Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Hawana hata mtoto apate nyumba huyo mwanamke?Kumbe unajiamini! Basi subiri muende mahakamani hapo lazima atachomoka na nyumba hata moja.
Nasubiri mrejesho..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana hata mtoto apate nyumba huyo mwanamke?Kumbe unajiamini! Basi subiri muende mahakamani hapo lazima atachomoka na nyumba hata moja.
Nasubiri mrejesho..!
Nataka kufikia jpili asepeHawana hata mtoto apate nyumba huyo mwanamke
Kama amevikuta hapati chochoteKwanini nifiche? Amevikuta hivi hana mchongo wowote
Yes. Kama unajua hawezi kukupa mahari uliyomuolea. Nawe imeshamchoka mpe condition affordable kwake. Mwambie atupatie sh 10/- kama kikomboleo. Akikubali mpe vyombo vyote vya jikoni kama zawadi. Ikibidi hata kitaunda.Leo nitamchukua shekh mmoja akampe hilo darasa , ili ajikomboe ...nataka kufikia jumapili awe amesepa, niwe huru, nijilie maisha
Jambo lipi haliwezekani katika hayo niliyoandika Mkuu?Hilo kwangu haiwezekani mkuu, over my dead body, narudia tena over my dead body..
Nafikiri kuna haja aje umpatie mbinu, unajua umri wa miaka 44+ unakuwa umeshajipata Kimaisha halafu ndiyo nguvu za kiume wengi hawana.Kiumri bado mdogo labda kuna shida nyingine,mimi na yeye hatupishani sana kiumri ila mabinti huwa wanaomba poo
Ila nyuzi za jf sio za kuziamini
Leo mtu anafungua uzi ni tajiri, kesho uzi ni maskini🙄
Na binti bado damu inachemka, jamaa kajitia kitanzi mwenyewe!!Jama hana nguvu za kiume,hiyo changamoto sio ndogo,aachane na mambo ya ndoa
Hapo nyege zimetulia tu ngoja zirudiSina mpango wa kuowa tena
Hajaoa mbwa mkuu,umesoma vibaya kasema ameoa binti wa 23 yrs old🙏Huyo mbwa amejazwa na upepo ana tamaa ya hizo Mali .
Cha msingi mpe talaka, na mugawane kile mulichoanzisha pamoja.
Be a man
Uko sahihi.Jama hana nguvu za kiume,hiyo changamoto sio ndogo,aachane na mambo ya ndoa