Kisha Kuhani Mkuu akamtetea Bashite akisema...

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
6,276
Reaction score
12,404
"Enyi wana wa nchi ya makinikia,sitamuondoa mkuu wa mji wa bandari salama hata kama haijui 'a',yeye ni mmoja wao wachapakazi na wengine waige mfano wake.Baada ya kusema hayo Bashite akatabasamu na kujipiga piga kifuani akisema;na uhimidiwe kuhani mkuu,kwa maana itaandikwa ukae miaka 7 au zaidi ikikupendeza."
[waraka wa Polepole kwa wanalumumba 2:2-9]
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Tiyari Albadir waungwana, kwisha habar.

Ukisifia nakuulita tofali la mchanga Dhahabu!!!
 
Hiki kinachoendelea kwa bashite na vinginevyo ni uozo mtupu na huwa vinafanyika kwenye rotten country only
 
Hata makofi yalipozidi ndipo mfalme akanyoosha mikono yake ili kulewa sifa kuu alizoimbiwa na vijakazi.Ndipo vijakazi wakasema uhimidiwe ee mfalme maana moto wako ni moto wa nehemia maana sura zenu zafanana.Waraka wa kigwalagwala kwa wanakizota 1kig,3-5.
 
"Enyi wana wa nchi ya makinikia,sitamuondoa mkuu wa mji wa bandari salama hata kama haijui 'a',yeye ni mmoja wao wachapakazi na wengine waige mfano wake.Baada ya kusema hayo Bashite akatabasamu na kujipiga piga kifuani akisema;na uhimidiwe kuhani mkuu,kwa maana itaandikwa ukae miaka 7 au zaidi ikikupendeza."
[waraka wa Polepole kwa wanalumumba 2:2-9]
 
"Enyi wana wa nchi ya makinikia,sitamuondoa mkuu wa mji wa bandari salama hata kama haijui 'a',yeye ni mmoja wao wachapakazi na wengine waige mfano wake.Baada ya kusema hayo Bashite akatabasamu na kujipiga piga kifuani akisema;na uhimidiwe kuhani mkuu,kwa maana itaandikwa ukae miaka 7 au zaidi ikikupendeza."
[waraka wa Polepole kwa wanalumumba 2:2-9]
Nimecheka sana
IMG-20171003-WA0026.jpg

Mungu wa Yohona wayahudi wanaemuita John ndo Mungu wa Daudi.
 
Back
Top Bottom