Kesho ni kuhakikisha Simu ina bando la kutosha na Power bank kama backup ya chajiBunge la seneti la Marekani kesho linatarajia kukaa na kuujadili mswada kuhusu mahusiano yetu na Marekani.
Makamu wa Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania wapo huko kujaribu kubadilisha upepo.
Kwa mujibu wa chapisho la The Africa Report, chini ya kichwa cha habari, "US-Africa Week Ahead: Tanzanian overture, Sudan sanctions and Nigerian rally." Limeandika,
Hii ni safari ya pili ya Kombo katika mji mkuu wa Marekani tangu ghasia za mauaji kuzuka karibu na uchaguzi wa Oktoba wenye utata.
Ziara hiyo inakuja wakati Marekani imekuwa ikiongeza shinikizo kwa Dar es Salaam kubadili uasi wake wa kidemokrasia.
Kesho Jumatano, Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni imepangwa kuchukua hatua ya "kutathmini upya Sheria ya Uhusiano wa Nchi Baina ya Marekani na Tanzania".
Mswada huo, uliofadhiliwa na Jeanne Shaheen (Dem) wa New Hampshire na Ted Cruz (Rep) wa Texas, unatoa wito kwa utawala wa Donald Trump kuunga mkono yafuatayo;
1. Uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu ghasia za kabla na baada ya uchaguzi.
2. Mageuzi ya sheria za uchaguzi.
3. Uwajibikaji kwa wahusika wa vurugu.
4. Kuachiliwa kwa viongozi wa upinzani.
5. Kukomesha vitisho vya kisiasa, utekaji na udhibiti wa waandishi wa habari na wanaharakati
6. Vikwazo kwa viongozi waandamizi wa serikali na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jeshi la Polisi Tanzania, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, na Jeshi la Ujasusi na Usalama la Tanzania.
Hawa wahuni waliungana Republic na Democratic?Mswada huo, uliofadhiliwa na Jeanne Shaheen (Dem) wa New Hampshire na Ted Cruz (Rep) wa Texas, unatoa wito kwa utawala wa Donald Trump kuunga mkono yafuatayo;
Wkesho chadema lazima wangukie pua wallah
makubaliano vita vya irani yamefika tamati upinzani kaeni mkao wa kulaMlisema vikwazo vimelegezwa Sasa kinawaliza nini Kwa akina Wu AA uu.?
W
Wanapoteza muda. Ni rahisi kubadilisha uelekeo wa Trump (mtu wa transactions) kuliko kubadilisha uelekeo wa Senate!Bunge la seneti la Marekani kesho linatarajia kukaa na kuujadili mswada kuhusu mahusiano yetu na Marekani.
Makamu wa Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania wapo huko kujaribu kubadilisha upepo.
Kwa mujibu wa chapisho la The Africa Report, chini ya kichwa cha habari, "US-Africa Week Ahead: Tanzanian overture, Sudan sanctions and Nigerian rally." Limeandika,
Hii ni safari ya pili ya Kombo katika mji mkuu wa Marekani tangu ghasia za mauaji kuzuka karibu na uchaguzi wa Oktoba wenye utata.
Ziara hiyo inakuja wakati Marekani imekuwa ikiongeza shinikizo kwa Dar es Salaam kubadili uasi wake wa kidemokrasia.
Kesho Jumatano, Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni imepangwa kuchukua hatua ya "kutathmini upya Sheria ya Uhusiano wa Nchi Baina ya Marekani na Tanzania".
Mswada huo, uliofadhiliwa na Jeanne Shaheen (Dem) wa New Hampshire na Ted Cruz (Rep) wa Texas, unatoa wito kwa utawala wa Donald Trump kuunga mkono yafuatayo;
1. Uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu ghasia za kabla na baada ya uchaguzi.
2. Mageuzi ya sheria za uchaguzi.
3. Uwajibikaji kwa wahusika wa vurugu.
4. Kuachiliwa kwa viongozi wa upinzani.
5. Kukomesha vitisho vya kisiasa, utekaji na udhibiti wa waandishi wa habari na wanaharakati
6. Vikwazo kwa viongozi waandamizi wa serikali na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jeshi la Polisi Tanzania, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, na Jeshi la Ujasusi na Usalama la Tanzania.
AmenMungu wabariki mabeberu.
ndio msingi mama wa 4R hivyo sinashakaWazungu wana huruma sana
Kama amekwensa kweli ni Yuda ISKARIOT"Yuda" naye anahusikaje tena huko au ndo anafanya "U-Yuda" wenyewe?
Kamati ya mambo ya nje inawasilisha mapendekezo yake kuliomba bunge liridhie.Ni kamati au Bunge zima?
Yule mama WHO ARE YOU?ndio msingi mama wa 4R hivyo sinashaka
ππππππππMungu wabariki mabeberu.