Kisasi cha Simba kutolewa na Stellen Abidjan ya Ivory Coast mwaka 1993 kwenye fainali ya shirikisho

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,078
Reaction score
5,882
Hapo vip!!
Hii ndio muda wa Simba kulipa kisasi kwa mdogo mtu na wajina mtu Stellen bosch tarehe 20.04.2025.

Hawa wakina stellen,wanataka kumzoea Simba vibaya hasa hasa kwenye hizi hatua nyeti.
Tukumbuke kombe la shirikisho kipindi hicho ilikuwa na majina
Screenshot_20250222-124959.jpg
tofauti tofauti kwa kila msimu kulingana na aina ya mdhamini ni kama kombe la ligii kuu mara vodocom,CRDB,NBC n.k
 
Unataka kudanganya watu kuwa CAF cup kwa kipindi hiko ndio sawa na CAF confederation cup kwasasa, haya tuambie ni lini uliona bingwa wa CAF cup kashiriki CAF super cup dhidi ya bingwa wa klabu bingwa kama ilivyosasa katika CAF confederation cup?
 
The 1993 CAF Cup was the second football club tournament season that took place for the runners-up of each African country's domestic league. It was won by Stella Adjamé in two-legged final victory against Simba Sports Club of Tanzania

Ngoja tusiandikie mate wakati wino upon , Shirikisho sio kombe la pili kwa ukubwa ngazi ya klabu?
 
Huu ndiyo muda muafaka wa tambo nyingi, na pia kucheza mpira wa nje ya uwanja! Halafu mambo yakienda tofauti, ndiyo lawama sasa zinachukua mkondo wake.
 
Hapo vip!!
Hii ndio muda wa Simba kulipa kisasi kwa mdogo mtu na wajina mtu Stellen bosch tarehe 20.04.2025.

Hawa wakina stellen,wanataka kumzoea Simba vibaya hasa hasa kwenye hizi hatua nyeti.
Tukumbuke kombe la shirikisho kipindi hicho ilikuwa na majinaView attachment 3308030 tofauti tofauti kwa kila msimu kulingana na aina ya mdhamini ni kama kombe la ligii kuu mara vodocom,CRDB,NBC n.k
Simba haikucheza shirikisho 1993 kwa kuwa hilo kombe lilianzishwa 2003
 
Hauoni aibu kubishana na ukweli...wewe unafikiri kwa hii akili yako iliyotawaliwa na wivu na chuki dhidi ya Simba inaweza kubadilisha record za CAF iyonekane Simba haikucheza final 1993...?

Wewe ubishe mpaka ufe hauwezi kubadilisha kitu chochote na utaweza hata kwa nukta moja...kashabikie timu yako yenye rangi ya mavi mavi huko..akili huna
 
Hapo vip!!
Hii ndio muda wa Simba kulipa kisasi kwa mdogo mtu na wajina mtu Stellen bosch tarehe 20.04.2025.

Hawa wakina stellen,wanataka kumzoea Simba vibaya hasa hasa kwenye hizi hatua nyeti.
Tukumbuke kombe la shirikisho kipindi hicho ilikuwa na majinaView attachment 3308030 tofauti tofauti kwa kila msimu kulingana na aina ya mdhamini ni kama kombe la ligii kuu mara vodocom,CRDB,NBC n.k
Tunajiandaa kumpata "Bolizozo" mpya.
 
Unataka kudanganya watu kuwa CAF cup kwa kipindi hiko ndio sawa na CAF confederation cup kwasasa, haya tuambie ni lini uliona bingwa wa CAF cup kashiriki CAF super cup dhidi ya bingwa wa klabu bingwa kama ilivyosasa katika CAF confederation cup?
Lilikuwa kombe la Mashoud Abiola, ni ndondo cup tu lilishikizwa kwa level ya Afrika kwa ajili ya sababu za kisiasa.
 
Vyura wanadanganya😀😀Penda usipende Simba ndio baba yako.

Asili ya yanga ni watu makapuku hata think capacity ipo underevarage line.

Ndio tatizo la kushabikia timu ambayo haijawahi kuingia kwenye top ten za CAF afrika za timu kubwa na bora tokea Dunia kuimbwa au yanga kuanzishwa..do you think kwa hali hii utakuwa na akili kweli?😀😀
 
Hiyo broken English itakuua bure. Huu ndio ushahidi Simba wengi ni mbumbumbu..
 
Hauoni aibu kubishana na ukweli...wewe unafikiri kwa hii akili yako iliyotawaliwa na wivu na chuki dhidi ya Simba inaweza kubadilisha record za CAF iyonekane Simba haikucheza final 1993...?

Wewe ubishe mpaka ufe hauwezi kubadilisha kitu chochote na utaweza hata kwa nukta moja...kashabikie timu yako yenye rangi ya mavi mavi huko..akili huna
Simba ilicheza fainali ya kombe la caf,yaani caf na si shirikisho, palikua na makombe matatu,caf cup(walicheza washindi wa pili kwenye ligi), winners cup, walicheza washindi wa FA, champions cup, walicheza mabingwa wa nchi, winners cup fainali 1993 walicheza al ahly na african sports, ahly alishinda 3-1
 
Unataka kudanganya watu kuwa CAF cup kwa kipindi hiko ndio sawa na CAF confederation cup kwasasa, haya tuambie ni lini uliona bingwa wa CAF cup kashiriki CAF super cup dhidi ya bingwa wa klabu bingwa kama ilivyosasa katika CAF confederation cup?
Sasa ilikua Sawa na nini wewe punguani? Uzuri na kichaka hiki kinaenda kufyekwa sijui mtasema nini tena
 
Simba ilicheza fainali ya kombe la caf,yaani caf na si shirikisho, palikua na makombe matatu,caf cup(walicheza washindi wa pili kwenye ligi), winners cup, walicheza washindi wa FA, champions cup, walicheza mabingwa wa nchi, winners cup fainali 1993 walicheza al ahly na african sports, ahly alishinda 3-1
Toa uchafu hapa..kukusaidia kirahisi kawauliza CAF hili kombe walilocheza Simba final 1993,je lina tofauti na shirilisho?sio wewe utuletee porojo zako hapa...

Kwa maelezo yalipo CAF haliba tofauti hata kidogo..sasa kati ya wewe na CAF nani mkweli?
 
Kama mashindano ya winners cup na caf cup yalifutwa na kuletwa shirikisho 2003, haiwezekani simba kua alicheza final shirikisho 1993, sababu ahly na african sports watadai nao walicheza final ya shirikisho 1993,timu nne haziwezi cheza final ya kombe moja kukiwa na vikombe viwili uwanjani,tumia akili yako vizuri,nyinyi kazaneni mcheze shirikisho mwaka huu badala ya kuokota okota kumbukumbu
 
Back
Top Bottom