Kisauji (babu wa TikTok) afungiwa miezi sita

Kisauji (babu wa TikTok) afungiwa miezi sita

As long as ana furaha na maisha yake sioni tatizo.
Maisha ni yake ila hayo anayofanya mbele ya jamii sio suala la maisha yake ndo maana ukijiuza unashtakiwa hata kama maisha ni yakoo..! ukivuta bhangi unashikwa hata kama mapafu ni yakoo.. so huyu mzee upumbavu wake na kutokujielewa kwake isiwe sababu ya kuharibu jamii inayomzunguka
 
Sasa hapo Mwanaume anakosa gani?
Mwanamke kajileta mwenyewe kwa Umalaya wake na tamaa ya fedha.
Basi mwanamke nae apewe adhabu yake kwa kile kitendo alichoenda kumfanya bamdogo.

Kwanini mwanamke ambae ndie alienda kuanzisha kitendo ameachwa bila adhabu?
Kwanini adhabu irgę mer kwa Mwanaume tu?
kwa hiyo wewe ukimpa hela mwanafunzi ukamlaa akipata mimba ndo utajitetea huu utumbo mahakamani??
 
Maisha ni yake ila hayo anayofanya mbele ya jamii sio suala la maisha yake ndo maana ukijiuza unashtakiwa hata kama maisha ni yakoo..! ukivuta bhangi unashikwa hata kama mapafu ni yakoo.. so huyu mzee upumbavu wake na kutokujielewa kwake isiwe sababu ya kuharibu jamii inayomzunguka
Mbona wala rushwa hawastakiwi kwa kuharibu jamii yetu??
 
Matendo yake yapo kinyume na Uislam. Kwenye Uislam huyo ni asi.

Mwenyezi Mungu amjaalie, hiyo miezi sita arudi kwa Muumba wake afanye toba.
Kwani kahukumiwa na uislamu? Basata ni Bakwata?
Eti matendo yake yapo kinyume na uislam, kwahiyo basata wamekonsida uislam kwenye kutoa adhabu?
Mlichokosa ninyi wafuasi wa marehem mudi ni elimu, na akili hence uwezo mdogo wa kujenga na kupambanua hoja, nguruwe kabisa ww
 
Shida sio ile vidio,

Shida yule alikuwa akisheza nae ni mtoto wa miaka kama 15

Duuuh mtoto anamwaga uno hatarii yaaani ile vidii ukiangalia

Unaweza sema hiyo fain ni ndogo sanaa ukilinganisha na umri wa yule bint na ameva gauni jepesiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Kwani kahukumiwa na uislamu? Basata ni Bakwata?
Eti matendo yake yapo kinyume na uislam, kwahiyo basata wamekonsida uislam kwenye kutoa adhabu?
Mlichokosa ninyi wafuasi wa marehem mudi ni elimu, na akili hence uwezo mdogo wa kujenga na kupambanua hoja, nguruwe kabisa ww
Naona uelewa wako ni finyu sana.

nani alikudanganya basata na bakwata zinaendeshwa Kiislam?

kanisome upya utaelewa tu.
 
Naona uelewa wako ni finyu sana.

nani alikudanganya basata na bakwata zinaendeshwa Kiislam?

kanisome upya utaelewa tu.
Ukizeeka afu bado unatoa tackle kwa mashekhe akili unakuwa hauna.
Basata limemhukumu, ukaja na hoja eti yupo kinyume na uislamu ndo maana kahukumiwa.
Kwamba Basata ni chombo cha nyie magaidi sasa hivi? Ajuza usiye na akili
 
Kanisome tena, unaonesha huelewi unachokisoma.

Jani alikwambia badsata na bakwata zinaendesha mambo yao Kiislam?

Kiislam hazitakiwi hata aiwepoo hivyo vitengo vya upigaji tu.

Nchi ina sheria kwa mujibu wa katiba, ina mahakama kazi zake ni kuchambuwa sheria na kutowa hukumu, ina bunge kazi zake ni kutunga sheria.

Hao basata na bakwata wako wana faida gani zaidi ya kuwa ni taasisi za kutugawa tuendelee kutawalika kiulaini?
 
Watoto wenyewe sahivi hawaleleki,hawaambiliki watoto
Washakata kamba mitoto ina toa
Jicho ina nyanduana wazi wazi
Mpaka kufika 2035 nchi itakuwa nyakanyaka

Ova
 
Sasa hapo Mwanaume anakosa gani?
Mwanamke kajileta mwenyewe kwa Umalaya wake na tamaa ya fedha.
Basi mwanamke nae apewe adhabu yake kwa kile kitendo alichoenda kumfanya bamdogo.

Kwanini mwanamke ambae ndie alienda kuanzisha kitendo ameachwa bila adhabu?
Kwanini adhabu irgę mer kwa Mwanaume tu?
Huyo mtoto unamfahamu?
 
Huyo mtoto unamfahamu?

Kumbe ni mtoto ?
Mbona hatari zaidi sasa?
Si rahisi kubakwa au kinajisiwa?! 🙆‍♂️🤦‍♀️
Wazazi/walezi wake wako wapi wasimtunze 😭

Huruma nyie 😭
Huyo mtoto atakuwa ameshaanza kufanya mambo ya kikubwa siku nyingi 😭🤦‍♀️🙆‍♂️
 
Back
Top Bottom