The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Ndio nani huyo Babu huko Daslam?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bob Junior anajua km Babu yake kazi yake kuwashika MATAKO Wanawake?Kuna video ilitumwa Juzi ikiuonyesha amekaa kwenye kiti halafu kuna dada amekaa juu ya "boloyoung" akikatika huku akinyonywa kifuani na binti then demu akainama kisha Babuu kisauji akawa anamchapa makofi kwenye "MATTERCORE".
Babu wa Tiktoko Juzi Juzi alihojiwa na BBC DasalamaNdio nani huyo Babu huko Daslam?
Na Wewe pia ameshawahi kushikashika MATAKO yako?Wewe humjui Babu Kisauji wewe, huwa anafanya mengi ya kishenzi. Naona wamemchoka vituko vyake ndio wamempa adhabu, ila hayo ni kawaida kwake.
Huwa najiuliza, hao wanawake wanaoshikwa shikwa naye hawana wenzi/wazazi? Ni ajabu sana.
Huyu babu naye hana maadili!!
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema limejiridhisha kuwa Seif Kassim Kisauji maarufu Babu wa TikTok ametenda kosa la kimaadili wakati akitekeleza kazi zake za sanaa na limefikia maamuzi kumfungia kutokujishughulisha kufanya kazi za sanaa ndani na nje ya Tanzania kwa kipindi cha miezi sita kuanzia leo July 22,2024 na kumtoza faini ya Tsh. milioni 3 ambayo anatakiwa kuilipa ndani ya siku 7 kuanzia leo.
Baraza limesema limefikia uamuzi huo baada ya kumuita Kisauji kuhusiana na ukiukwaji wa maadili akiwa kama Msanii aliyesajiliwa na Baraza la Sanaa la Taifa kwa usajili Na. BST-9684-2023-2154 ambapo ukiukwani huo wa maadili ni kinyume na Kanuni ya 25 (6) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa za mwaka 2018 na Mwongozo wa Uzingatiaji wa Maadili katika Kazi za Sanaa wa Mwaka 2023.
“Baraza la Sanaa la Taifa kupitia Sheria Na. 23 ya Mwaka 1984 na Maboresho yake ya Mwaka 2019 ina mamlaka ya kusimamia maadili ya msingi kwenye Sekta ya Sanaa kwa Kanuni ya 25(1)-(8) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa za Mwaka 2018”
“Baraza limekwishatoa na kuzindua mwongozo wa maadili katika kazi za sanaa ambao unapatikana katika tovuti yetu basata.go.tz, hivyo ni jukumu la kila Msanii na Mdau wa Sanaa na jamii kuzingatia maadili katika kazi za sanaa”
Anashikashika MATAKO ya Dada na Mama zako wanaitwa MishangaziHuyu babu naye hana maadili!!
Basi hatuna dunia tena
Sasa kama unashinda kwenye kahawa. Kitambaa cheupe ufiki, tren ya SGR ujapanda na chawa uwafahamu utamjua kweliNdio nani huyo Babu huko Daslam?
We Mamndenyi weweee..!!!Wekeni hapo tuone anachofanya
Wee, tufungiwe?Wekeni hapo tuone anachofanya
Alipaswa kuwa kioo kwa jamiiAnashikashika MATAKO ya Dada na Mama zako wanaitwa Mishangazi
Jibu swali Binti,maelezo marefu ya nini kama vile unajilengesha uliwe?Sasa kama unashinda kwenye kahawa. Kitambaa cheupe ufiki, tren ya SGR ujapanda na chawa uwafahamu utamjua kweli
Sasa amegeukia kua kioo cha BASATA shikashika MATAKO lainilaini ya MishangaziAlipaswa kuwa kioo kwa jamii
Unashangaa kuhusu wanawake kujirahisisha?Wewe humjui Babu Kisauji wewe, huwa anafanya mengi ya kishenzi. Naona wamemchoka vituko vyake ndio wamempa adhabu, ila hayo ni kawaida kwake.
Huwa najiuliza, hao wanawake wanaoshikwa shikwa naye hawana wenzi/wazazi? Ni ajabu sana.
Lakini kuna wasanii wengi wana hizo tabia, hivi wale wa miziki ya vichupi wanaogopwa kwaniniSasa amegeukia kua kioo cha BASATA shikashika MATAKO lainilaini ya Mishangazi