inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Acha upuuzi wewe, critical thinking ni shida kwako!?Manake mnataka kujitengenezea serikali yenu kupitia ugaidi wa vikundi hivyo visivyoitika kwa bakwata..lengo lenu nini hasas?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha upuuzi wewe, critical thinking ni shida kwako!?Manake mnataka kujitengenezea serikali yenu kupitia ugaidi wa vikundi hivyo visivyoitika kwa bakwata..lengo lenu nini hasas?
We mpuuzi kweli,mtu kamaliza la Saba,hakuchaguliwa,hiyo shule unayotaka awepo shule gani?Boarding mnaKwenda kufunzwa dini badala ya masomo ambayo yanatakiwa kufunzwa? Huu upuuzi wa dini yenu ndio unaoharibu jamii, serikali ikicheka na hawa vilaza, tutakuja kulia, muda wa watoto kuwa shule ninyi mnawapeleka misikitini kuwajaza upuuzi ambao hauna msaada kwa maisha yao wala kwa Taifa,
Acha udini...watoto wa kiislam kukusanyika na kuisoma dini yao kunawawasha nini?Taliban ilianza hivi hivi.
Madrassa zinaharibu usalama wa Taifa ila sunday schools aaaah?! Vyuo vya watoto wadogo wanaoenda kufundishwa upadre na utawa aaah haviharibu watoto?Hapa Magoti pamoja na kamati ya ulinzi wapewe heko,hivi vitu ukivichekea linaweza kiharibu usalama wa taifa.
Wazazi wajibikeni hao watoto ni jukumu lenu kwalea na kuwaongoza, unamwacha mtoto hujui anafundishwa nini,hujui anakula vipi na analala vipi,yaani kizazi cha mbele sijui kitakuwaje.
Unaweza ukakuta vituo kama hivi vipo vingi sana,misako kama hii inatakiwa ifanyike kila Wilaya tena kwa kushtukiza.
Madrassa zinaharibu usalama wa Taifa ila sunday schools aaaah?! Vyuo vya watoto wadogo wanaoenda kufundishwa upadre na utawa aaah haviharibu watoto?
Ya Nigeria ni real example ya Boko Haram ilivyo anza ilianza hivi hivi,tatizo wao hawa kuyakemea na gundua mapema.
Kweli kiimani ni mkrisho,ila ukiniambia nichague amani ya nchi yangu na dini yangu,nitachagua amani ya nchi yangu,sababu kwenye amani hata ule utulivu wa kusali unaupata.
Sasa nikishaujua huo mchango wa dini yako,then .......... inahusiana nini na hiki kikicho tokea Kisarawe.
Hapo umeona kuna mafunzo yoyote ya kijeshi? Walivyokagua wamekuta hata viashiria vya silahaKatafute hata Documentary na historia ya Boko Haram ilivyo anza.
Mbona hao watangulizi wake wameishi vizuri na wakazi wa kisarawe?Hiyo wilaya imekuwa sehemu ya kujifunzia
Jokate
Nikki wa pili
Wewe ulitaka uone silaha na vifaru?, watu wanaanza kupandikiza ideology kutengeneza mentality then yanakuja hayo mafunzo ya physically. Ukifanikiwa kwenye mentality then hayo mafunzo ya silaha ni kitu chepesi na hata kama hato fundishwa anauwezo wa kujifunza mwenyewe, sababu mind yake ishakuwa distracted na ideology za kikatili.Hapo umeona kuna mafunzo yoyote ya kijeshi? Walivyokagua wamekuta hata viashiria vya silaha
Wewe ulitaka uone silaha na vifaru?, watu wanaanza kupandikiza ideology kutengeneza mentality then yanakuja hayo mafunzo ya physically. Ukifanikiwa kwenye mentality then hayo mafunzo ya silaha ni kitu chepesi na hata kama hato fundishwa anauwezo wa kujifunza mwenyewe, sababu mind yake ishakuwa distracted na ideology za kikatili.
Nimeongea according to reference nilicho kiona kupitia documentary ya Boko Haram,sababu road map yake ilianza kwa style kama hii ya Kisarawe au unazani Boko Haram iliibuka tu from no where?
Vp unajua content wanazofundishwa?
Vp silabasi wanayo itumia?
Walimu je wanauelewa na wanacho kifundisha kina impact gani kwenye makuzi ya akili ya mtoto?
Vp mzingira ni salama kwa makuzi ya mtoto?
Vp afya zao kimwili na kiakili?
DC anataka kujua zaidi na ndio maana kamwabia aende kituoni kwa maelezo zaidi,ili apaje majibu ya undani zaidi juu ya hayo maswali ya hapo juu.
Nini kifanyike? Mtangulizi wake wa weusi yeye alikuwa anapiga mbususu za kizaramo ndiomana aliwapa uhuru 😹😹😹Mbona hao watangulizi wake wameishi vizuri na wakazi wa kisarawe?
Kuingia tu kakataza watoto wa kizaramo wasichezwe
Mara wakazi wa kisarawe wasitumie pikipiki kubeba mkaa. Dereva akikamatwa anataifisha pikipiki.
Hajatulia kaja na hili la kuvamia Misikiti ya waislam.
Huyu jamaa anacho anachokitafuta.
Yaani watoto wa kiislam wasikae sehemu moja kuisoma dini yao ili wajenge jamii bora huko baadae, yeye anataka warudi majumbani ili wakaharibikiwe?
Jamii isiyo mjua Mungu ni sawa na kusanyiko la wanyama tu wanaokula na kunywa.
Seminary ni chuo cha mafunzo hasa cha maswala ya kiimani (Kikristo/Kislam/Butha/Hindu) nijuavyo mimi.K
Kwahiyo seminaries na sunday schools zinafundisha Ushoga?
Shida sio kulala msikitini kaka, hata hapo mkuu wa mkoa swala alilozungumzia ni watoto kukaa mazingira ambayo sio rafiki, na wengi hawapelekwi hata shule (wengi hapo wanadai wamefeli darasa la saba ila sio kweli)NI KAWAIDA KABISA HIZO NI BOARDING ZA ELIMU YA DINI YA KIISILAMU.
tatizo ni kwamba ikionekana watu wanalala katika misikiti watu hudhani wanafundishana ugaidi.
lakini kimsingi boarding kama hizo za masomo ya kiisilamu zipo nyingi sana Nchi hii katika mikoa mingi.
na boarding hizo hufundisha masmo ya kawaida kabisa katika uisilamu.
Kama vile kuhifadhi Qurani,kusoma hadithi,fiqhi,lugha ya kiarabu n.k
Japokuwa wstu wabaya hupitisha ajenda yao popote pale na hivyo hatà huko wapo wachache wanaweza kutumia huo upenyo.
Ila kimsingi Hapo hakuna viashiria vyovyote vya ugaidi.
Mzee Said,Bagamoyo,
Rejea kwenye hiyo video uitazame na usikilize ukiwa makini.
Hakuna mwanafunzi yeyote kutoka nje ya Tanzania.
Rejea usikilize tena hao wanafunzi wengi wameishia darasa la saba na wameletwa hapo na wazee wao waje wasome dini.
Tatizo labda liko hapa.
Nimetumia neno ''labda'' kwa makusudi ili ikiwa lipo tatizo lingine lisemwe.
Ikiwa wewe ni Muislam hutopata tabu unapambiwa watoto wengi wa Kiislam huishia darasa la saba.
Kitwana Kondo alipata kulizungumza hili Bungeni.
Nakuwekea hotuba yake uisome.
(Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma, 1999)
Waislam waliofanyiwa mtihani wa kuingia kidato cha kwanza majority yaani wengi walikuwa Waislam na Wengine walikuwa ndiyo wachache.
Waliochaguliwa kuanza kidato cha kwanza wengi walitoka katika wale Wengine na Waislam wakawa wachache.
Waislam kwa kuthamini elimu ndiyo wanawapeleka watoto wao katika shule hizi za ''kimasikini,'' kusoma.
Hatuna ubavu wa kushindana na shule za Wengine ambazo zinapewa ruzuku mabilioni ya kutoka serikalini kupitia Memorandum of Understanding (MUM) katika ya Serikali na Makanisa.
Yapo mengi katika matatizo yanayowakabili Waislam moja wapo ilikuwa NECTA kuhujumu shule za Waislam.
Naamini unayajua maandamano ya Waislam mwaka wa 2012.
Tutoke hapo.
Kama tatizo la kuvamia msikiti usiku wa manane DC na Kamati ya Amani mbona kuna shule za mbovu kupita kiasi hazijavamiwa na wanafunzi kurudishwa makwao?
Angalia ushahidi huo hapo chini:
View attachment 3039350
Upo ushahidi mwingi lakini tuanze na huu.
Nipe jibu kwa nini shule hii haijavamiwa usiku wa manane na DC na Kamati ya Usalama?
Kaka hiyo hotuba naona umerefer kutoka mwaka 1999 (Nisahihishe kama nimekosea), mambo yamebadilika kaka. Binafsi sijawahi ku-experience wala kuona mtu yoyote aliyekutana na bias ama segregation kwenye elimu kwasababu ya kuwa Muislam (hususani kwa miaka ya saivi) naonaga ni mentality tu tumejiwekea.Bagamoyo,
Rejea kwenye hiyo video uitazame na usikilize ukiwa makini.
Hakuna mwanafunzi yeyote kutoka nje ya Tanzania.
Rejea usikilize tena hao wanafunzi wengi wameishia darasa la saba na wameletwa hapo na wazee wao waje wasome dini.
Tatizo labda liko hapa.
Nimetumia neno ''labda'' kwa makusudi ili ikiwa lipo tatizo lingine lisemwe.
Ikiwa wewe ni Muislam hutopata tabu unapambiwa watoto wengi wa Kiislam huishia darasa la saba.
Kitwana Kondo alipata kulizungumza hili Bungeni.
Nakuwekea hotuba yake uisome.
(Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma, 1999)
Waislam waliofanyiwa mtihani wa kuingia kidato cha kwanza majority yaani wengi walikuwa Waislam na Wengine walikuwa ndiyo wachache.
Waliochaguliwa kuanza kidato cha kwanza wengi walitoka katika wale Wengine na Waislam wakawa wachache.
Waislam kwa kuthamini elimu ndiyo wanawapeleka watoto wao katika shule hizi za ''kimasikini,'' kusoma.
Hatuna ubavu wa kushindana na shule za Wengine ambazo zinapewa ruzuku mabilioni ya kutoka serikalini kupitia Memorandum of Understanding (MUM) katika ya Serikali na Makanisa.
Yapo mengi katika matatizo yanayowakabili Waislam moja wapo ilikuwa NECTA kuhujumu shule za Waislam.
Naamini unayajua maandamano ya Waislam mwaka wa 2012.
Tutoke hapo.
Kama tatizo la kuvamia msikiti usiku wa manane DC na Kamati ya Amani mbona kuna shule za mbovu kupita kiasi hazijavamiwa na wanafunzi kurudishwa makwao?
Angalia ushahidi huo hapo chini:
View attachment 3039350
Upo ushahidi mwingi lakini tuanze na huu.
Nipe jibu kwa nini shule hii haijavamiwa usiku wa manane na DC na Kamati ya Usalama?
Wewe unayehisisha dini na akili za mtu binafsu ndo unamatatizo ndugu.Hii dini ni ya ajabu sana