KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
- Thread starter
- #21
Kama
Kama umechunguza vizuri bidhaa nyingi ambazo zinachafua mazingira sana zimewekewa tozo na sababu ni kulinda mazingira ambayo ni ajenda ya dunia
- Usijiondoe ufahanu kuwa wameongeza gharama kwenye mafuta na cement! Wajinga ni wengi!
- Bandari mpaka za kwenye viziwa zimetekwa hivyo, ni marufuku kukuta mtu hata anaota jua bila idhini ya DP.
- Akina Mkwawa wangefufuka leo wangeanzisha farangati za kufa mtu kuliko hata walivyofanya kwa Wajerumani