Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,740
- 4,859
Wewe unaona wanyama ambao hawana self awareness wana akili kuliko binadamu!Umeyatoa wapi mawazo ya namna hiyo?Mmea ukose nutrient content halafu upendwe na wanyama wadhani ni rahisi kihivyo?Kapitie upya thesis yako.