Kisha mfalme akawajibu, "yule aliye kilaza kuliko wote kati yenu ndiye aliye mkuu kuliko wote, muigeni yeye" kuwashwa ( 9:13 -21 )
Dah! ha ha ha ha ha ha hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisha mfalme akawajibu, "yule aliye kilaza kuliko wote kati yenu ndiye aliye mkuu kuliko wote, muigeni yeye" kuwashwa ( 9:13 -21 )
Waraka wa kwanza wa mtume pombe kwa wagerasi. 2Wapowa 6:12Baas wanafunzi wake wakamfuata na kumuuliza: ee baba, mbona hatukuwaacha waliotukuka kama huyu mwanao wakati wa uhakiki? Naye akajibu, amin nawaambia, sijaja kutafuta mchumba.
Kisha mfalme akawajibu, "yule aliye kilaza kuliko wote kati yenu ndiye aliye mkuu kuliko wote, muigeni yeye" kuwashwa ( 9:13 -21 )
Amekiri? How?Bora amekiri wazi wazi kwamba hana vyeti halali. Sasa nije nisikie ile tume inapindisha maamuzi.
Ukiambiwa mkate ni ngano, unaelewa nini?Amekiri? How?
Kwani na wewe ulipata ziro?Amekiri? How?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Baas wanafunzi wake wakamfuata na kumuuliza: ee baba, mbona hatukuwaacha waliotukuka kama huyu mwanao wakati wa uhakiki? Naye akajibu, amin nawaambia, sijaja kutafuta mchumba.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Baas wanafunzi wake wakamfuata na kumuuliza: ee baba, mbona hatukuwaacha waliotukuka kama huyu mwanao wakati wa uhakiki? Naye akajibu, amin nawaambia, sijaja kutafuta mchumba.
Sijapata ziro kwani inapatikana wapi hiyo ziro?Kwani na wewe ulipata ziro?
Umenichekesha jioni hii.Mnatoa wapi hivi vituko.?Baas wanafunzi wake wakamfuata na kumuuliza: ee baba, mbona hatukuwaacha waliotukuka kama huyu mwanao wakati wa uhakiki? Naye akajibu, amin nawaambia, sijaja kutafuta mchumba.
Nikuulize wewe!Sijapata ziro kwani inapatikana wapi hiyo ziro?
Umeishiwa hoja sasa.Nikuulize wewe!
Hujajibu hoja yangu ya msingi unataka ku-drible mpira! Jipange.Umeishiwa hoja sasa.
Hata muda wake ulipokwisha, kuhani mkuu akajinadi kwa wanafunzi wake.Je hamuoni ni vema mkanipigia kura tena! Nao wakajibu huku wakitazama chini, kwa kuwa hukuja kutafuta mchumba basi ya mkeo kura yatosha.Baas wanafunzi wake wakamfuata na kumuuliza: ee baba, mbona hatukuwaacha waliotukuka kama huyu mwanao wakati wa uhakiki? Naye akajibu, amin nawaambia, sijaja kutafuta mchumba.
Ndy hixhakua tabu ckuiz watu wanabebana ziro + mfalme juha =na matatizoBaas wanafunzi wake wakamfuata na kumuuliza: ee baba, mbona hatukuwaacha waliotukuka kama huyu mwanao wakati wa uhakiki? Naye akajibu, amin nawaambia, sijaja kutafuta mchumba.