Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
The 1993 CAF Cup was the second football club tournament season that took place for the runners-up of each African country's domestic league. It was won by Stella Adjamé in two-legged final victory against Simba Sports Club of TanzaniaUnataka kudanganya watu kuwa CAF cup kwa kipindi hiko ndio sawa na CAF confederation cup kwasasa, haya tuambie ni lini uliona bingwa wa CAF cup kashiriki CAF super cup dhidi ya bingwa wa klabu bingwa kama ilivyosasa katika CAF confederation cup?
Hawa tunawapiga nyingi ...kaa kwa kitulia.Ukitaka kulipa kisasi hakikisha unachimba makaburi mawili. Mwenye akili asikie na kuelewa
Simba haikucheza shirikisho 1993 kwa kuwa hilo kombe lilianzishwa 2003Hapo vip!!
Hii ndio muda wa Simba kulipa kisasi kwa mdogo mtu na wajina mtu Stellen bosch tarehe 20.04.2025.
Hawa wakina stellen,wanataka kumzoea Simba vibaya hasa hasa kwenye hizi hatua nyeti.
Tukumbuke kombe la shirikisho kipindi hicho ilikuwa na majinaView attachment 3308030 tofauti tofauti kwa kila msimu kulingana na aina ya mdhamini ni kama kombe la ligii kuu mara vodocom,CRDB,NBC n.k
Hauoni aibu kubishana na ukweli...wewe unafikiri kwa hii akili yako iliyotawaliwa na wivu na chuki dhidi ya Simba inaweza kubadilisha record za CAF iyonekane Simba haikucheza final 1993...?Simba haikucheza shirikisho 1993 kwa kuwa hilo kombe lilianzishwa 2003
Tunajiandaa kumpata "Bolizozo" mpya.Hapo vip!!
Hii ndio muda wa Simba kulipa kisasi kwa mdogo mtu na wajina mtu Stellen bosch tarehe 20.04.2025.
Hawa wakina stellen,wanataka kumzoea Simba vibaya hasa hasa kwenye hizi hatua nyeti.
Tukumbuke kombe la shirikisho kipindi hicho ilikuwa na majinaView attachment 3308030 tofauti tofauti kwa kila msimu kulingana na aina ya mdhamini ni kama kombe la ligii kuu mara vodocom,CRDB,NBC n.k
Lilikuwa kombe la Mashoud Abiola, ni ndondo cup tu lilishikizwa kwa level ya Afrika kwa ajili ya sababu za kisiasa.Unataka kudanganya watu kuwa CAF cup kwa kipindi hiko ndio sawa na CAF confederation cup kwasasa, haya tuambie ni lini uliona bingwa wa CAF cup kashiriki CAF super cup dhidi ya bingwa wa klabu bingwa kama ilivyosasa katika CAF confederation cup?
Vyura wanadanganya😀😀Penda usipende Simba ndio baba yako.Lilikuwa kombe la Mashoud Abiola, ni ndondo cup tu lilishikizwa kwa level ya Afrika kwa ajili ya sababu za kisiasa.
Hiyo broken English itakuua bure. Huu ndio ushahidi Simba wengi ni mbumbumbu..Vyura wanadanganya😀😀Penda usipende Simba ndio baba yako.
Asili ya yanga ni watu makapuku hata think capacity ipo underevarage line.
Ndio tatizo la kushabikia timu ambayo haijawahi kuingia kwenye top ten za CAF afrika za timu kubwa na bora tokea Dunia kuimbwa au yanga kuanzishwa..do you think kwa hali hii utakuwa na akili kweli?😀😀
Andika yakwako ya uingereza...papasi wewe unayepapasawa .mnajisifia hatua ambayo Simba imekanyaga miaka 32 iliyopita..kama sio utindio wa ubongo nini?Hiyo broken English itakuua bure. Huu ndio ushahidi Simba wengi ni mbumbumbu..
Simba ilicheza fainali ya kombe la caf,yaani caf na si shirikisho, palikua na makombe matatu,caf cup(walicheza washindi wa pili kwenye ligi), winners cup, walicheza washindi wa FA, champions cup, walicheza mabingwa wa nchi, winners cup fainali 1993 walicheza al ahly na african sports, ahly alishinda 3-1Hauoni aibu kubishana na ukweli...wewe unafikiri kwa hii akili yako iliyotawaliwa na wivu na chuki dhidi ya Simba inaweza kubadilisha record za CAF iyonekane Simba haikucheza final 1993...?
Wewe ubishe mpaka ufe hauwezi kubadilisha kitu chochote na utaweza hata kwa nukta moja...kashabikie timu yako yenye rangi ya mavi mavi huko..akili huna
Sasa ilikua Sawa na nini wewe punguani? Uzuri na kichaka hiki kinaenda kufyekwa sijui mtasema nini tenaUnataka kudanganya watu kuwa CAF cup kwa kipindi hiko ndio sawa na CAF confederation cup kwasasa, haya tuambie ni lini uliona bingwa wa CAF cup kashiriki CAF super cup dhidi ya bingwa wa klabu bingwa kama ilivyosasa katika CAF confederation cup?
Toa uchafu hapa..kukusaidia kirahisi kawauliza CAF hili kombe walilocheza Simba final 1993,je lina tofauti na shirilisho?sio wewe utuletee porojo zako hapa...Simba ilicheza fainali ya kombe la caf,yaani caf na si shirikisho, palikua na makombe matatu,caf cup(walicheza washindi wa pili kwenye ligi), winners cup, walicheza washindi wa FA, champions cup, walicheza mabingwa wa nchi, winners cup fainali 1993 walicheza al ahly na african sports, ahly alishinda 3-1
Kama mashindano ya winners cup na caf cup yalifutwa na kuletwa shirikisho 2003, haiwezekani simba kua alicheza final shirikisho 1993, sababu ahly na african sports watadai nao walicheza final ya shirikisho 1993,timu nne haziwezi cheza final ya kombe moja kukiwa na vikombe viwili uwanjani,tumia akili yako vizuri,nyinyi kazaneni mcheze shirikisho mwaka huu badala ya kuokota okota kumbukumbuToa uchafu hapa..kukusaidia kirahisi kawauliza CAF hili kombe walilocheza Simba final 1993,je lina tofauti na shirilisho?sio wewe utuletee porojo zako hapa...
Kwa maelezo yalipo CAF haliba tofauti hata kidogo..sasa kati ya wewe na CAF nani mkweli?