BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Hii clip ilikuwa too muchMtoto kupewa elfu kumi tu
Umasikini mbaya sana View attachment 3055062
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii clip ilikuwa too muchMtoto kupewa elfu kumi tu
Umasikini mbaya sana View attachment 3055062
Mbona hawa mabongoflaver wanafanya sana hiiKuna video ilitumwa Juzi ikiuonyesha amekaa kwenye kiti halafu kuna dada amekaa juu ya "boloyoung" akikatika huku akinyonywa kifuani na binti then demu akainama kisha Babuu kisauji akawa anamchapa makofi kwenye "MATTERCORE".
Ni mtoto mkuu angekuwa mtu mzima at least 18+ angekuwa kaonewaMbona hawa mabongoflaver wanafanya sana hii
Babu anakula pazuri
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema limejiridhisha kuwa Seif Kassim Kisauji maarufu Babu wa TikTok ametenda kosa la kimaadili wakati akitekeleza kazi zake za sanaa na limefikia maamuzi kumfungia kutokujishughulisha kufanya kazi za sanaa ndani na nje ya Tanzania kwa kipindi cha miezi sita kuanzia leo July 22,2024 na kumtoza faini ya Tsh. milioni 3 ambayo anatakiwa kuilipa ndani ya siku 7 kuanzia leo.
Baraza limesema limefikia uamuzi huo baada ya kumuita Kisauji kuhusiana na ukiukwaji wa maadili akiwa kama Msanii aliyesajiliwa na Baraza la Sanaa la Taifa kwa usajili Na. BST-9684-2023-2154 ambapo ukiukwani huo wa maadili ni kinyume na Kanuni ya 25 (6) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa za mwaka 2018 na Mwongozo wa Uzingatiaji wa Maadili katika Kazi za Sanaa wa Mwaka 2023.
“Baraza la Sanaa la Taifa kupitia Sheria Na. 23 ya Mwaka 1984 na Maboresho yake ya Mwaka 2019 ina mamlaka ya kusimamia maadili ya msingi kwenye Sekta ya Sanaa kwa Kanuni ya 25(1)-(8) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa za Mwaka 2018”
“Baraza limekwishatoa na kuzindua mwongozo wa maadili katika kazi za sanaa ambao unapatikana katika tovuti yetu basata.go.tz, hivyo ni jukumu la kila Msanii na Mdau wa Sanaa na jamii kuzingatia maadili katika kazi za sanaa”
Si vizuri kwa kauli kwa kuwa ni muislam Ina maana wakristo hawapewi adhabu naomba tuangalie majibu yasije leta taaruki kwa jamii nawatakia jioni njemaNonsence
Huyu Mzee ana Watoto wakike na mm niwashikeshike Nmtumie na video🙂
Kizazi cha sshivi kinajuwa kila kituKumbe ni mtoto ?
Mbona hatari zaidi sasa?
Si rahisi kubakwa au kinajisiwa?! 🙆♂️🤦♀️
Wazazi/walezi wake wako wapi wasimtunze 😭
Huruma nyie 😭
Huyo mtoto atakuwa ameshaanza kufanya mambo ya kikubwa siku nyingi 😭🤦♀️🙆♂️
Hatari sanaKuna video ilitumwa Juzi ikiuonyesha amekaa kwenye kiti halafu kuna dada amekaa juu ya "boloyoung" akikatika huku akinyonywa kifuani na binti then demu akainama kisha Babuu kisauji akawa anamchapa makofi kwenye "MATTERCORE".
WanashitakiwaMbona wala rushwa hawastakiwi kwa kuharibu jamii yetu??