Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Mmoja tu.
hakuna idadi ya chini au asilimia fulani ya wapiga kura (quorum) mkuu, atakaeshinda wenzake hatakama wapigakura ni 10 sawa tu
Mmoja tu.
Mimi na kina nani?Hapo mmekwisha
Uhalali wa "kisheria" wa Rais Tanzania unatokana na yeye kutangazwa na tume tu, haitaji hata kushinda uchaguzi kwa sababu matokeo yake hayahojiwi mahakamani, yani hata kama hiyo kura moja alipigwa mtu mwingine halafu tume ikamtangaza mtu mwingine kuwa ni mshindi hapo tayari anakuwa halali kisheria. Nafikiri unaweza kuelewa sasa Lissu anaposema "Ni reforms, No Elections''Kwa maana hiyo CCM ya Samia ipo kihalali
Uhalali wa "kisheria" wa Rais Tanzania unatokana na yeye kutangazwa na tume tu, haitaji hata kushinda uchaguzi kwa sababu matokeo yake hayahojiwi mahakamani, yani hata kama hiyo kura moja alipigwa mtu mwingine halafu tume ikamtangaza mtu mwingine kuwa ni mshindi hapo tayari anakuwa halali kisheria. Nafikiri unaweza kuelewa sasa Lissu anaposema "Ni reforms, No Elections''
Mimi na kina nani?
Unauliza uchafu soko la ndizi Mabibo?Hoooohoo!
Basi kazi ipo.
Kwamba kuna uhalali wa kushinda na uhalali wa kutangazwa.
Na katika halali hizo mbili, uhalali mkubwa ni ule wa kutangazwa, si ndio?
Legality Vs Legitimacy,Hoooohoo!
Basi kazi ipo.
Kwamba kuna uhalali wa kushinda na uhalali wa kutangazwa.
Na katika halali hizo mbili, uhalali mkubwa ni ule wa kutangazwa, si ndio?
Legality Vs Legitimacy,
Kuna kuwepo na kutambulika kisheria mamlakani bila kuwa na uhalali, kibali au kukubalika na wale unaowatawala.
Kiswahili kina msamiati haba, kinachanganya legality (uwepo/ kukubalika kisheria) na legitimacy (uhalali kijamii).
Unauliza uchafu soko la ndizi Mabibo?
In fact,Hamjambo!
Tume ya uchaguzi ilitangaza Mgombea wa CCM, Mhe Rasi, Samia Suluhu kushinda uchaguzi kwa kura zaidi ya 30M huku ikisema ni zaidi ya asilimia 97 na pointi huko.
Mimi ni mmoja ya watu wanaoamini matokeo ya tume yanamakosa. Watu 30M kwangu naona ni uongo. Kutokana na kilichokuwa kinaendelea siku ya October 29 hasa kwenye majiji makubwa.
Sina Shaka na 98% kwa sababu kiwango hicho kinapatikana katika idadi yoyote iwe 1000, laki moja, au milioni moja.
Shida ipo kwenye idadi ya 30M.
Swali langu la msingi, kisheria ili uchaguzi uwe uchaguzi mkuu ni watu wangapi wanatakiwa kushiriki kupiga kura katika uchaguzi huo?
Je kuanzia 100k, 1M, 5M au idadi ipi?
Ukizingatia kupiga kura ni haki lakini sio Haki ya Lazima. Yaani mtu anahiyari ya kwenda kupiga au kutokupiga kura.
Mfano, nchi nzima wajitokeze watu laki moja kupiga kura, wakamchagua Rais, je huo nao kisheria utaitwa uchaguzi mkuu na utakuwa halali kisheria?
Kama msingi wa Uchaguzi mkuu ni Demokrasia, ambapo wengi wapewe, sasa watu laki moja wakapiga kura alafu milioni 60 wakagoma kupiga kura, hiyo kisheria na kidemokrasia imekaaje?
Mawazo ya Wanasheria
Mawazo ya Wanafalsafa,
Huu ndio uwanja wenu.
Karibuni
TaikonMaster
Kwa sasa Mbweni, Dar es salaam
Andiko lina nia ya kuihalalisha haramu kwa kutumia mtindio wa "expansion joints"!Lakini,kiuhalali na kimantiki/kisheria halali hakuna kitu hapo.Ndiyo maana,mtuhumiwa anaweza kushinda shauri au kupatikana na hatia kwa "ushahidi wa mazingira" unaom-pin down!
NB; Maridhiano bado yanahitajika(?)Kwa nini yahitajike huku upande fulani "ulipewa" asilimia 98 ya ushindi?Kwamba "mshindi"98 ana huruma,upendo,utu na maadili sana kuhusu ushirikishaji?