Kishindo cha vikwazo kesho, Nchimbi na Kombo wapo Marekani, Samia yupo Dubai

Haya matapeli na majambazi ya kisiasa yaminywe mpaka yateme bungo na senate tunawaomba msiwalegezee hawa kwakuwa watajiona wameshinda na watatutesa kweli kweli imagine tumefikia HATUA tunawaamini wazungu kuliko haya majambazi yanayoteka watu.
 
Bunge la seneti la Marekani kesho linatarajia kukaa na kuujadili mswada kuhusu mahusiano yetu na Marekani.

Makamu wa Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania wapo huko kujaribu kubadilisha upepo.

Kwa mujibu wa chapisho la The Africa Report, chini ya kichwa cha habari, "US-Africa Week Ahead: Tanzanian overture, Sudan sanctions and Nigerian rally." Limeandika,

Hii ni safari ya pili ya Kombo katika mji mkuu wa Marekani tangu ghasia za mauaji kuzuka karibu na uchaguzi wa Oktoba wenye utata.

Ziara hiyo inakuja wakati Marekani imekuwa ikiongeza shinikizo kwa Dar es Salaam kubadili uasi wake wa kidemokrasia.

Kesho Jumatano, Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni imepangwa kuchukua hatua ya "kutathmini upya Sheria ya Uhusiano wa Nchi Baina ya Marekani na Tanzania".

Mswada huo, uliofadhiliwa na Jeanne Shaheen (Dem) wa New Hampshire na Ted Cruz (Rep) wa Texas, unatoa wito kwa utawala wa Donald Trump kuunga mkono yafuatayo;

1. Uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu ghasia za kabla na baada ya uchaguzi.
2. Mageuzi ya sheria za uchaguzi.
3. Uwajibikaji kwa wahusika wa vurugu.
4. Kuachiliwa kwa viongozi wa upinzani.
5. Kukomesha vitisho vya kisiasa, utekaji na udhibiti wa waandishi wa habari na wanaharakati

6. Vikwazo kwa viongozi waandamizi wa serikali na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jeshi la Polisi Tanzania, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, na Jeshi la Ujasusi na Usalama la Tanzania.
Gentleman,
hakuna jambo la kushangaza kutoka Marekani dhidi ya taifa letu, na wala hakuna jambo lenye athari kwa uhuru wa Tanzania na mambo yake ya ndani.

Ziara za viongozi wetu wa kitaifa katika nchi na mataifa mbalimbali duniani ni za kawaida na zitaendelea kufanyika kadiri inavyowezekana inafaa.

wafuata mkumbo mtasubiri sana na porojo mnazo danganyana na kupotoshana wenyewe kwa wenyewe hazina maana yoyote 🐒
 
NASHAURI DR. JAKAYA KIKWETE AENDE KUONGEZA NGUVU HUKO,BINGWA WA DIPLOMASIA,WATATEPETA TU,LAZIMA,AND NO WAY OUT.
 
Kama hoja zitakuwa ndio hizo , Kuna Mtu M*vi yatagonga PICHU mapema mno
 
Wazungu Wana namna yao ya kutatrua matatizo sio kwa hasira
Hivi Nchimbi anao ushawishi gani. Kuna anayejuwa alichowahi kukisimamia na kushawishi wengine wakubali?

Huyo Kombo ni tapeli tu; kajaa ulaghai kama ilivyo kawaida ya jamii hiyo.

Kichwa cha mada kinasema "Samia yupo Dubai"; lakini wachangiaji wote wameelekeza akili zao Marekani na kusahau biashara inayo,mmpeleka Samia Dubai kwa mara nyingine tena katika muda mfupi tu tokea afanye ujambazi wa kunyakuwa madaraka na kuua waTanzania.

Inaonekana Dubai kuna biashara nzuri kwake.

Lakini tatizo linaweza kuwa ni huo msukosuko wa Iran ukawa nafuu kwa bidhaa sisi!
 
Maza ameingia cha kike baada ya safari yake kule Russia...
Huyu Maza ni bonge la kiazi unaendaje Russia kipindi hiki nchi IPO kwenye uvuli wa mauti?
Yaani "Zena" ni mjinga sana. Mimi nadhani kuna mtu nyuma ya pazia anayeendesha nchi. Si kwa akili hizi za Zena
 
NASHAURI DR. JAKAYA KIKWETE AENDE KUONGEZA NGUVU HUKO,BINGWA WA DIPLOMASIA,WATATEPETA TU,LAZIMA,AND NO WAY OUT.
Ina maana kuna jambo mnahofu nalo, mbona unapingana na mwenzio hapo juu uliyempa "mapenzi" kwa mchango wake.

Mmechanganyikiwa?
Gentleman,
hakuna jambo la kushangaza kutoka Marekani dhidi ya taifa letu, na wala hakuna jambo lenye athari kwa uhuru wa Tanzania na mambo yake ya ndani.

Ziara za viongozi wetu wa kitaifa katika nchi na mataifa mbalimbali duniani ni za kawaida na zitaendelea kufanyika kadiri inavyowezekana inafaa.

wafuata mkumbo mtasubiri sana na porojo mnazo danganyana na kupotoshana wenyewe kwa wenyewe hazina maana yoyote 🐒
 
Ahsante US....tunataka huyu bibi aondoke madarakani mara moja......Na waliohusika na mauaji wachukuliwe hatua mara moja
Usisahau, kazi kubwa ni yetu sisi; hao jamaa wanasaidia tu wanapoweza kusaidia.

Vinginevyo, huo mswada hata upite, Samia ataendelea kudunda tu hadi 2030 na kumwachia atakayelinda maslahi yake na usalama wake katika ustaafu.

Huo mswada uwe kichocheo cha 7/7 na kuelekea kwenye kumaliza kazi ya kusafisha nchi yetu.
 
Back
Top Bottom