Kisauji (babu wa TikTok) afungiwa miezi sita

Kisauji (babu wa TikTok) afungiwa miezi sita

Hilio nalo ni kosa,mbona aslay tumemuona akifanya ngono na hakuna hukumu yoyote dhidi yake

Aslay hakufanya hadharani ,ila Babuu kisauji alifanya hadharani kabisa....Aslay ana justification kwamba siyo yeye aliyerocrd bali ni hujuma za mpenzi wake kula fedha kwa "Da Mange."
 
Nq bado yapo yale matamasha ya baikoko sjui kanga moja
Huko watu wanabanduana wanawake wanakalia mpaka chupa mknddd ---n na kwenye k
Hii baikoko sjui kanga moja ni hatari sana
Mule ni zaidi ya sodoma na gomorrah

Kuna huyu dada wa kuitwa masha love anaanda sex party
Huko watu wanafl#nnnn na kuti@n mwanzo mwishoooo
Anatumia mgongo wa wale wasf
Mpaka nchi kufika 2035 itakuwa nyakanyaka

Ova

Kweli ndiyo maana Dayamondi alimtaja sana "SALAMU ZIENDE KWA WANJARA DON MASHA KWENYE BUNYERO ,MWAMBIE SIMBA KACHALALA ANATAKA MSAMBWANDA KWA BUKU JERO"

Masha anafanya ufirauni sana wakati ana watoto ,anawapa laana wanae ,what goes around comes around.....wanae watakuja kufanyiwa ufirauni kama anavyo engineer ufirauni kwa watoto wa wenzie.
 
Mambo anayofanya yule dada ni balaa sodoma inasubiri...alafu eti
Anapewa ubalozi wa kutangaza makampuni...
Ndomana nasema tz inazidi kuozaaa huko mbeleni tusilaumiane tu

Ova
 
Sasa hapo Mwanaume anakosa gani?
Mwanamke kajileta mwenyewe kwa Umalaya wake na tamaa ya fedha.
Basi mwanamke nae apewe adhabu yake kwa kile kitendo alichoenda kumfanya bamdogo.

Kwanini mwanamke ambae ndie alienda kuanzisha kitendo ameachwa bila adhabu?
Kwanini adhabu irgę mer kwa Mwanaume tu?
 
Je mwanamke asingeenda kupanda juu ya kiuno cha Mwanaume ingekuwaje?

Mwanaume amesababibishiwa kufanya vile na yule mwanamke .

Amemponza mwenzie.

Adhabu hiyo ni kubwa sana ya milioni 3 ,
Igawanywe.

Mwanamku alipe milioni 2
Mwanaume milioni 1
 
Kuna video ilitumwa Juzi ikiuonyesha amekaa kwenye kiti halafu kuna dada amekaa juu ya "boloyoung" akikatika huku akinyonywa kifuani na binti then demu akainama kisha Babuu kisauji akawa anamchapa makofi kwenye "MATTERCORE".
Sio demu swma mtoto. Uzee bila hekima wala hofu ya Mungu ni ukichaa.
 
Je mwanamke asingeenda kupanda juu ya kiuno cha Mwanaume ingekuwaje?

Mwanaume amesababibishiwa kufanya vile na yule mwanamke .

Amemponza mwenzie.

Adhabu hiyo ni kubwa sana ya milioni 3 ,
Igawanywe.

Mwanamku alipe milioni 2
Mwanaume milioni 1
Yule sio mwanamke. Ni mtoto. Tena asingefungiwa na BASATA ingetakiwa ashtakiwe na kupelekwa Segerea kama Bob role model wake cocastic pamoja na BICHWA KOMWE - bila kumsahau wizo wake Lamomy au ukipenda muite Mrs. 100 others alivyofanyiwa
 
Huyu mzee amekuwa takataka uzeeni, yaani hajui anapunguza customer base yake.

Namuonaga maharusini akipewa kazi ya kuimba anataka kukumbatia wake za watu wa watoto wa kike wa watu, hovyo kabisa.

Miezi sita hiyo atapigika kabisa, kwa hiyo watu wake watamshughulikia mno, anaweza kurudi kiuno kimevunjika au kiko upande upande
Hahaaaa hajafungwa jela mkuu. Kafungiwa na BASATA tu.
 
Sasa hapo Mwanaume anakosa gani?
Mwanamke kajileta mwenyewe kwa Umalaya wake na tamaa ya fedha.
Basi mwanamke nae apewe adhabu yake kwa kile kitendo alichoenda kumfanya bamdogo.

Kwanini mwanamke ambae ndie alienda kuanzisha kitendo ameachwa bila adhabu?
Kwanini adhabu irgę mer kwa Mwanaume tu?
Sidhani kama ni kuhusu hilo, fikiria sawia. Nadhani aliyepewa adhabu ni mwenye account hiyo ya ticktock. Aliyepost video ya namna ile.

Binafsi naona: ile video ni nzuri, ila tu haikupaswa kuwa mtandaoni, ilipaswa kuwa ni show inayofanyika mahala ambao kuna “filter” ya umri wa “access”.

Tukisema tuna maadili haimaanishi hatufanyi ya kwenye video, bali tunafanyia sehemu “maalumu”.

Kinachotia kinyaa ni utofauti wa umri kati ya binti na yule babu. 🗑️🚮

Ila yule binti nina shida nae, mwenye namba yake anipe, nataka anifunde mimi shangazi yake. 😂🏃🏻‍♀️
 
Back
Top Bottom