JMWAKA
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 739
- 652
MaranathaYESU ANARUDI. HIZO VITA NI WAKE-UP CALL. MRUDIE MUNGU. MWAMINI YESU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MaranathaYESU ANARUDI. HIZO VITA NI WAKE-UP CALL. MRUDIE MUNGU. MWAMINI YESU
Mwisho wa siku tunaoathirika ni sisi..Kaeni hivyo hivyo Jana Ukraine kalipua mifumo ya ulinzi ya Rusia ndani ya Kursk
Did!!! I 😁Yesu wa nyoko
Hakuna kitu kizuri katika maisha kama kumuheshimu jirani yako, hasa nchi zikiwa jirani ni vizuri kukawa na uhusiano mwema kuliko kusuhubiana na nchi za mbali ambapo ukipata tatizo msaada wao huchelewa au vigumu kuupata.Nafikiri ni kwasababu hana roho mbaya alafu anatambua wao ni ndugu ila wamekengeuka kwasababu ya kusikiliza majirani wenye nia mbaya
Kiualisia Ukraine hivi vita haviwez anategemea msada wa nato isingekuwa nato Ukraine angeshachapika kitambo urusi anapigana na nato sio UkraineIngawa kwa hadharani NATO bado wanajimwambafai lakini kiuhalisia wamenywea sana!!
Tangu hypersonic missile ya Urusi isambaratishe kiwanda cha kijeshi cha kutengenezea makombora/missiles, hautaisikia tena Ukraine ikiishambulia Urusi kwa kutumia makombora ya masafa marefu waliyoruhusiwa na marekani, uku na ufaransa wayatumie dhidi ya urusi!!
Waliruhusu hadharani lakini wamezuia kimya kimya kwa aibu!! Chezea Putin weye!!
Putin ni babu alie changanyikiwa Putin nikiongozi ana wivu. Nandio maana watu wanaitafuta roho yake zaidi kuliko wadhuru warasia kwa ujinga wa Rais. Hii vita putin hatoshinda na mwisho mtasikia. Nchi za ulaya hazipo tayari kumuachia Ukraine hata yesu arudi wanajuwa kumoa Ukraine ni.wanzo wa vita vipya kwahiyo wanamzungusha wanauwa watu wake wanauwa uchumi wake mpaka ajute kuanzisha vita. Urusi baada ya vita itakuwa masikini sq0Ingawa kwa hadharani NATO bado wanajimwambafai lakini kiuhalisia wamenywea sana!!
Tangu hypersonic missile ya Urusi isambaratishe kiwanda cha kijeshi cha kutengenezea makombora/missiles, hautaisikia tena Ukraine ikiishambulia Urusi kwa kutumia makombora ya masafa marefu waliyoruhusiwa na marekani, uku na ufaransa wayatumie dhidi ya urusi!!
Waliruhusu hadharani lakini wamezuia kimya kimya kwa aibu!! Chezea Putin weye!!
Kwa bandiko hili,wewe ndio umechanganyikiwa,hata ukirudia kusoma ulichokiandika hapa,sidhani kama hata wewe mwenyewe utakielewa.Putin ni babu alie changanyikiwa Putin nikiongozi ana wivu. Nandio maana watu wanaitafuta roho yake zaidi kuliko wadhuru warasia kwa ujinga wa Rais. Hii vita putin hatoshinda na mwisho mtasikia. Nchi za ulaya hazipo tayari kumuachia Ukraine hata yesu arudi wanajuwa kumoa Ukraine ni.wanzo wa vita vipya kwahiyo wanamzungusha wanauwa watu wake wanauwa uchumi wake mpaka ajute kuanzisha vita. Urusi baada ya vita itakuwa masikini sq0
A U.S. official told Reuters that Ukraine had launched eight ATACMS missiles at the military facility, with Russian air defenses intercepting two of the missiles.Ingawa kwa hadharani NATO bado wanajimwambafai lakini kiuhalisia wamenywea sana!!
Tangu hypersonic missile ya Urusi isambaratishe kiwanda cha kijeshi cha kutengenezea makombora/missiles, hautaisikia tena Ukraine ikiishambulia Urusi kwa kutumia makombora ya masafa marefu waliyoruhusiwa na marekani, uku na ufaransa wayatumie dhidi ya urusi!!
Waliruhusu hadharani lakini wamezuia kimya kimya kwa aibu!! Chezea Putin weye!!
mkuu umeandika kimahaba sana,hayo makombora hata US anayo,China,India,kiduku ,hamna la ajabu hapo,tulitegemea putin ashambulie NATO maana alisema mwenyewe ukraine akiruhusiwa kutumia makombora ya masafa marefu kushambulia ndani ya Russia ,atakua anapigana na NATO ampige NATO basi ,hata hapo POLAND si mbaliIngawa kwa hadharani NATO bado wanajimwambafai lakini kiuhalisia wamenywea sana!!
Tangu hypersonic missile ya Urusi isambaratishe kiwanda cha kijeshi cha kutengenezea makombora/missiles, hautaisikia tena Ukraine ikiishambulia Urusi kwa kutumia makombora ya masafa marefu waliyoruhusiwa na marekani, uku na ufaransa wayatumie dhidi ya urusi!!
Waliruhusu hadharani lakini wamezuia kimya kimya kwa aibu!! Chezea Putin weye!!
Sio tu ni Mjinga, bali ana UWENDA WAZIM WA KILOKOLE!Toa ujinga wako hapa
Ataviwezaje wakati siraha zake zote kali zikiwemo nyuklia aliwakabidhi Warusi. Matokeo yake Mrusi kamsaliti UkreinKiualisia Ukraine hivi vita haviwez anategemea msada wa nato isingekuwa nato Ukraine angeshachapika kitambo urusi anapigana na nato sio Ukraine
Ukraine hana uwezo wa kipigana na Russia kazidiwa kila k2 kazidiwa kijesh kiuchumiAtaviwezaje wakati siraha zake zote kali zikiwemo nyuklia aliwakabidhi Warusi. Matokeo yake Mrusi kamsaliti Ukrein
Mafanikio ya Russia kwenye uwanja wa vita wala hayataki picha Jina la kamanda alofukuzwa tafadhaliHizo ni ndoto, matamanio, ramli au ni hadithi umesimliwa? JF inataka ulete habasi, siyo udaku.
Tatizo lako umekosa maarifa na utafiti.
KWa upande wa Urusi, hata bila ya hayo makombora ya masafa marefu, mambo siyo mazuri. Juzi Putin amemfukuza kamanda wake kwa kuwadanganya warysi kuwa kuna mafanikio makubwa kwente uwanja wa mapambano kumbe ni kinyume chake:
Russia fires commander for false claims about progress of war in Ukraine, military bloggers say.
Russia has removed a senior commander from his post for making false claims about the progress of the war in parts of eastern Ukraine, according to military bloggers and Russian media.
Colonel General Gennady Anashkin, the commander of the South Forces Group, was dismissed after providing misleading information about Russia’s progress near the Siversk settlement in the eastern region of Donetsk, according to the bloggers.
Hata Russia kasalitiwa na UkraineAtaviwezaje wakati siraha zake zote kali zikiwemo nyuklia aliwakabidhi Warusi. Matokeo yake Mrusi kamsaliti Ukrein
Non human at workYesu wa nyoko
Vita kukaa muda mrefu ni faida kwa Russia, Russia kafanya sana biashara. Kabla ya vita Russia alikua anauza pipa moja la mafuta kiasi gani na wakati wa vita, hasa baada ya jumuia ya Ulaya na Marekani kumuwekea vikwazo, anauzaje? Kafanikiwa pakubwa kuweka ufa kwenye umoja wa nchi za Ulaya and in fact kauteteresha pakubwa uhusiano wa baadhi ya mataifa ya ulaya na USA, bonge la achievement. Mataifa rafiki wa Russia kwasasa wamekua zaidi kiuchumi, kuna uzi upo humu kwamba by now, Japan inaondolewa nafasi ya 3 ya uchumi bora wa dunia na India, why India? India kafanya sana biashara na Russia wakati hu wa vita na Japan alifata mkumbo wa his fellows. Well, unajua thamani ya sarafu ya Russia ilikuaje kabla ya vita na ikoje sasa hvi? Cha mwisho (kwa mtazamo wangu ) baada ya hili kombora kurushwa, unadhani Patriots zinaweza kuendelea kugombaniwa na mataifa mengine baada ya hi failure? Or let me make this way; mfano nchi X ikitaka kununua silaha kali, baada ya hi vita, unadhani wata opt kununua silaha za West or Russia? For your information hata Iran kajenga jina sana kisilaha kupitia vita vi ya Russia with Ukraine. Kila mtu anatamani vita iishe lakini vita ni hesabu, Putin na KGB yake, walifanya risk assessment na calculation na yawezekana walijua USA atafanya nini baada ya wao kuvamia na wakajipanga, mwishoni is like USA and his allies waliingia kwa trap na imejibu.Mimi ni achoshindwa kuelewa Kwa Nini mzalendo wa Dunia putini anashindwa kuzitumia hizo silaha za ICBM Kila siku ili kupata ushindi mapema kabisa?Maana katumia maramoja tu na imeleta kuliko ulaya nzima.
Ama kwa hakika pale unapoona kenge amekubali kuwa msikivu jua kaangushiwa kitu kizito kweli kweli.Ingawa kwa hadharani NATO bado wanajimwambafai lakini kiuhalisia wamenywea sana!!
Tangu hypersonic missile ya Urusi isambaratishe kiwanda cha kijeshi cha kutengenezea makombora/missiles, hautaisikia tena Ukraine ikiishambulia Urusi kwa kutumia makombora ya masafa marefu waliyoruhusiwa na marekani, uku na ufaransa wayatumie dhidi ya urusi!!
Waliruhusu hadharani lakini wamezuia kimya kimya kwa aibu!! Chezea Putin weye!!
Jamaa haujui msemo wa "Simba Mwenda Pole Ndio Mla Nyama"! Ahahahahaha!!!Hahahaha