GE2025 Kishindo cha Balozi Dkt Emanueli John Nchimbi na Eng Ezra John Chiwelesa kinasubiliwa kwa hamu kubwa Biharamulo 6/9/2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
Wanabiharamulo na wananchi wote wa Mkoa wa Kagera mnaalikwa kushiriki kwa wingi katika mkutano mkubwa wa hadhara tarehe 6/9/2025 katika Uwanja wa Mpira wa CCM Biharamulo Mjini.

Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emanueli John Nchimbi, atapanda jukwaani Sambasamba na mgombea ubunge wa jimbo biharamulo kuzungumza na wananchi juu ya mwelekeo wa maendeleo ya kimapinduzi kwa Biharamulo na Mkoa mzima wa Kagera.

BIHARAMULO KWA SASA INA ANGAZIA MIRADI IFUTAYO NA LITAKUWA JAMBO JEMA KAMA BALOZI DKT EMANUEL JOHN NCHIMBI ATAGUSIA BAADHI YAKE ;

Miradi mikubwa ya maji na bwawa la Nyanza–Lusahunga

Ujenzi wa stendi ya kisasa ya ghorofa Biharamulo

Maegesho ya magari ya kistratejia

Soko la kimataifa Lusahunga

Kukamilisha hospitali ya wilaya ya serkali ya Katoke

Fursa za utalii na hifadhi za Biharamulo

Huu ndio wakati wa kusikiliza dira ya maendeleo, kushuhudia matumaini mapya na kuthibitisha kwa vitendo kura ya NDIYO kwa wagombea wa CCM ili miradi hii iendelee kukamilika.

Usikose! Historia ya Kagera inaandikwa Biharamulo.

Kazi na utu tunasonga mbele

USSR
IMG-20250828-WA0015.jpg
 
USSRView attachment 3460517
Kishindo kipi kwa uchaguzi upi?
 
Back
Top Bottom