Inaweza ikafika hyo hela.
Ujenzi GHARAMA.
Cement 16,000.
Nondo 21,000 za mm 12
Nondo 35,000 za mm 16.
Tofali la nchi 5 1,100.
Bati la futi 10 20,000.
ringi sh 5,00.
kokoto za msolwa qubic Mita 1 80,000.
Bado mafundi bado vibarua bado vifaa vingine vingi Tu.
Bei ya bati sio 20,000/= majengo ya serikali yanapauliwa na bati la gauge 28 ambalo kwa Sasa ni Tsh 27,000/= kwa bati moja.
Lkn pia kutakuwa na Manunuzi ya tiles, ambazo zinagawanyika Mara mbili, kwa chooni lazima kuwepo na tiles za ukutani, na tiles za sakafuni! Box moja la tiles haipungui Tsh 20,000/=
Mbao za 1x10 nazo zinahusika ktk kufunika choo, moja inauzwa 20,000/=
Nondo ya mm 6 nayo pia inahusika kwa ajili ya binding ya nondo kubwa ktk shimo na ktk rinta za jengo, inauzwa kwa Roller, roller moja ni 180,000/= Hadi 200,000/=
Kuna rangi ya weather guard kwa ajili ya kuta za nje ndoo moja 150,000/= white cement mfuko mmoja 40,000/=
Fisher board mbao moja ni 20,000/= na rangi inayopaka Fisher board inauzwa 22,000/= kwa lt 4 na lazima izimuliwe na thinner ambayo dumu la Lita 5 ni 30,000/=
Kuna rangi ya kiuno Cha choo, ambayo huwa inapigwa nyeusi- bei nayo ni 22,000/=lazima izimuliwe na thinner ambayo ni 30,000/= kwa lt 5.
Kuna rangi ya ndani ya choo ambayo Mara nyingi inatumika hz za kawaida emmation ndoo moja ni 35,000/=
Kuna gysum board 16,000/= powder 16,000/= scrws 10,000/= kwa kibox, mikanda 3500/= Hadi 4000/=
Mbao
6x2 =6500/=
4x2=5500/=
3x2=4500/=
2x2= 4000/=
Mbao hz zote lazima zitumike ktk upauaji ili jengo liwe sawa sawa na hixi 2x2 huwa zinazama nyingi kwa kuwa zina matumizi Hadi ktk blundering.
Misumari
Inchi 3 kg 3000/ Hadi 3500
Inchi 4 "
Inchi 5. "
Misumari ya bati kg 6000/=
Sink za choo@ 20,000/= bomba kubwa za pvc inch 4 zinatumika ktk kutoa hewa chafu shimoni na ktk sink ili kusafirisha kinyesi na uchafu mwingine.
My take: ndg, kwa mie niliyewahi kusimamia ujenzi hizo milioni inawezekana kabisa zimetumika tu kihalali na hapo bado Kuna gharama nyingi sijaziweka na nyingine kubwa tu ikiwemo labour charges( gharama ya mafundi)
Pia ufisadi hauwezi kufanyika mbele ya kidot, ni mpambanaji wa ukweli na anajua majukumu yake vzr na hatishwi na chochote.
Na sie wazaramo tunaogopa jela na polisi hatuna ujanja wa kukwapua.
Assalamualaikum!