Kisheria, Spika wa Bunge anaweza kuondolewa. Je, Job Ndugai aondolewe?

Ukiona Spika anatoka nje ujue kule bungeni kuna kitu kizito kinafukuta.

Bunge liko na Spika. Mama ajipange.
 
Hii njia ndefu yote ya nini? Maana italeta unnecessary chaos. Wampeleke matibabu India tu hadi 2026. Madam TA atashika usukani na kazi itaendelea.
 
Acha MAJUNGU kwanini AONDOLEWE KAKOSEA nini?
 
Omicron ipo, mafua kitaa yanachanganya ile mbaya. Tuombe 2022 mtu mwingine asiletwe tena Mzena na hatimaye Mloganzila, watu waanze tena kupiga ramli na kulaumiana.
 
PELEKENI CHUKI NA TAMAA BUNAFSI, K8SA MMEUK9SA ULE UNUNGE 19 ,NA WANAUKALIA WENGINE
NYINYI KILA MNAPOPIGIKA MTAANI BASI SUMU INAJAA KWA NDUGAI

TUNAWAJUA NA PIA MUELEWE MDUGAI HATOKI NA NYIE HAMUWEZI KUWA WABUNGE LABDA MUANZISHE BUNGE LINGINE UFIIPA.

Shame on all of you!
 
Tukifata katiba yetu vizuri, ndungai must go. Amekiuka na kukiuka sheria za bunge mno. Kama tunafata utawala wa kisheria basi he must go.
 
Aondolewe mara moja kuleta afya ya bunge tukufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…