA kila Wilaya na gharama zake ni ndogo sana na kuna mabweni wanapewa chakula na malazi bure lakini hakuna wanafunzi wa kutosha badala yake wanakwenda kulala kwenye nyumba za Ibada. Nini kipo nyuma ya huu mkakati.
 
Hiyo ni sawa na boarding tu,Cha ajabu nini!?..wamekua wakifanya hivyo tangu ikulu ni madrasa,wakilala palepale ocean road,mzee mwinyi alipopelekwa Zanzibar kusoma alipelekwa kwenye shule Kama hizo!..na akaja kuwa rais asiyewatia dhiki watu aliowaongoza Wala kuwazuwia kutoa maoni
Boarding mnaKwenda kufunzwa dini badala ya masomo ambayo yanatakiwa kufunzwa? Huu upuuzi wa dini yenu ndio unaoharibu jamii, serikali ikicheka na hawa vilaza, tutakuja kulia, muda wa watoto kuwa shule ninyi mnawapeleka misikitini kuwajaza upuuzi ambao hauna msaada kwa maisha yao wala kwa Taifa,
 
Ni kweli kuna Balaa linaandaliwa mbeleni kupitia hizi dini chini ya umaskini unaoratibiwa na Watawala ,wazungu na waarabu.

Viashiria vya ugaidi hua vinaanza hivi hivi. Ukizingatia mapori yote wamepewa waarabu na wazungu kuna mambo ya kutisha yanakuja.

Kuna wanufaika wakubwa kisiasa wa haya mambo.
Fedha za kuratibu hayo mambo zinatoka wapi?
Kwa nini ni watoto wa maskini kutoka Tanganyika?
Ina maana dini ni kwa ajili ya watoto wa maskini tuu?

JPM alijenga vyuo vya VETA kila Wilaya na gharama zake ni ndogo sana na kuna mabweni wanapewa chakula na malazi bure lakini hakuna wanafunzi wa kutosha badala yake wanakwenda kulala kwenye nyumba za Ibada. Nini kipo nyuma ya huu mkakati.
Ndio shida hii ya sisi waTanzania viongozi wetu kwa tamaa zao wananunulika kirahisi sana, kuanzia Rais mpaka watu wake na wapambe wake wote mapupets wa wazungu&waarabu, kiufupi hii nchi iko uchi mbeleni huko sidhan kama tutakuwa huru& kuwa na amani, mambo ukiyafuatilia kwa undani huku uraiani kuna upuuzi mwingi unaendeshwa na hizi dini.

Serikali na viongozi wanaowajibika wala hawajishughulishi kwa lolote as if hayawahusu,

Hizi dini bila kuwekewa Vikwazo na sheria ngumu, zitaharibu jamii na kizazi kijacho, just imagine mtoto umri wa shule anapekekwa madrasa, ushenzi wa wapi huu?
 
Boarding mnKwenda kufunzwa dini badama ya masomo ambayo yanatakiwa kufunzwa? Huu upuuzi wa dini yenu ndio unaoharibu jamii, serikali ikicheka na hawa vilaza, tutakuja kulia, muda wa watoto kuwa shule ninyi mnawapeleka misikitini kuwajaza upuuzi ambao hauna msaada kwa maisha yao wala kwa Taifa,
Mbona vijana kusoma dini limekuwa jambo la ajabu?utaratibu huu upo miaka mingi na hakuna shida.Leo hii wengine wanasomea dini kwenye shule zinazomilikiwa na taasisi za dini na pia wengine za serikali.Huku mtaani wapo vijana lukuki wanzagaa tu hawapo huko madrasa na kwenye hizo veta pia hawapo.Kwahiyo kupanga ni kuchagua Cha kuzingatia awe amemaliza walau elimu ya msingi.
 
Mzee tunza heshima yako basi. Acheni kuwatumia watoto wa maskini kwa mgongo wa mafundisho ya dini wakati ni miradi yenu binafsi ya kujinufaisha kupitia misaada kutoka uarabuni huku mkiwatenga watoto na jamii inayowazunguka kutokana na mafunzo ya imani kali.
The Best,
Waislam wa kawaida siku zote wamekuwa masikini na ndiyo waliopigania uhuru wa Tanganyika kwa matumaini kuwa uhuru ukipatikana dhulma ya kubaguliwa itatoweka.

Uhuru umekuja na changamoto ñyingi kwa Uislam na Waislam.

Uislam ndiyo dini pekee iliyopata kufanya maandamano na si mara moja dhidi ya serikali.

Hakuna taasisi ya Waislam inayowanyonya Waislam na ikiwa una ushahidi huo ulete hapa.

Wala hakuna hicho unachodai kipo cha imani kali.

Hizi ni propaganda tu.
 
Hongera sana DC kwa kazi nzuri unayofanya!
Hapo ukimwuliza mtoto mmoja mmoja kwa siri wanayofanyiwa utashangaa!
Kuna agenda ya siri kuhusiana na haya mafunzo!
 
Sheik mkuu wa wilaya ni bakwata, waislam hawana time na bakwata,wanajua ni mkono wa serikali,Kuna taasisi nyingi za kiislam zinafanya mambo yao bila kumtaarifu sheikh mkuu wa wilaya
Manake mnataka kujitengenezea serikali yenu kupitia ugaidi wa vikundi hivyo visivyoitika kwa bakwata..lengo lenu nini hasas?
 
Mbona vijana kusoma dini limekuwa jambo la ajabu?utaratibu huu upo miaka mingi na hakuna shida.Leo hii wengine wanasomea dini kwenye shule zinazomilikiwa na taasisi za dini na pia wengine za serikali.Huku mtaani wapo vijana lukuki wanzagaa tu hawapo huko madrasa na kwenye hizo veta pia hawapo.Kwahiyo kupanga ni kuchagua Cha kuzingatia awe amemaliza walau elimu ya msingi.

Hakuna mtu anayepinga dini ya Mtu wala imani yake.

Lakini tujiulize bila ushabiki ,je, ni kwa nini wasiwapeleke kwenye shule rasmi za kiislam?
Zipo shule nyingi za zinazotoa elimu ya dini na ya kawaida kuanzia Nursery mpaka Sekondary kwa nini wasipelekwe huko.
Je, pale kisarawe mtoto wa Wazri Mbarawa au Jafo unawekusoma huko Msikitini tena anajipikia mwenyewe?

Kama hao wadhamini wa hayo mafunzo wana nia njema ya kuwapa maisha bora duniani na kuwapeleka peponi Watu basi wawajengee shule nyingi za boarding na kuwaajiri walimu rasmi kulingana na mitaala ya dini na ya serikali sio kuwaficha maporini na misikitini.
Baadae wakiona wenzao wanateuliwa kuongoza wizara wanatumika kulalamika kuwa dini fulani wananyimwa Elimu na nafasi za kitaalamu.

Kama kuna kiongozi anaona hili ni sawa basi apeleke mtoto wake huko badala ya shule akapate maarifa.
Usilolotaka kufanyiwa usimfanyie mwenzio.

Hata hao maustadhi wanaofundisha wakipata fedha nyingi wanawapeleka Watoto wao English Media kwenye shule rasmi za kiislam au penginepo lakini hawawanyimi Elimu ya dunia.

Kwa nini tusiamini kuwa Hawa ni watoto wanaofundishwa harakati za kidini na nyuma yake wapo watu wakubwa na ufadhili wa wazungu na waarabu kuandaa ukoloni mpya Tanganyika.

Mbona vijana kusoma dini limekuwa jambo la ajabu?utaratibu huu upo miaka mingi na hakuna shida.Leo hii wengine wanasomea dini kwenye shule zinazomilikiwa na taasisi za dini na pia wengine za serikali.Huku mtaani wapo vijana lukuki wanzagaa tu hawapo huko madrasa na kwenye hizo veta pia hawapo.Kwahiyo kupanga ni kuchagua Cha kuzingatia awe amemaliza walau elimu ya msingi.
 
Sitafuti kuaminiwa nimechangia mada kuwa hizo madrasa zinazolea watoto zipo sio hiyo ya kisarawe tu huenda hiyo ikawa na idadi kubwa ya watoto tu, lakini hizo madrasa zipo sehemu nyingi tu tatizo ni usiri unaoendelea ndani ya hizo madrasa!

Habari za ugaidi umezileta wewe kumbe ndo kinachofundishwa?
Kuna shida gani madrasa kulea mtoto?! Tuanze hapo .. kuna shida yoyote mimi kumtoa mwanangu akasome dini ?!;Nenda Tanga kuna madrasa za aina hii nyingi tu zimetoa walimu wa dini wakubwa Afrika mashariki na kati .. baadhi yao ni viongozi ndani ya bakwata kwa sasa kama Mufti.. na kwanini aanze kufanya ziara za kushtukiza misikitini?!
 
Waislam! Waislam! Waislam!
Nawaita mara tatu Mnapenda kuchukulia mambo kama Haya simple sana na hapa naona wengi wenu mnatetea huu uvunjifu wa Sheria,
Mtu unaanzishaje kituo cha watoto kisichokua na usajili and you call Madrasa na kukusanya Under age Children na kuwapa mafunzo yasiyokua na Usajili na Baraza lenu
Hivi mnalijua saga la
Kubwa la magaidi
Abu Mohammed Abubakar Al - Sheikawi aliye kulia Mazingira kama hayo na baadae akaja na Boko Haram ambayo inawatesa hata wale Waislam wenzake kwa umwagaji wa Damu zisizo na hatia kule Nigeria?

Hivi mnajielewa kweli nyie?
Kwanini mnafanya vitu lafu lafu na kuchukulia mambo powa?
🤔🤔
 
Back
Top Bottom