JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Ukiona Spika anatoka nje ujue kule bungeni kuna kitu kizito kinafukuta.Spika akileta maloloso, anaweza kuondoloewa kwa azimio la wabunge.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kifungu 84,7(d)
(d) ikiwa mtu huyo ataondolewa kwenye madaraka ya
Spika kwa azimio la Bunge lililoungwa mkono na
Wabunge amabo idadi yao haipungui theluthi mbili ya
Wabunge wote; au.........
Haya wabunge jipimeni na mumpime Spika.
Anatosha?
Bunge liko na Spika. Mama ajipange.