Lazaroj
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,451
- 1,050
mzee wa nje ya boxHata makofi yalipozidi ndipo mfalme akanyoosha mikono yake ili kulewa sifa kuu alizoimbiwa na vijakazi.Ndipo vijakazi wakasema uhimidiwe ee mfalme maana moto wako ni moto wa nehemia maana sura zenu zafanana.Waraka wa kigwalagwala kwa wanakizota 1kig,3-5.