Kisheria, Spika wa Bunge anaweza kuondolewa. Je, Job Ndugai aondolewe?

Wabunge tunampima Raisi na hatoshi , soon tunapiga Kura ya kutokuwa na Imani nae
Mlizoea bahasha aliyekupeni ulaji hayupo,2025 lazima mchezee vitasa vya wajumbe
 
Inchi hii rais ndo kilakitu. Kwa mujibu wa katiba.
 
ngoja nipekuepekue nione wapi kifungu Cha katiba,kina display makosa ya spika,halafu nitarudi kuungana na ww Pascal mayalla baadae!!! Otherwise hii hoja umeileta huenda ilianzia kwenye tumbo ,maana njaa nayo hupoteza uwezo wa mtu kufikiri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…