Kishindo cha Awamu ya Tano katika muhula wa pili kiko wapi?

Bro upo sawa? Mimi sio praise team ni mtu ambae nahoji mambo ya msingi. Kama JNHPP inaweza kuzalisha Mw 2115 kwa akili ya kawaida hakuna ulazima wa kukopa pesa kwa ajili ya miradi midogo midogo. Haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
Ndio umejua leo?
 
Ndio umejua leo?
Dogo nimehoji ili tujue kama kweli serikali imekopa, huenda watu wanazua uzushi wao. Maana Mw 19 za mto malagarazi za nini
? kama kuna Mw 2115 zitazalishwa kwa mkupuo!
 
Kwani huoni ajira za waalimu zimetoka?,
Awamu hii ya mwisho sio ya mikiki mikiki,,ni awamu ya utulivu na kutenda tu,kwa upole kabisa
 
Subirini kidogo....kwani mnaumia, mnateseka?
Maendeleo hayana chama
tbc watakuja na kishindo cha awamu ya tano..
 
Kwani huoni ajira za waalimu zimetoka?,
Awamu hii ya mwisho sio ya mikiki mikiki,,ni awamu ya utulivu na kutenda tu,kwa upole kabisa
Wakati anafungua bunge la 12 JPM alisemaje? Acha upuuzi, JPM alisema wazi tumbua tumbua itaendelea kama kawaida, na kasi aliyoanza nayo ataiendeleza.
 
Dogo nimehoji ili tujue kama kweli serikali imekopa, huenda watu wanazua uzushi wao. Maana Mw 19 za mto malagarazi za nini
? kama kuna Mw 2115 zitazalishwa kwa mkupuo!

Piga simu TANESCO uulize hilo. Hapa jf sio jukwaa la taasisi ya umeme.
 
Ahaaaaa, acha hasira najua unakumbana na kadhia nzito. Kuna member humu alidai Tanzania imekopa pesa ajiri ya mradi wa Malaragarasi
 
Wako bize kufoji nyaraka ili kuwaingiza mamluki akina Bikidude Bungeni ili wasikose mpunga wa mabeberu
 
Kwani huoni ajira za waalimu zimetoka?,
Awamu hii ya mwisho sio ya mikiki mikiki,,ni awamu ya utulivu na kutenda tu,kwa upole kabisa
Kuna jina limejitokeza mara kibao, isije ikawa list feki hakuna binadamu wenye majina hayo?
 
Ahaaaaa, acha hasira najua unakumbana na kadhia nzito. Kuna member humu alidai Tanzania imekopa pesa ajiri ya mradi wa Malaragarasi
Nakumbana na kadhia gani, unadhani mimi ni mwepesi wa hivyo? Nasema hivi, piga simu TANESCO uulize habari hizo.
 
Kwani Tanesco ndio wizara ya nishati? Kama nataka info naingia website ya wizara ya nishati.Kwani kadhia linaloitikisa Chadema halijakugusa?
 
Ingia huko wizarani uulize. Kadhia la cdm ingekuwa wameshindwa kufukuza hao wahuni ndio ingekuwa tatizo. Lakini hao wahuni wamefukuzwa mimi roho kwatu.
 
Mmmh hizi helazote tumezifanyia nn?
Mabango ya Jiwe nchi nzima. Na kuwalipa watu wa kuchomeka kura wizi. Wewe uliamini pale alioosema, "uchaguzi wa safari tumegharamia wenyewe"?

Alijifanya mjanja kuchukua hela za covid na za vitambulisho vya machinga kugharamia uchaguzi, wenye nazo wanegundua uchafu wote. Baada ya hapo atawezaje kuwa mbwemvwe tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingia huko wizarani uulize. Kadhia la cdm ingekuwa wameshindwa kufukuza hao wahuni ndio ingekuwa tatizo. Lakini hao wahuni wamefukuzwa mimi roho kwatu.

Halafu huyu mleta mada ni MATAGA naona akili zimeanza kuwarejea
 
Back
Top Bottom