Kisasi cha Simba kutolewa na Stellen Abidjan ya Ivory Coast mwaka 1993 kwenye fainali ya shirikisho

Kisasi cha Simba kutolewa na Stellen Abidjan ya Ivory Coast mwaka 1993 kwenye fainali ya shirikisho

Andelea kushabilia timu ambayo haijawahi kuingia top 10 za CAF tokea Dunia iumbwe..imagine kwa kushabikia timu kama yanga,utakuwa na akili kweli ya kuelewa mambo?😁😁watu wenye akili za juu ndio wanaelewa ninachozungumza..imagine unashabikia timu yenye rangi za mavi mavi,njano mavi inawakilisha mavi ya mwanadamu na kijani mavi ya ndege..utakuwa na akili kweli?
Nashabikia timu ipi hayakuhusu ila acha uongo.
 
Kama mashindano ya winners cup na caf cup yalifutwa na kuletwa shirikisho 2003, haiwezekani simba kua alicheza final shirikisho 1993, sababu ahly na african sports watadai nao walicheza final ya shirikisho 1993,timu nne haziwezi cheza final ya kombe moja kukiwa na vikombe viwili uwanjani,tumia akili yako vizuri,nyinyi kazaneni mcheze shirikisho mwaka huu badala ya kuokota okota kumbukumbu
Nimeamini yanga na wanayanga ni watu masikini sana hata hoja zao zimejaa chuki na husda
 
Back
Top Bottom