Kishindo cha Hypersonic Missile za Urusi: Ndani ya pazia NATO wameiogopa sana Urusi: Matokeo yake ukraine imenywea!

Kishindo cha Hypersonic Missile za Urusi: Ndani ya pazia NATO wameiogopa sana Urusi: Matokeo yake ukraine imenywea!

Kaeni hivyo hivyo Jana Ukraine kalipua mifumo ya ulinzi ya Rusia ndani ya Kursk
Mwisho wa siku tunaoathirika ni sisi..
Waache wachekelee tu matumizi ya izo mambo ..

Kazi yetu sisi ilikua ni kuomba amani kwa Mungu hii vita iishe..
 
Nafikiri ni kwasababu hana roho mbaya alafu anatambua wao ni ndugu ila wamekengeuka kwasababu ya kusikiliza majirani wenye nia mbaya
Hakuna kitu kizuri katika maisha kama kumuheshimu jirani yako, hasa nchi zikiwa jirani ni vizuri kukawa na uhusiano mwema kuliko kusuhubiana na nchi za mbali ambapo ukipata tatizo msaada wao huchelewa au vigumu kuupata.
 
Wanao waonea huruma wapalestina kuonewa na Israel ndio wanao shabikia Russia kuwaonea Ukraine

Na tatizo hapo ni mtazamo hasi walio nao watu kuhusu USA

Yaani ni kana kwamba upande wowote anaousapoti USA basi ni upande mbaya

Russia na USA wote ni wahuni tu na katika huu mzozo anayeumia kwa kiasi kikubwa ni Russia na sio USA

Na siku Putin ataka amua kama mbwai ni mbwai na akaamua kushambulia wana NATO na ikawa rasmi sasa NATO vs Russia patatokea maafa makubwa kwa WOTE lakini mwisho wa siku Putin na Russia yake watateketea
 
Ingawa kwa hadharani NATO bado wanajimwambafai lakini kiuhalisia wamenywea sana!!

Tangu hypersonic missile ya Urusi isambaratishe kiwanda cha kijeshi cha kutengenezea makombora/missiles, hautaisikia tena Ukraine ikiishambulia Urusi kwa kutumia makombora ya masafa marefu waliyoruhusiwa na marekani, uku na ufaransa wayatumie dhidi ya urusi!!

Waliruhusu hadharani lakini wamezuia kimya kimya kwa aibu!! Chezea Putin weye!!
Kiualisia Ukraine hivi vita haviwez anategemea msada wa nato isingekuwa nato Ukraine angeshachapika kitambo urusi anapigana na nato sio Ukraine
 
Putin ni babu alie changanyikiwa Putin nikiongozi ana wivu. Nandio maana watu wanaitafuta roho yake zaidi kuliko wadhuru warasia kwa ujinga wa Rais. Hii vita putin hatoshinda na mwisho mtasikia. Nchi za ulaya hazipo tayari kumuachia Ukraine hata yesu arudi wanajuwa kumoa Ukraine ni.wanzo wa vita vipya kwahiyo wanamzungusha wanauwa watu wake wanauwa uchumi wake mpaka ajute kuanzisha vita. Urusi baada ya vita itakuwa masikini sq0
 
Kwa bandiko hili,wewe ndio umechanganyikiwa,hata ukirudia kusoma ulichokiandika hapa,sidhani kama hata wewe mwenyewe utakielewa.
 
Ingawa kwa hadharani NATO bado wanajimwambafai lakini kiuhalisia wamenywea sana!!

Tangu hypersonic missile ya Urusi isambaratishe kiwanda cha kijeshi cha kutengenezea makombora/missiles, hautaisikia tena Ukraine ikiishambulia Urusi kwa kutumia makombora ya masafa marefu waliyoruhusiwa na marekani, uku na ufaransa wayatumie dhidi ya urusi!!

Waliruhusu hadharani lakini wamezuia kimya kimya kwa aibu!! Chezea Putin weye!!
A U.S. official told Reuters that Ukraine had launched eight ATACMS missiles at the military facility, with Russian air defenses intercepting two of the missiles.
 
Ingawa kwa hadharani NATO bado wanajimwambafai lakini kiuhalisia wamenywea sana!!

Tangu hypersonic missile ya Urusi isambaratishe kiwanda cha kijeshi cha kutengenezea makombora/missiles, hautaisikia tena Ukraine ikiishambulia Urusi kwa kutumia makombora ya masafa marefu waliyoruhusiwa na marekani, uku na ufaransa wayatumie dhidi ya urusi!!

Waliruhusu hadharani lakini wamezuia kimya kimya kwa aibu!! Chezea Putin weye!!
mkuu umeandika kimahaba sana,hayo makombora hata US anayo,China,India,kiduku ,hamna la ajabu hapo,tulitegemea putin ashambulie NATO maana alisema mwenyewe ukraine akiruhusiwa kutumia makombora ya masafa marefu kushambulia ndani ya Russia ,atakua anapigana na NATO ampige NATO basi ,hata hapo POLAND si mbali
 
Kiualisia Ukraine hivi vita haviwez anategemea msada wa nato isingekuwa nato Ukraine angeshachapika kitambo urusi anapigana na nato sio Ukraine
Ataviwezaje wakati siraha zake zote kali zikiwemo nyuklia aliwakabidhi Warusi. Matokeo yake Mrusi kamsaliti Ukrein
 
Hizo ni ndoto, matamanio, ramli au ni hadithi umesimliwa? JF inataka ulete habasi, siyo udaku.

Tatizo lako umekosa maarifa na utafiti.

KWa upande wa Urusi, hata bila ya hayo makombora ya masafa marefu, mambo siyo mazuri. Juzi Putin amemfukuza kamanda wake kwa kuwadanganya warysi kuwa kuna mafanikio makubwa kwente uwanja wa mapambano kumbe ni kinyume chake:

Russia fires commander for false claims about progress of war in Ukraine, military bloggers say.​

Russia has removed a senior commander from his post for making false claims about the progress of the war in parts of eastern Ukraine, according to military bloggers and Russian media.

Colonel General Gennady Anashkin, the commander of the South Forces Group, was dismissed after providing misleading information about Russia’s progress near the Siversk settlement in the eastern region of Donetsk, according to the bloggers.
Mafanikio ya Russia kwenye uwanja wa vita wala hayataki picha Jina la kamanda alofukuzwa tafadhali
 
Mimi ni achoshindwa kuelewa Kwa Nini mzalendo wa Dunia putini anashindwa kuzitumia hizo silaha za ICBM Kila siku ili kupata ushindi mapema kabisa?Maana katumia maramoja tu na imeleta kuliko ulaya nzima.
Vita kukaa muda mrefu ni faida kwa Russia, Russia kafanya sana biashara. Kabla ya vita Russia alikua anauza pipa moja la mafuta kiasi gani na wakati wa vita, hasa baada ya jumuia ya Ulaya na Marekani kumuwekea vikwazo, anauzaje? Kafanikiwa pakubwa kuweka ufa kwenye umoja wa nchi za Ulaya and in fact kauteteresha pakubwa uhusiano wa baadhi ya mataifa ya ulaya na USA, bonge la achievement. Mataifa rafiki wa Russia kwasasa wamekua zaidi kiuchumi, kuna uzi upo humu kwamba by now, Japan inaondolewa nafasi ya 3 ya uchumi bora wa dunia na India, why India? India kafanya sana biashara na Russia wakati hu wa vita na Japan alifata mkumbo wa his fellows. Well, unajua thamani ya sarafu ya Russia ilikuaje kabla ya vita na ikoje sasa hvi? Cha mwisho (kwa mtazamo wangu ) baada ya hili kombora kurushwa, unadhani Patriots zinaweza kuendelea kugombaniwa na mataifa mengine baada ya hi failure? Or let me make this way; mfano nchi X ikitaka kununua silaha kali, baada ya hi vita, unadhani wata opt kununua silaha za West or Russia? For your information hata Iran kajenga jina sana kisilaha kupitia vita vi ya Russia with Ukraine. Kila mtu anatamani vita iishe lakini vita ni hesabu, Putin na KGB yake, walifanya risk assessment na calculation na yawezekana walijua USA atafanya nini baada ya wao kuvamia na wakajipanga, mwishoni is like USA and his allies waliingia kwa trap na imejibu.
Yote nimeandika kwa mtazamo wangu baada ya kuifatilia vita hi kwa muda kidogo, findings zangu zime base kwa matukio na matokeo nilioyaona
 
Ingawa kwa hadharani NATO bado wanajimwambafai lakini kiuhalisia wamenywea sana!!

Tangu hypersonic missile ya Urusi isambaratishe kiwanda cha kijeshi cha kutengenezea makombora/missiles, hautaisikia tena Ukraine ikiishambulia Urusi kwa kutumia makombora ya masafa marefu waliyoruhusiwa na marekani, uku na ufaransa wayatumie dhidi ya urusi!!

Waliruhusu hadharani lakini wamezuia kimya kimya kwa aibu!! Chezea Putin weye!!
Ama kwa hakika pale unapoona kenge amekubali kuwa msikivu jua kaangushiwa kitu kizito kweli kweli.
 
Back
Top Bottom