Kisauji (babu wa TikTok) afungiwa miezi sita

Kisauji (babu wa TikTok) afungiwa miezi sita

Huyu babu atasababisha heshima wanayopewa babu wengine ipungue.
Huyo mzee mambo yake ni kama kijana wa miaka 27 uzee hautaki kabisa.
Ukimfuatilia tiktok maneno yake anayoongeaga ni kama mtu fulani ambaye akili kidogo zimeyumba.
Yaani kwa mfano angeumbwa mwanamke basi angekuwa ni sampuli ya wakina Gigy money
 
Wewe humjui Babu Kisauji wewe, huwa anafanya mengi ya kishenzi. Naona wamemchoka vituko vyake ndio wamempa adhabu, ila hayo ni kawaida kwake.

Huwa najiuliza, hao wanawake wanaoshikwa shikwa naye hawana wenzi/wazazi? Ni ajabu sana.
Wakati wewe unajiuliza hivyo,,,.mm najiuliza je,yeye hana familia na ndugu pia
 
Yule mzee kwenye ujana wake huo uchafu anaofanya sasa hakuujua, kaja kuujulia uzeeni na tatizo ndo lilipoanzia hapo. Ana cover stage za ujanani hadi anaonekana kituko.
 
Back
Top Bottom