Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Hahaha mission failedVp Marekani akiamua kuachana na huo mswada mtajisikiaje!

Nimetunza ushubwada wako labda ufute accountkesho chadema lazima wangukie pua wallah
Hahaha we jamaaNimetunza ushubwada wako labda ufute account View attachment 3609531
Hahah mpaka unapigwa ban unakuwa huko ukifanya njni?Ukipigwa ban ya kuingia Marekani huku upo huko inakuaje?😀
Ukipigwa ban ya kuingia Marekani huku upo huko inakuaje?😀
Kamati ilikaa lini ???Kamati ya mambo ya nje inawasilisha mapendekezo yake kuliomba bunge liridhie.
Viongozi wa Tanzania ni mambumbu sana ishu ndogo tu badili katiba weka tume huru ya uchaguzi,mgogoro kwisha!Bunge la seneti la Marekani kesho linatarajia kukaa na kuujadili mswada kuhusu mahusiano yetu na Marekani.
Makamu wa Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania wapo huko kujaribu kubadilisha upepo.
Kwa mujibu wa chapisho la The Africa Report, chini ya kichwa cha habari, "US-Africa Week Ahead: Tanzanian overture, Sudan sanctions and Nigerian rally." Limeandika,
Hii ni safari ya pili ya Kombo katika mji mkuu wa Marekani tangu ghasia za mauaji kuzuka karibu na uchaguzi wa Oktoba wenye utata.
Ziara hiyo inakuja wakati Marekani imekuwa ikiongeza shinikizo kwa Dar es Salaam kubadili uasi wake wa kidemokrasia.
Kesho Jumatano, Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni imepangwa kuchukua hatua ya "kutathmini upya Sheria ya Uhusiano wa Nchi Baina ya Marekani na Tanzania".
Mswada huo, uliofadhiliwa na Jeanne Shaheen (Dem) wa New Hampshire na Ted Cruz (Rep) wa Texas, unatoa wito kwa utawala wa Donald Trump kuunga mkono yafuatayo;
1. Uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu ghasia za kabla na baada ya uchaguzi.
2. Mageuzi ya sheria za uchaguzi.
3. Uwajibikaji kwa wahusika wa vurugu.
4. Kuachiliwa kwa viongozi wa upinzani.
5. Kukomesha vitisho vya kisiasa, utekaji na udhibiti wa waandishi wa habari na wanaharakati
6. Vikwazo kwa viongozi waandamizi wa serikali na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jeshi la Polisi Tanzania, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, na Jeshi la Ujasusi na Usalama la Tanzania.
Aiseebila kuondokana na unyonge wa kiuchumi,
gentleman utaendelea kua mfuata mkumbo mwenyewe fikra nonsense na mihemko useless kama ambavyo uko nayo sasa hivi, na itakua hivyo maisha yako yote, bila kua na kitu cha kukukomboa kiuchumi 🐒
C mlisema wamefungiwa amaBunge la seneti la Marekani kesho linatarajia kukaa na kuujadili mswada kuhusu mahusiano yetu na Marekani.
Makamu wa Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania wapo huko kujaribu kubadilisha upepo.
Kwa mujibu wa chapisho la The Africa Report, chini ya kichwa cha habari, "US-Africa Week Ahead: Tanzanian overture, Sudan sanctions and Nigerian rally." Limeandika,
Hii ni safari ya pili ya Kombo katika mji mkuu wa Marekani tangu ghasia za mauaji kuzuka karibu na uchaguzi wa Oktoba wenye utata.
Ziara hiyo inakuja wakati Marekani imekuwa ikiongeza shinikizo kwa Dar es Salaam kubadili uasi wake wa kidemokrasia.
Kesho Jumatano, Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni imepangwa kuchukua hatua ya "kutathmini upya Sheria ya Uhusiano wa Nchi Baina ya Marekani na Tanzania".
Mswada huo, uliofadhiliwa na Jeanne Shaheen (Dem) wa New Hampshire na Ted Cruz (Rep) wa Texas, unatoa wito kwa utawala wa Donald Trump kuunga mkono yafuatayo;
1. Uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu ghasia za kabla na baada ya uchaguzi.
2. Mageuzi ya sheria za uchaguzi.
3. Uwajibikaji kwa wahusika wa vurugu.
4. Kuachiliwa kwa viongozi wa upinzani.
5. Kukomesha vitisho vya kisiasa, utekaji na udhibiti wa waandishi wa habari na wanaharakati
6. Vikwazo kwa viongozi waandamizi wa serikali na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jeshi la Polisi Tanzania, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, na Jeshi la Ujasusi na Usalama la Tanzania.
Kwa hiyo hapo Dubai, ndio atafanya video link au kumuomba Emir, aonge na USABunge la seneti la Marekani kesho linatarajia kukaa na kuujadili mswada kuhusu mahusiano yetu na Marekani.
Makamu wa Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania wapo huko kujaribu kubadilisha upepo.
Kwa mujibu wa chapisho la The Africa Report, chini ya kichwa cha habari, "US-Africa Week Ahead: Tanzanian overture, Sudan sanctions and Nigerian rally." Limeandika,
Hii ni safari ya pili ya Kombo katika mji mkuu wa Marekani tangu ghasia za mauaji kuzuka karibu na uchaguzi wa Oktoba wenye utata.
Ziara hiyo inakuja wakati Marekani imekuwa ikiongeza shinikizo kwa Dar es Salaam kubadili uasi wake wa kidemokrasia.
Kesho Jumatano, Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni imepangwa kuchukua hatua ya "kutathmini upya Sheria ya Uhusiano wa Nchi Baina ya Marekani na Tanzania".
Mswada huo, uliofadhiliwa na Jeanne Shaheen (Dem) wa New Hampshire na Ted Cruz (Rep) wa Texas, unatoa wito kwa utawala wa Donald Trump kuunga mkono yafuatayo;
1. Uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu ghasia za kabla na baada ya uchaguzi.
2. Mageuzi ya sheria za uchaguzi.
3. Uwajibikaji kwa wahusika wa vurugu.
4. Kuachiliwa kwa viongozi wa upinzani.
5. Kukomesha vitisho vya kisiasa, utekaji na udhibiti wa waandishi wa habari na wanaharakati
6. Vikwazo kwa viongozi waandamizi wa serikali na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jeshi la Polisi Tanzania, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, na Jeshi la Ujasusi na Usalama la Tanzania.
Bunge la seneti la Marekani kesho linatarajia kukaa na kuujadili mswada kuhusu mahusiano yetu na Marekani.

C mlisema wamefungiwa ama
Watakwenda Oman, UAE, Qatar, Saudia, Urusi,, China, na sehemu nyingine nyingi tu.TUTAKUWEPO kuhakikisha viongozi waandamizi wa CCM wanapigwa marufuku kukanyaga marekani na west Europe.
Hasta la Vista sempre.
Ungefanya vizuri zaidi hizo kuwaombea wazazi wako.Mungu wabariki mabeberu.
"...maongezi ya kihekima..."; lugha zilezile za kilaghai!Vita ni vita mura,shetani atagongwa na kila aina ya rungu,hatuna shaka na lolote,lakini ikihitajika maongezi ya kihekima pia yawepo!...(Waswahili hatushindwi jambo)
Jk ni sababu ya magu kuwa ChatoJk hajawahi shindwa mission
Wewe Samia ndiye mzazi wako?Ungefanya vizuri zaidi hizo kuwaombea wazazi wako.
Hao ndio watu pekee wenye mapendo ya kweli na wewe.
Huko kwingine unajijaza upepo