Kisauji (babu wa TikTok) afungiwa miezi sita

Kisauji (babu wa TikTok) afungiwa miezi sita

Diamond kashafungiwa mara nyingi, na wasafinndio wanaongoza kwa kufungiwa na kuitwa Basata, pale wasafi msanii ambaye hajawahi kuwa na kesi Basata ni lavalava peke yake,
Hujaelewa swali, huyo bibi kizee amesema huyo mzee wa tik tok amefungiwa kwa sababu kuna mambo ya Kiislamu amekiuka, ndio nkauliza mbona mond anakiuka mengi ya Kiislamu na hajawahi kufungiwa kutokana na yeye kukiuka mambo ya Kiislamu
 
Kuna video ilitumwa Juzi ikiuonyesha amekaa kwenye kiti halafu kuna dada amekaa juu ya "boloyoung" akikatika huku akinyonywa kifuani na binti then demu akainama kisha Babuu kisauji akawa anamchapa makofi kwenye "MATTERCORE".
Sasa hilo nalo ni kosa? Kina Diamond na Mboso si wanafanya hivyo kila siku.
 
Kuna video ilitumwa Juzi ikiuonyesha amekaa kwenye kiti halafu kuna dada amekaa juu ya "boloyoung" akikatika huku akinyonywa kifuani na binti then demu akainama kisha Babuu kisauji akawa anamchapa makofi kwenye "MATTERCORE".
Bila video huu ni uongo na uzushi hivyo afunguliwe.

Weka video acha maneno
 

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema limejiridhisha kuwa Seif Kassim Kisauji maarufu Babu wa TikTok ametenda kosa la kimaadili wakati akitekeleza kazi zake za sanaa na limefikia maamuzi kumfungia kutokujishughulisha kufanya kazi za sanaa ndani na nje ya Tanzania kwa kipindi cha miezi sita kuanzia leo July 22,2024 na kumtoza faini ya Tsh. milioni 3 ambayo anatakiwa kuilipa ndani ya siku 7 kuanzia leo.

Baraza limesema limefikia uamuzi huo baada ya kumuita Kisauji kuhusiana na ukiukwaji wa maadili akiwa kama Msanii aliyesajiliwa na Baraza la Sanaa la Taifa kwa usajili Na. BST-9684-2023-2154 ambapo ukiukwani huo wa maadili ni kinyume na Kanuni ya 25 (6) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa za mwaka 2018 na Mwongozo wa Uzingatiaji wa Maadili katika Kazi za Sanaa wa Mwaka 2023.

“Baraza la Sanaa la Taifa kupitia Sheria Na. 23 ya Mwaka 1984 na Maboresho yake ya Mwaka 2019 ina mamlaka ya kusimamia maadili ya msingi kwenye Sekta ya Sanaa kwa Kanuni ya 25(1)-(8) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa za Mwaka 2018”

“Baraza limekwishatoa na kuzindua mwongozo wa maadili katika kazi za sanaa ambao unapatikana katika tovuti yetu basata.go.tz, hivyo ni jukumu la kila Msanii na Mdau wa Sanaa na jamii kuzingatia maadili katika kazi za sanaa”
Maadiliii, maadili!
Sasa kafanya kosa gani hilo la kimaadili?
 
Wewe humjui Babu Kisauji wewe, huwa anafanya mengi ya kishenzi. Naona wamemchoka vituko vyake ndio wamempa adhabu, ila hayo ni kawaida kwake.

Huwa najiuliza, hao wanawake wanaoshikwa shikwa naye hawana wenzi/wazazi? Ni ajabu sana.
jina Kisauji mbona linasaundi kibashabasha hilo?
 
Nchi ishaozaaa hii kimaadili
Na mpaka kufika 2030 itakuwa
Nyanganyanga ushoga,usagaji utakuwa kawaida tu

Ova
 
Back
Top Bottom