HapanaWewe Samia ndiye mzazi wako?
Inamaana hata swali dogo tu huna uwezo wa kulisoma na kulielewa, ili ujibu ipasavyo?Hapana
Ni mzazi wako
Ndiyo sina stadi za kusoma kwa ufahamu.Inamaana hata swali dogo tu huna uwezo wa kulisoma na kulielewa, ili ujibu ipasavyo?
Chadema wapo senate? 😂😂kesho chadema lazima wangukie pua wallah
Mzoga unaotoa mvundo utaachaje kukera?Ndiyo sina stadi za kusoma kwa ufahamu.
Endelea na mission zako kabla sijakukera.
Sawa mamitoMzoga unaotoa mvundo utaachaje kukera?
Hizi ni aina ya harufu mbaya itokanayo na uozo wa mzoga!Sawa mamito
Endelea kuukalia mshedede.
Nikimwaga uniimbie ule wimbo wako mpya wa taarabu
Sawa mamitoHizi ni aina ya harufu mbaya itokanayo na uozo wa mzoga!
Kabla hujawa mzoga ulifugwa kama nguruwe, uliyelishwa masalia ya chakula ya Samia Suluhu Hassan. Ulichobaki nacho sasa ni huo mvundo tu wa harufu kali, huku mapaka na mbwa wa mitaani wakishambulia mzoga wako.bila kuondokana na unyonge wa kiuchumi,
gentleman utaendelea kua mfuata mkumbo mwenyewe fikra nonsense na mihemko useless kama ambavyo uko nayo sasa hivi, na itakua hivyo maisha yako yote, bila kua na kitu cha kukukomboa kiuchumi 🐒
Mizoga yote tutaikusanya na kuichoma moto, hiyo ndiyo hatua itanayofuata.Sawa mamito
Endelea kuukalia mshedede.
Nikimwaga uniimbie ule wimbo wako mpya wa taarabu
Madaktari wa changamoto ya Afya ya akili kuna mteja wenu hapa miss KalamuMizoga yote tutaikusanya na kuichoma moto, hiyo ndiyo hatua itanayofuata.
Rabaika ni taarifa ya faraja kwa wale waliopoteza watoto waoBunge la seneti la Marekani kesho linatarajia kukaa na kuujadili mswada kuhusu mahusiano yetu na Marekani.
Makamu wa Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania wapo huko kujaribu kubadilisha upepo.
Kwa mujibu wa chapisho la The Africa Report, chini ya kichwa cha habari, "US-Africa Week Ahead: Tanzanian overture, Sudan sanctions and Nigerian rally." Limeandika,
Hii ni safari ya pili ya Kombo katika mji mkuu wa Marekani tangu ghasia za mauaji kuzuka karibu na uchaguzi wa Oktoba wenye utata.
Ziara hiyo inakuja wakati Marekani imekuwa ikiongeza shinikizo kwa Dar es Salaam kubadili uasi wake wa kidemokrasia.
Kesho Jumatano, Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni imepangwa kuchukua hatua ya "kutathmini upya Sheria ya Uhusiano wa Nchi Baina ya Marekani na Tanzania".
Mswada huo, uliofadhiliwa na Jeanne Shaheen (Dem) wa New Hampshire na Ted Cruz (Rep) wa Texas, unatoa wito kwa utawala wa Donald Trump kuunga mkono yafuatayo;
1. Uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu ghasia za kabla na baada ya uchaguzi.
2. Mageuzi ya sheria za uchaguzi.
3. Uwajibikaji kwa wahusika wa vurugu.
4. Kuachiliwa kwa viongozi wa upinzani.
5. Kukomesha vitisho vya kisiasa, utekaji na udhibiti wa waandishi wa habari na wanaharakati
6. Vikwazo kwa viongozi waandamizi wa serikali na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jeshi la Polisi Tanzania, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, na Jeshi la Ujasusi na Usalama la Tanzania.
Huyu mzee siku akafa yamkini watu watashangalia sana sana.Jk ni sababu ya magu kuwa Chato
Shangwe ya zaidi ya kifo cha JeipiemuHuyu mzee siku akafa yamkini watu watashangalia sana sana.
Pole umeishiwa. Unajitahidi kurudiaridia angalau boss akuone
Haiwezekani kila kitu cha WIZI na UFISADI atajwe yeye tu. Haiwezi kuwa anasingiziwa.Shangwe ya zaidi ya kifo cha Jeipiemu
Watz ni watu wa mizahaNi kweli kwamba Mataifa ya kigeni yanaweza kusaidia kutokomeza udhalimu Nchini, lakini ukweli ni kwamba, Ukombozi kamili wa Nchi hii au Nchi yoyote ile utaletwa na Wananchi wenyewe kwa KUJITOA SADAKA BILA KUJIBAKIZA.
Mfano, wanapatikana watu hata angalau 500,000 hivi Nchi nzima, wakasema kwa kumaanisha haswa kwamba "sisi tupo tayari kufa iwe hadharani au si hadharani kwa ajili ya Taifa letu". Wakaorodhesha majina yao na kuyapeleka kwenye Taasisi, Asasi, Mashirika na Jumuiya zote za kitaifa na kimataifa, wakaeleza lengo lao kuu kwamba, ifikapo tarehe fulani sisi tutakuwa tayari kwa lolote lile kama Haki haitakuwa imepatikana. Na wakawa kitu kimoja mwanzo mpaka mwisho, tena wasibebe hata jiwe wala wasilete fujo yoyote, lakini kwa Umoja tu huo unadhani mambo hayatabadilika?
Mimi naamini mambo yatabadilika ghafla na Haki itapatikana.
Na akipotea hata mmoja tu kati yao, itaeleweka tu kwa sababu majina yao yote yatakuwa Duniani kote.
unaheshimika kweli hata kwa wadogo zako nyumbani au hua unaficha hizi fikra zako nonsense hivi gentleman? 🤣Kabla hujawa mzoga ulifugwa kama nguruwe, uliyelishwa masalia ya chakula ya Samia Suluhu Hassan. Ulichobaki nacho sasa ni huo mvundo tu wa harufu kali, huku mapaka na mbwa wa mitaani wakishambulia mzoga wako.
Siku siyo nyingi yote haya tutayaacha nyuma kama taifa lenye heshima tena miongoni mwa mataifa mengine.