BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Kuna watu humu kazi kukashifu imani za wengine, hawana kazi za kufanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nina uzoefu na mazingira ya malkazNI KAWAIDA KABISA HIZO NI BOARDING ZA ELIMU YA DINI YA KIISILAMU.
tatizo ni kwamba ikionekana watu wanalala katika misikiti watu hudhani wanafundishana ugaidi.
lakini kimsingi boarding kama hizo za masomo ya kiisilamu zipo nyingi sana Nchi hii katika mikoa mingi.
na boarding hizo hufundisha masmo ya kawaida kabisa katika uisilamu.
Kama vile kuhifadhi Qurani,kusoma hadithi,fiqhi,lugha ya kiarabu n.k
Japokuwa wstu wabaya hupitisha ajenda yao popote pale na hivyo hatà huko wapo wachache wanaweza kutumia huo upenyo.
Ila kimsingi Hapo hakuna viashiria vyovyote vya ugaidi.
Kama hali iko hivyo basi ni vyema hatua zikachukuliwa.Mimi nina uzoefu na mazingira ya malkaz
Ishu kubwa hapo mazingira ni mabovu mno,
Halafu unakuta hiyo ni project ya sheikh kupiga pesa huku hawajali watoto
Sheikh anaomba misaada kwenye taasisi mbalimbali huku pesa anapiga yeye
Masheikh wengi si wa kuaminika
Kipondo...Ila Kuna baadhi ya wazazi ni wajinga sana isee! Hivi wengine watoto hawawaumi Nini??
From...Alichofanya DC ni jambo zuri.
Hakuna anayepinga watoto kusomeshwa elimu ya dini. Kuliko wazagae mitaani heri wasome dini.
Rai yangu kwanini taasisi za kiislamu zisiwe institutionalised kama zile za Kikatoliki. Ikawa hawa watoto wanapata elimu ya ki-secular sanjari na dini kama wale wa seminari wa kikatoliki?
Naumia sana maskini watoto wengi hapo wakimaliza wanarudi mtaani bila maarifa yoyote nje ya yale ya dini.
Shida iko wapi taasisi za kiislamu kua za kisasa na kuendeshwa kisomi? Vijana wananyimwa maarifa ya msingi ya kushiriki shughuli za kiuchumi nje ya elimu ya dini wanayoipata. Natamani taasisi ziendeshwe kisasa hawa vijana waive kuwe na masheikh na maimamu wahandisi, wanasheria, waalimu, wahasibu, wataalam wa sayansi jamii n.k
Kiongozi jenga utamaduni wa kushughulikia chanzo cha tatizo au chanzo cha uvunjifu wa sheria/utaratibu nk nani aliwaleta hapo hao watoto, kwa vibali gani..lengo ni nini? nk ili isije rudiwa tena na wale walioanzisha hili jambo wachukuliwe hatua wao binafsi. Sasa fungeni kituo, halafu baada ya muda wanakwenda kuanzisha jambo hilo hilo sehemu nyingine!
Boarding mnaKwenda kufunzwa dini badala ya masomo ambayo yanatakiwa kufunzwa? Huu upuuzi wa dini yenu ndio unaoharibu jamii, serikali ikicheka na hawa vilaza, tutakuja kulia, muda wa watoto kuwa shule ninyi mnawapeleka misikitini kuwajaza upuuzi ambao hauna msaada kwa maisha yao wala kwa Taifa,Hiyo ni sawa na boarding tu,Cha ajabu nini!?..wamekua wakifanya hivyo tangu ikulu ni madrasa,wakilala palepale ocean road,mzee mwinyi alipopelekwa Zanzibar kusoma alipelekwa kwenye shule Kama hizo!..na akaja kuwa rais asiyewatia dhiki watu aliowaongoza Wala kuwazuwia kutoa maoni
Ndio shida hii ya sisi waTanzania viongozi wetu kwa tamaa zao wananunulika kirahisi sana, kuanzia Rais mpaka watu wake na wapambe wake wote mapupets wa wazungu&waarabu, kiufupi hii nchi iko uchi mbeleni huko sidhan kama tutakuwa huru& kuwa na amani, mambo ukiyafuatilia kwa undani huku uraiani kuna upuuzi mwingi unaendeshwa na hizi dini.Ni kweli kuna Balaa linaandaliwa mbeleni kupitia hizi dini chini ya umaskini unaoratibiwa na Watawala ,wazungu na waarabu.
Viashiria vya ugaidi hua vinaanza hivi hivi. Ukizingatia mapori yote wamepewa waarabu na wazungu kuna mambo ya kutisha yanakuja.
Kuna wanufaika wakubwa kisiasa wa haya mambo.
Fedha za kuratibu hayo mambo zinatoka wapi?
Kwa nini ni watoto wa maskini kutoka Tanganyika?
Ina maana dini ni kwa ajili ya watoto wa maskini tuu?
JPM alijenga vyuo vya VETA kila Wilaya na gharama zake ni ndogo sana na kuna mabweni wanapewa chakula na malazi bure lakini hakuna wanafunzi wa kutosha badala yake wanakwenda kulala kwenye nyumba za Ibada. Nini kipo nyuma ya huu mkakati.
Mbona vijana kusoma dini limekuwa jambo la ajabu?utaratibu huu upo miaka mingi na hakuna shida.Leo hii wengine wanasomea dini kwenye shule zinazomilikiwa na taasisi za dini na pia wengine za serikali.Huku mtaani wapo vijana lukuki wanzagaa tu hawapo huko madrasa na kwenye hizo veta pia hawapo.Kwahiyo kupanga ni kuchagua Cha kuzingatia awe amemaliza walau elimu ya msingi.Boarding mnKwenda kufunzwa dini badama ya masomo ambayo yanatakiwa kufunzwa? Huu upuuzi wa dini yenu ndio unaoharibu jamii, serikali ikicheka na hawa vilaza, tutakuja kulia, muda wa watoto kuwa shule ninyi mnawapeleka misikitini kuwajaza upuuzi ambao hauna msaada kwa maisha yao wala kwa Taifa,
The Best,Mzee tunza heshima yako basi. Acheni kuwatumia watoto wa maskini kwa mgongo wa mafundisho ya dini wakati ni miradi yenu binafsi ya kujinufaisha kupitia misaada kutoka uarabuni huku mkiwatenga watoto na jamii inayowazunguka kutokana na mafunzo ya imani kali.
MUM au MoU ?From...
Unawafananisha Waislam masikini ya Mungu na Wakatoliki wanaopewa ruzuku ya mabilioni na serikali?
Unaijua Memorandum of Understanding (MUM)?
Hii program Iko kwenye misikiti mingi Tanzania nzima. Kumbuka Dodoma pia ni janga la kitaifaHii ni alarming kabisa, naipongeza serikal lakin jambo kama hili lisirudiwe kabisa
Manake mnataka kujitengenezea serikali yenu kupitia ugaidi wa vikundi hivyo visivyoitika kwa bakwata..lengo lenu nini hasas?Sheik mkuu wa wilaya ni bakwata, waislam hawana time na bakwata,wanajua ni mkono wa serikali,Kuna taasisi nyingi za kiislam zinafanya mambo yao bila kumtaarifu sheikh mkuu wa wilaya
Mbona vijana kusoma dini limekuwa jambo la ajabu?utaratibu huu upo miaka mingi na hakuna shida.Leo hii wengine wanasomea dini kwenye shule zinazomilikiwa na taasisi za dini na pia wengine za serikali.Huku mtaani wapo vijana lukuki wanzagaa tu hawapo huko madrasa na kwenye hizo veta pia hawapo.Kwahiyo kupanga ni kuchagua Cha kuzingatia awe amemaliza walau elimu ya msingi.
Mbona vijana kusoma dini limekuwa jambo la ajabu?utaratibu huu upo miaka mingi na hakuna shida.Leo hii wengine wanasomea dini kwenye shule zinazomilikiwa na taasisi za dini na pia wengine za serikali.Huku mtaani wapo vijana lukuki wanzagaa tu hawapo huko madrasa na kwenye hizo veta pia hawapo.Kwahiyo kupanga ni kuchagua Cha kuzingatia awe amemaliza walau elimu ya msingi.
Kuna shida gani madrasa kulea mtoto?! Tuanze hapo .. kuna shida yoyote mimi kumtoa mwanangu akasome dini ?!;Nenda Tanga kuna madrasa za aina hii nyingi tu zimetoa walimu wa dini wakubwa Afrika mashariki na kati .. baadhi yao ni viongozi ndani ya bakwata kwa sasa kama Mufti.. na kwanini aanze kufanya ziara za kushtukiza misikitini?!Sitafuti kuaminiwa nimechangia mada kuwa hizo madrasa zinazolea watoto zipo sio hiyo ya kisarawe tu huenda hiyo ikawa na idadi kubwa ya watoto tu, lakini hizo madrasa zipo sehemu nyingi tu tatizo ni usiri unaoendelea ndani ya hizo madrasa!
Habari za ugaidi umezileta wewe kumbe ndo kinachofundishwa?
Ulitaka kusema nini?Ukichunguza vizuri kutakua na viashiria vya nn sijui
Nlitaka kuandika jambo nikakumbuka wabongo wape heading tuUlitaka kusema nini?