Kisasi cha Simba kutolewa na Stellen Abidjan ya Ivory Coast mwaka 1993 kwenye fainali ya shirikisho

Mbona mnatuchanganya MBUMBUMBU hii ndio nusu fainali ya kwanza ya michuano ya CAF alafu tena mwaka 1993 mlitolewa fainali, au MLITOLEWA BIKRA?
 
Kati ya wewe na CAF nani anajua?wewe hunatofauti na wale watoto wa form 2 wanaonza kubalehe alafu wanajioni wao ndio wanajua kila kitu chini ya jua...nakushauri ukachambe mavx kwanza maana uchafu unakusumbua
 
Yanga ilianzishwa na makapuku wavua samaki na masikini na wenye IQ ya chini..hivyo kama mtoto anavyorithi tabia za wazazi ndivo hivi washabiki wa yanga wameridhi umasikini na akili ndogo..washabiki wa Simba hatuna asili ya kubishana sana na uchafu
 
Caf hawasemi simba alicheza final shirikisho 1993,wanajua al ahly na african sports walicheza final winners cup 1993
 
Weka ushahidi hap?...acha kutuletee story za vile vijiwe vya kahawa chafu chafu hapa..
 
Yanga ilianzishwa na makapuku wavua samaki na masikini na wenye IQ ya chini..hivyo kama mtoto anavyorithi tabia za wazazi ndivo hivi washabiki wa yanga wameridhi umasikini na akili ndogo..washabiki wa Simba hatuna asili ya kubishana sana na uchafu
MBUMBUMBU
 
Attachments

  • Screenshot_2025-04-18-22-34-23-592.jpg
    213 KB · Views: 15
  • Screenshot_2025-04-18-22-33-25-304.jpg
    267.4 KB · Views: 21
Unajua nini maana ya second tournament au kwasababu imeandika kingereza?hivi kati ya shirikisho na club bingwa ipi ni second tournament kwa sasa hivi?
U hali gani tanita!?
Hili ndio tatizo la kuwaza kwa kutumia mkxndx badala kichwa
 
Ulikua ni msimu wa pili wa hilo kombe, msimu wa kwanza ilikua 1992,issa hayatou,rais wa caf,alikopi kombe la UEFA cup,ambalo lilifutwa baada ya 1999
 
Kwenye hilo andiko kuna msimu hapo?yaani wewe una maelezo ya ziada kuishinda CAF?acha kuharisha kwenye mitandao..nenda karishe chooni
 
'second' football club tournament 'season'..msimu wa pili wa mashindano ya vilabu...na hapo ukute una degree ya udsm,vilaza sana nyie kizazi!
 
Tafautisha kati ya msimu na second tournament...msimu ni sawa tunavyotumia kwenye ligi kuu yetu ila haiyondoe maana ya kombe halisi...kombe la ligi kuu ni lile ila misimu ni tofauti...hizi hoja unazojenga ni za watoto wa form 2
Mwanzoni nimekuambia unatatizi la mental-disorder...

NB..sibishani na uchafu tena nashusha hadhi yangu
 
Kuna neno season hapo wewe kunguni
 
Sibishani na uchafu tena na shusha hadhi yangu
Unaweza kunijaalia level ya elimu yako tafadhali!..second-football club tournament- season,kama football club tournament inakuchanganya sana ni kwamba wanamaanisha siyo mashindano ya timu za taifa bali vilabu,walimu wako walikua na tabu sana kukuelewesha, ndiyo shida ya kuangalia katuni utotoni,unakua na na uelewa wa king'ombe ng'ombe
 
Tatizo lako sio unabishana kwa uelewa bali unabishana kwa sababu unasili ya upumbavu na ujinga
 
Uongo mtupu. Hakuna timu inayoitwa Stellen Abdjan. Pia Caf Cup sio Confederation Cup.
 
Andelea kushabilia timu ambayo haijawahi kuingia top 10 za CAF tokea Dunia iumbwe..imagine kwa kushabikia timu kama yanga,utakuwa na akili kweli ya kuelewa mambo?😁😁watu wenye akili za juu ndio wanaelewa ninachozungumza..imagine unashabikia timu yenye rangi za mavi mavi,njano mavi inawakilisha mavi ya mwanadamu na kijani mavi ya ndege..utakuwa na akili kweli?
 
Kila la kheri kwa mnyama.
🦁
πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…