Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Bila shaka wameshajazia maneno.Nlitaka kuandika jambo nikakumbuka wabongo wape heading tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka wameshajazia maneno.Nlitaka kuandika jambo nikakumbuka wabongo wape heading tu
Katika video nimependa kauli ya DC magoti anasema "watu wanamaliza godoro kutafuta watoto,"Bila shaka wameshajazia maneno.
Akimaanisha nini mkuuKatika video nimependa kauli ya DC magoti anasema "watu wanamaliza godoro kutafuta watoto,"
Hapo kwenye hizi weka hiiNi kweli kuna balaa linaandaliwa mbeleni kupitia hizi dini
Nguvu,MUM au MoU ?
Hao hapo hawajafuata sheria. Iko wazi kabisa, na MAZINGIRA ni hatarishiVyuo vya dini vipo muda mrefu tu .Mfano Chuo Cha TAMTA,Zaharau na Maawal vya Tanga vimefundisha masheikh wengi wakubwa kutoka pande mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.Hapajakuwepo shida yoyote katika vyuo hivyo pamoja na wanafunzi wengine kukaa bweni.Kulaza wanafunzi kwa kufuata Sheria hakuna shida.Waacheni watu wasome dini zao mradi wafuate Sheria.Wanaopinga watu kusoma dini ndiyo siwaelewi.
Si umeona hapo Kuna neno foundation unakuta inapokea mabillioni ya pesa mipesa kutoka kwa wafadhili zinaingia mifukoni mwenu huku mkiwatumia watoto kama chambo na kuhusu wakatokiliki kupewa fedha za uendeshaji wa taasisi zake ni zile taasisi zinazahudimia jamii kwa ujumla Sasa jiulize kama hospital kama bugando waislam hawatibiwi?From...
Unawafananisha Waislam masikini ya Mungu na Wakatoliki wanaopewa ruzuku ya mabilioni na serikali?
Unaijua Memorandum of Understanding (MUM)?
Kuna ugaidi au huduma za kijamii.From...
Unawafananisha Waislam masikini ya Mungu na Wakatoliki wanaopewa ruzuku ya mabilioni na serikali?
Unaijua Memorandum of Understanding (MUM)?
Bado naitafakari Kwa kina hiyo kauliAkimaanisha nini mkuu
Sawa mkuuBado naitafakari Kwa kina hiyo kauli
NdioKulikuwa na ulazima DC kuwepo kwenye hiyo operation?
NMUM au MoU ?
Na peponi hawaendi kwa sababu ya mtihani mkubwa wa umaskini walionao Waafrika.Boarding mnaKwenda kufunzwa dini badala ya masomo ambayo yanatakiwa kufunzwa? Huu upuuzi wa dini yenu ndio unaoharibu jamii, serikali ikicheka na hawa vilaza, tutakuja kulia, muda wa watoto kuwa shule ninyi mnawapeleka misikitini kuwajaza upuuzi ambao hauna msaada kwa maisha yao wala kwa Taifa,
Pia ni vyema kuwasikiliza lengo na nia ya hao kuanzisha hicho kituo kama haitishii usalama sioni shida kwa maana tunatafutiana mitazamo na matarajio ya mbeleni, wengine hawana mpango na hii elimu ya darasani tayari wana mifumo yao ya jinsi ya kupata maisha uona kama inawapotezea mda tu.Kiongozi jenga utamaduni wa kushughulikia chanzo cha tatizo au chanzo cha uvunjifu wa sheria/utaratibu nk nani aliwaleta hapo hao watoto, kwa vibali gani..lengo ni nini? nk ili isije rudiwa tena na wale walioanzisha hili jambo wachukuliwe hatua wao binafsi. Sasa fungeni kituo, halafu baada ya muda wanakwenda kuanzisha jambo hilo hilo sehemu nyingine!
Shekhe wangu Mzee Mohamed Said, kwa hili la Bagamoyo,ungeliacha tu lipite. Si jema kwa afya za watoto.Bagamoyo,
Rejea kwenye hiyo video uitazame na usikilize ukiwa makini.
Hakuna mwanafunzi yeyote kutoka nje ya Tanzania.
Rejea usikilize tena hao wanafunzi wengi wameishia darasa la saba na wameletwa hapo na wazee wao waje wasome dini.
Tatizo labda liko hapa.
Nimetumia neno ''labda'' kwa makusudi ili ikiwa lipo tatizo lingine lisemwe.
Ikiwa wewe ni Muislam hutopata tabu unapambiwa watoto wengi wa Kiislam huishia darasa la saba.
Kitwana Kondo alipata kulizungumza hili Bungeni.
Nakuwekea hotuba yake uisome.
(Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma, 1999)
Waislam waliofanyiwa mtihani wa kuingia kidato cha kwanza majority yaani wengi walikuwa Waislam na Wengine walikuwa ndiyo wachache.
Waliochaguliwa kuanza kidato cha kwanza wengi walitoka katika wale Wengine na Waislam wakawa wachache.
Waislam kwa kuthamini elimu ndiyo wanawapeleka watoto wao katika shule hizi za ''kimasikini,'' kusoma.
Hatuna ubavu wa kushindana na shule za Wengine ambazo zinapewa ruzuku mabilioni ya kutoka serikalini kupitia Memorandum of Understanding (MUM) katika ya Serikali na Makanisa.
Yapo mengi katika matatizo yanayowakabili Waislam moja wapo ilikuwa NECTA kuhujumu shule za Waislam.
Naamini unayajua maandamano ya Waislam mwaka wa 2012.
Tutoke hapo.
Kama tatizo la kuvamia msikiti usiku wa manane DC na Kamati ya Amani mbona kuna shule za mbovu kupita kiasi hazijavamiwa na wanafunzi kurudishwa makwao?
Angalia ushahidi huo hapo chini
Upo ushahidi mwingi lakini tuanze na huu.
Nipe jibu kwa nini shule hii haijavamiwa usiku wa manane na DC na Kamati ya Usalama?
Ni kweli......lakini hapa mazingira ya kuishi vijana sio rafiki kabisa.......bila shaka umeona video fupi juu ya hayo mazingira. Ni bora kufunga na kufanya marekebisho ila vijana waishi maisha rafiki kwa elimu yao.NI KAWAIDA KABISA HIZO NI BOARDING ZA ELIMU YA DINI YA KIISILAMU.
tatizo ni kwamba ikionekana watu wanalala katika misikiti watu hudhani wanafundishana ugaidi.
lakini kimsingi boarding kama hizo za masomo ya kiisilamu zipo nyingi sana Nchi hii katika mikoa mingi.
na boarding hizo hufundisha masmo ya kawaida kabisa katika uisilamu.
Kama vile kuhifadhi Qurani,kusoma hadithi,fiqhi,lugha ya kiarabu n.k
Japokuwa wstu wabaya hupitisha ajenda yao popote pale na hivyo hatà huko wapo wachache wanaweza kutumia huo upenyo.
Ila kimsingi Hapo hakuna viashiria vyovyote vya ugaidi.