Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,530
- 6,942
Mbona mnatuchanganya MBUMBUMBU hii ndio nusu fainali ya kwanza ya michuano ya CAF alafu tena mwaka 1993 mlitolewa fainali, au MLITOLEWA BIKRA?
Kati ya wewe na CAF nani anajua?wewe hunatofauti na wale watoto wa form 2 wanaonza kubalehe alafu wanajioni wao ndio wanajua kila kitu chini ya jua...nakushauri ukachambe mavx kwanza maana uchafu unakusumbuaKama mashindano ya winners cup na caf cup yalifutwa na kuletwa shirikisho 2003, haiwezekani simba kua alicheza final shirikisho 1993, sababu ahly na african sports watadai nao walicheza final ya shirikisho 1993,timu nne haziwezi cheza final ya kombe moja kukiwa na vikombe viwili uwanjani,tumia akili yako vizuri,nyinyi kazaneni mcheze shirikisho mwaka huu badala ya kuokota okota kumbukumbu
Yanga ilianzishwa na makapuku wavua samaki na masikini na wenye IQ ya chini..hivyo kama mtoto anavyorithi tabia za wazazi ndivo hivi washabiki wa yanga wameridhi umasikini na akili ndogo..washabiki wa Simba hatuna asili ya kubishana sana na uchafuMbona mnatuchanganya MBUMBUMBU hii ndio nusu fainali ya kwanza ya michuano ya CAF alafu tena mwaka 1993 mlitolewa fainali, au MLITOLEWA BIKRA?
Caf hawasemi simba alicheza final shirikisho 1993,wanajua al ahly na african sports walicheza final winners cup 1993Kati ya wewe na CAF nani anajua?wewe hunatofauti na wale watoto wa form 2 wanaonza kubalehe alafu wanajioni wao ndio wanajua kila kitu chini ya jua...nakushauri ukachambe mavx kwanza maana uchafu unakusumbua
Weka ushahidi hap?...acha kutuletee story za vile vijiwe vya kahawa chafu chafu hapa..Caf hawasemi simba alicheza final shirikisho 1993,wanajua al ahly na african sports walicheza final winners cup 1993
MBUMBUMBUYanga ilianzishwa na makapuku wavua samaki na masikini na wenye IQ ya chini..hivyo kama mtoto anavyorithi tabia za wazazi ndivo hivi washabiki wa yanga wameridhi umasikini na akili ndogo..washabiki wa Simba hatuna asili ya kubishana sana na uchafu
U hali gani tanita!?Weka ushahidi hap?...acha kutuletee story za vile vijiwe vya kahawa chafu chafu hapa..
Hili ndio tatizo la kuwaza kwa kutumia mkxndx badala kichwaU hali gani tanita!?
Ulikua ni msimu wa pili wa hilo kombe, msimu wa kwanza ilikua 1992,issa hayatou,rais wa caf,alikopi kombe la UEFA cup,ambalo lilifutwa baada ya 1999Unajua nini maana ya second tournament au kwasababu imeandika kingereza?hivi kati ya shirikisho na club bingwa ipi ni second tournament kwa sasa hivi?
Hili ndio tatizo la kuwaza kwa kutumia mkxndx badala kichwa
Kwenye hilo andiko kuna msimu hapo?yaani wewe una maelezo ya ziada kuishinda CAF?acha kuharisha kwenye mitandao..nenda karishe chooniUlikua ni msimu wa pili wa hilo kombe, msimu wa kwanza ilikua 1992,issa hayatou,rais wa caf,alikopi kombe la UEFA cup,ambalo lilifutwa baada ya 1999
'second' football club tournament 'season'..msimu wa pili wa mashindano ya vilabu...na hapo ukute una degree ya udsm,vilaza sana nyie kizazi!Kwenye hilo andiko kuna msimu hapo?yaani wewe una maelezo ya ziada kuishinda CAF?acha kuharisha kwenye mitandao..nenda karishe chooni
'second' football club tournament 'season'..msimu wa pili wa mashindano ya vilabu...na hapo ukute una degree ya udsm,vilaza sana nyie kizazi!
Tafautisha kati ya msimu na second tournament...msimu ni sawa tunavyotumia kwenye ligi kuu yetu ila haiyondoe maana ya kombe halisi...kombe la ligi kuu ni lile ila misimu ni tofauti...hizi hoja unazojenga ni za watoto wa form 2'second' football club tournament 'season'..msimu wa pili wa mashindano ya vilabu...na hapo ukute una degree ya udsm,vilaza sana nyie kizazi!
Kuna neno season hapo wewe kunguniTafautisha kati ya msimu na second tournament...msimu ni sawa tunavyotumia kwenye ligi kuu yetu ila haiyondoe maana ya kombe halisi...kombe la ligi kuu ni lile ila misimu ni tofauti...hizi hoja unazojenga ni za watoto wa form 2
Mwanzoni nimekuambia unatatizi la mental-disorder...
Sibishani na uchafu tena na shusha hadhi yanguKuna neno season hapo wewe kunguni
Unaweza kunijaalia level ya elimu yako tafadhali!..second-football club tournament- season,kama football club tournament inakuchanganya sana ni kwamba wanamaanisha siyo mashindano ya timu za taifa bali vilabu,walimu wako walikua na tabu sana kukuelewesha, ndiyo shida ya kuangalia katuni utotoni,unakua na na uelewa wa king'ombe ng'ombeSibishani na uchafu tena na shusha hadhi yangu
Tatizo lako sio unabishana kwa uelewa bali unabishana kwa sababu unasili ya upumbavu na ujingaUnaweza kunijaalia level ya elimu yako tafadhali!..second-football club tournament- season,kama football club tournament inakuchanganya sana ni kwamba wanamaanisha siyo mashindano ya timu za taifa bali vilabu,walimu wako walikua na tabu sana kukuelewesha, ndiyo shida ya kuangalia katuni utotoni,unakua na na uelewa wa king'ombe ng'ombe
Kila la kheri mwerevuTatizo lako sio unabishana kwa uelewa bali unabishana kwa sababu unasili ya upumbavu na ujinga
Uongo mtupu. Hakuna timu inayoitwa Stellen Abdjan. Pia Caf Cup sio Confederation Cup.Hapo vip!!
Hii ndio muda wa Simba kulipa kisasi kwa mdogo mtu na wajina mtu Stellen bosch tarehe 20.04.2025.
Hawa wakina stellen,wanataka kumzoea Simba vibaya hasa hasa kwenye hizi hatua nyeti.
Tukumbuke kombe la shirikisho kipindi hicho ilikuwa na majinaView attachment 3308030 tofauti tofauti kwa kila msimu kulingana na aina ya mdhamini ni kama kombe la ligii kuu mara vodocom,CRDB,NBC n.k
Andelea kushabilia timu ambayo haijawahi kuingia top 10 za CAF tokea Dunia iumbwe..imagine kwa kushabikia timu kama yanga,utakuwa na akili kweli ya kuelewa mambo?😁😁watu wenye akili za juu ndio wanaelewa ninachozungumza..imagine unashabikia timu yenye rangi za mavi mavi,njano mavi inawakilisha mavi ya mwanadamu na kijani mavi ya ndege..utakuwa na akili kweli?Uongo mtupu. Hakuna timu inayoitwa Stellen Abdjan. Pia Caf Cup sio Confederation Cup.