Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WapumbavuBASATA nao wanakagua maadili tiktok? Kweli kazi wanayo
Weka video tuone, huenda akawa sio yeye 😄 🤣Kuna video ilitumwa Juzi ikiuonyesha amekaa kwenye kiti halafu kuna dada amekaa juu ya "boloyoung" akikatika huku akinyonywa kifuani na binti then demu akainama kisha Babuu kisauji akawa anamchapa makofi kwenye "MATTERCORE".
Sasa hilo nalo ni la kumfungia mtu?
Ukiwa wa hovyo ujanani hata uzeeni utakuwa wa hovyo hakuna issue ya kumaliza ujananiNa ndio maana ni bora kwenye ujana wako umalize yote ili ukizeeka usiwe limbukeni
Nq bado yapo yale matamasha ya baikoko sjui kanga mojaYes kwa maadili yetu ni sawa kufungiwa.
Hilio nalo ni kosa,mbona aslay tumemuona akifanya ngono na hakuna hukumu yoyote dhidi yakeKuna video ilitumwa Juzi ikiuonyesha amekaa kwenye kiti halafu kuna dada amekaa juu ya "boloyoung" akikatika huku akinyonywa kifuani na binti then demu akainama kisha Babuu kisauji akawa anamchapa makofi kwenye "MATTERCORE".
Wewe ndo hujaelewa, huyo Faiza alimquote mjinga mmoja alisema hayo maneno ambapo ilikuwa ni katika kumweka sawa mjinga huyo juu ya uislamu na alichoandika. Sijui kwanini mnalisha watu manenoHujaelewa swali, huyo bibi kizee amesema huyo mzee wa tik tok amefungiwa kwa sababu kuna mambo ya Kiislamu amekiuka, ndio nkauliza mbona mond anakiuka mengi ya Kiislamu na hajawahi kufungiwa kutokana na yeye kukiuka mambo ya Kiislamu
Eti ni msanii wa kuimba nyimbo za kiinglish kwenye mabaakafanya kosa gani na ni msanii wa nini?
I'm the proud to be the...... huwez kuwaona hapa.Wanamuonea kwasababu ni muislamu. Waislam Tuandamaneni asee.
Vipi kuhusu yule Baba Paroko aliyemkata viungo yule mtoto mwenye ualbino,kesi yake imefikia wapi?I'm the proud to be the...... huwez kuwaona hapa.
Ile video tu ndo imfanye afungiwe hawa basata nao
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema limejiridhisha kuwa Seif Kassim Kisauji maarufu Babu wa TikTok ametenda kosa la kimaadili wakati akitekeleza kazi zake za sanaa na limefikia maamuzi kumfungia kutokujishughulisha kufanya kazi za sanaa ndani na nje ya Tanzania kwa kipindi cha miezi sita kuanzia leo July 22,2024 na kumtoza faini ya Tsh. milioni 3 ambayo anatakiwa kuilipa ndani ya siku 7 kuanzia leo.
Baraza limesema limefikia uamuzi huo baada ya kumuita Kisauji kuhusiana na ukiukwaji wa maadili akiwa kama Msanii aliyesajiliwa na Baraza la Sanaa la Taifa kwa usajili Na. BST-9684-2023-2154 ambapo ukiukwani huo wa maadili ni kinyume na Kanuni ya 25 (6) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa za mwaka 2018 na Mwongozo wa Uzingatiaji wa Maadili katika Kazi za Sanaa wa Mwaka 2023.
“Baraza la Sanaa la Taifa kupitia Sheria Na. 23 ya Mwaka 1984 na Maboresho yake ya Mwaka 2019 ina mamlaka ya kusimamia maadili ya msingi kwenye Sekta ya Sanaa kwa Kanuni ya 25(1)-(8) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa za Mwaka 2018”
“Baraza limekwishatoa na kuzindua mwongozo wa maadili katika kazi za sanaa ambao unapatikana katika tovuti yetu basata.go.tz, hivyo ni jukumu la kila Msanii na Mdau wa Sanaa na jamii kuzingatia maadili katika kazi za sanaa”