Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi

We mpuuzi kweli,mtu kamaliza la Saba,hakuchaguliwa,hiyo shule unayotaka awepo shule gani?
 
Huyu jamaa kuna anachokitafuta

Kuingia tu anawakataza wazaramo wasitumie pikipiki kubeba mkaa!

Sasa hv kaingilia masuala ya dini ya kiislam.

Yetu macho tu...mbona Jokate aliishi vizuri na wana kisarawe?
 
Madrassa zinaharibu usalama wa Taifa ila sunday schools aaaah?! Vyuo vya watoto wadogo wanaoenda kufundishwa upadre na utawa aaah haviharibu watoto?
 
Madrassa zinaharibu usalama wa Taifa ila sunday schools aaaah?! Vyuo vya watoto wadogo wanaoenda kufundishwa upadre na utawa aaah haviharibu watoto?

Katafute hata Documentary na historia ya Boko Haram ilivyo anza.
 
Hamtaki watoto wajifunze maadili ya dini yao ili waje kujenga jamii bora yenye maadili mazuri...mnataka warudi mitaani wakajifunze kuvuta bangi,ulevi wa pombe,miziki ,ushoga, usagaji na uasherati si ndio?

Bila ya watoto kumjua Mungu na kuwa na hofu ya Mungu mnadhani kutapatikana jamii bora?
 
Hiyo wilaya imekuwa sehemu ya kujifunzia
Jokate
Nikki wa pili
Mbona hao watangulizi wake wameishi vizuri na wakazi wa kisarawe?

Kuingia tu kakataza watoto wa kizaramo wasichezwe

Mara wakazi wa kisarawe wasitumie pikipiki kubeba mkaa. Dereva akikamatwa anataifisha pikipiki.

Hajatulia kaja na hili la kuvamia Misikiti ya waislam.

Huyu jamaa anacho anachokitafuta.

Yaani watoto wa kiislam wasikae sehemu moja kuisoma dini yao ili wajenge jamii bora huko baadae, yeye anataka warudi majumbani ili wakaharibikiwe?

Jamii isiyo mjua Mungu ni sawa na kusanyiko la wanyama tu wanaokula na kunywa.
 
Hapo umeona kuna mafunzo yoyote ya kijeshi? Walivyokagua wamekuta hata viashiria vya silaha
Wewe ulitaka uone silaha na vifaru?, watu wanaanza kupandikiza ideology kutengeneza mentality then yanakuja hayo mafunzo ya physically. Ukifanikiwa kwenye mentality then hayo mafunzo ya silaha ni kitu chepesi na hata kama hato fundishwa anauwezo wa kujifunza mwenyewe, sababu mind yake ishakuwa distracted na ideology za kikatili.

Nimeongea according to reference nilicho kiona kupitia documentary ya Boko Haram,sababu road map yake ilianza kwa style kama hii ya Kisarawe au unazani Boko Haram iliibuka tu from no where?

Vp unajua content wanazofundishwa?
Vp silabasi wanayo itumia?
Walimu je wanauelewa na wanacho kifundisha kina impact gani kwenye makuzi ya akili ya mtoto?
Vp mzingira ni salama kwa makuzi ya mtoto?
Vp afya zao kimwili na kiakili?

DC anataka kujua zaidi na ndio maana kamwabia aende kituoni kwa maelezo zaidi,ili apaje majibu ya undani zaidi juu ya hayo maswali ya hapo juu.
 
K
Kwahiyo seminaries na sunday schools zinafundisha Ushoga?
 
Nini kifanyike? Mtangulizi wake wa weusi yeye alikuwa anapiga mbususu za kizaramo ndiomana aliwapa uhuru 😹😹😹

Hao wa madrasa watengeneze mazingira yawe vizuri, waweke mabweni ya kutosha hao watoto.!! Magoti yupo sahihi
 
K

Kwahiyo seminaries na sunday schools zinafundisha Ushoga?
Seminary ni chuo cha mafunzo hasa cha maswala ya kiimani (Kikristo/Kislam/Butha/Hindu) nijuavyo mimi.

AU kuna seminary inayofundisha ushoga?

Halafu ushoga na kikichotokea Kisarawe vinahusiana vipi?

Unataka kufungua chuo cha mafunzo ya kiimani mamlaka zipo, kwa nini hasingeenda,kwenye hizo mamlaka za kiserikali na ya imani yake?
 
Naunga mkono kama jihad msomi.
Kama wanataka kuendesha taasisi ya mafunzo ya dini, waombe vibali vyote, wakaguliwe na waruhusiwe kuwa makazi ya watoto kulala kama yanafikia viwango.
Hatutaki lawama na watoto wamebakwa na ushenzi mwingine, hakuna kusingizia umasikini, au uwezo, wajipange waombe misaada huko Qatar au Dubai kama wakiaanza wenyewe kwa jitihada zao.
 
Shida sio kulala msikitini kaka, hata hapo mkuu wa mkoa swala alilozungumzia ni watoto kukaa mazingira ambayo sio rafiki, na wengi hawapelekwi hata shule (wengi hapo wanadai wamefeli darasa la saba ila sio kweli)
Binafsi hayo mazingira siwezi kuruhusu mtoto wangu akae ni sawa na kumtupa tu. Wazazi tujielewe jamani watu mafundisho ya dini tunayapokea vibaya
 
Mzee Said,
Hivi vituo vimesajiliwa au kila sheikh anajiamulia? Umesikiliza maelezo ya sheikh anakiri sheikh wa mkoa hatambui watoto kulala hapo....

Miaka 14 unawaweka msikitini boarding mnawafundisha nini muda wote?
 
Kaka hiyo hotuba naona umerefer kutoka mwaka 1999 (Nisahihishe kama nimekosea), mambo yamebadilika kaka. Binafsi sijawahi ku-experience wala kuona mtu yoyote aliyekutana na bias ama segregation kwenye elimu kwasababu ya kuwa Muislam (hususani kwa miaka ya saivi) naonaga ni mentality tu tumejiwekea.
Kihusiana na hayo mambo ya shule kuwa mbovu haihusiani na hapo, hayo mazingira watoto ndo wanakaa hapo 24hrs, wanalala hapo na wanaishi hapo na sio rafiki kabisa, hata hivyo nimeona mheshimiwa katumia Busara sana jinsi alivyolimaliza hili swala kwa kweli anastahili pongezi
 
Hii dini ni ya ajabu sana
Wewe unayehisisha dini na akili za mtu binafsu ndo unamatatizo ndugu.
Mtaani hapa nilikuwa nakaa na waumi wenye imani kali ya kikristo, hawakupeleka watoto shule, hawapeleki mtoto hospital, mpaka mara ya mwisho wananchi waliingilia kati kijana alilazwa ndani akiwa hoi maututi wenyewe walifanya maombi tu na sio kumpeleka mtoto hospitali.
Watu wanamapokeo yao wenyewe ya dini kutokana na uelewa wao, sio kila matendo binafsi ya mtu yanaashiria dini yake mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…