Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,740
- 4,859
Wewe unaona wanyama ambao hawana self awareness wana akili kuliko binadamu!Umeyatoa wapi mawazo ya namna hiyo?Mmea ukose nutrient content halafu upendwe na wanyama wadhani ni rahisi kihivyo?Kapitie upya thesis yako.
baambie hao basenge banaotukuza bapuuzi bakuitwa banascienceBinaadamu wa kwanza alitokana na sokwe - WANASAYANSI
Na hako kapilipili hapo pembeni sasa utamu wake sio wa Nchi hiiUpate matembele ugali na dagaa unashushia na maji baridi kabisaView attachment 3212631
Mwambie shemeji yetu ajifunze kuandaa na kupika matembele vizuri na ugali hakika huu uzi utaukataaWadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Fuatilia kwa wataalamu wa tiba utathibitisha
Poleni mlioumizwa
Mkuu umenichekesha sanaHao wanasayansi si ndo wale waliosema baba ako wa mwanzo alikuwa nyani?
ukweli ni kwamba baadhi ya watanzania wenzetu wana mambo ya kijinga sana alaf utakuta huyu starter wa thread bwana Uzalendo wa Kitanzania amesoma English mediumMkuu umenichekesha sana
Kama mm aiseeKatika mboga zote za majani ,matembele ndio Chaguo la kwanza kwangu.
Mbega na mbege, mbege na mbanga.Kwani kuna tofauti gani kati ya mbaga na mboga
Mbogo na mbega
Spinnach vp..mm kwangu ni the best4 bora yangu ya Mboga za majani
1, majani ya maboga
2, majani ya maharage.
3, matembele.
4, majani ya kunde.
Kwangu siyo the best mkuu japo nakula piaSpinnach vp..mm kwangu ni the best
Ni wazi hujasoma sayansi Mkuu!Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Fuatilia kwa wataalamu wa tiba utathibitisha
Poleni mlioumizwa
Vishu kesho jmos uje gomz huku tule bataMbega na mbege, mbege na mbanga.
KuchumaNini maana ya Mboga?
Mimi4 bora yangu ya Mboga za majani
1, majani ya maboga
2, majani ya maharage.
3, matembele.
4, majani ya kunde.
Kwa ugali mwingi wanaokula matembele sio size yaoWasukuma hawayapendi maana hawajui kuyapika wanaweka mchuzi,hiyo ni mboga ya pwani,tuachieni wana pwani
We ushawai kula nsasa, nguniyani,majani ya maboga,mlenda og,majani ya kunde,ya miwa, migomba.Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Fuatilia kwa wataalamu wa tiba utathibitisha
Poleni mlioumizwa