rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Maisha ni yake ila hayo anayofanya mbele ya jamii sio suala la maisha yake ndo maana ukijiuza unashtakiwa hata kama maisha ni yakoo..! ukivuta bhangi unashikwa hata kama mapafu ni yakoo.. so huyu mzee upumbavu wake na kutokujielewa kwake isiwe sababu ya kuharibu jamii inayomzungukaAs long as ana furaha na maisha yake sioni tatizo.