Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mkuu uko wapi...?😋Upate matembele ugali na dagaa unashushia na maji baridi kabisaView attachment 3212631
4 bora yangu ya Mboga za majaniIla matamu kuliko mchicha
Huku kwetu huwa hatusemi tupo wapi mpaka tumalize kula 😄Mkuu uko wapi...?😋
Kumbe we ni wa Pwani?!Wasukuma hawayapendi maana hawajui kuyapika wanaweka mchuzi,hiyo ni mboga ya pwani,tuachieni wana pwani
Tuliishi nayo ,tunaishi nayo na tutaishi nayoWadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Fuatilia kwa wataalamu wa tiba utathibitisha
Poleni mlioumizwa