Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Jk hajawahi shindwa missionkesho chadema lazima wangukie pua wallah
Jk hajawahi shindwa missionkesho chadema lazima wangukie pua wallah
acheni kushupaza shingo mtadondoka kama majani makavu juu ya miti nduguYule mama WHO ARE YOU?
Una maana?!😂😆😄😍😎😃😂😆
Ndiyo Maana Dodoma Wabunge Wa Tanganyika
Wanaipigania Nchi Yao
Kamati ya mambo ya nje inawasilisha mapendekezo yake kuliomba bunge liridhie.
Natamani nipate link yakuangalia hilonbunge la senetiBunge la seneti la Marekani kesho linatarajia kukaa na kuujadili mswada kuhusu mahusiano yetu na Marekani.
Makamu wa Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania wapo huko kujaribu kubadilisha upepo.
Kwa mujibu wa chapisho la The Africa Report, chini ya kichwa cha habari, "US-Africa Week Ahead: Tanzanian overture, Sudan sanctions and Nigerian rally." Limeandika,
Hii ni safari ya pili ya Kombo katika mji mkuu wa Marekani tangu ghasia za mauaji kuzuka karibu na uchaguzi wa Oktoba wenye utata.
Ziara hiyo inakuja wakati Marekani imekuwa ikiongeza shinikizo kwa Dar es Salaam kubadili uasi wake wa kidemokrasia.
Kesho Jumatano, Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni imepangwa kuchukua hatua ya "kutathmini upya Sheria ya Uhusiano wa Nchi Baina ya Marekani na Tanzania".
Mswada huo, uliofadhiliwa na Jeanne Shaheen (Dem) wa New Hampshire na Ted Cruz (Rep) wa Texas, unatoa wito kwa utawala wa Donald Trump kuunga mkono yafuatayo;
1. Uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu ghasia za kabla na baada ya uchaguzi.
2. Mageuzi ya sheria za uchaguzi.
3. Uwajibikaji kwa wahusika wa vurugu.
4. Kuachiliwa kwa viongozi wa upinzani.
5. Kukomesha vitisho vya kisiasa, utekaji na udhibiti wa waandishi wa habari na wanaharakati
6. Vikwazo kwa viongozi waandamizi wa serikali na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jeshi la Polisi Tanzania, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, na Jeshi la Ujasusi na Usalama la Tanzania.
Wanataka madini na gesi haoWazungu wana huruma sana
Kama Bandari mmewauzia Waarab mnaogopa nini kuuza hiyo gesi?Wanataka madini na gesi hao
Keshapewa Mrusi.Wanataka madini na gesi hao
Hawashindwi hawa wehu wapo radhi kuuza kila kitu ili wao wabaki salama manina zaooooKama Bandari mmewauzia Waarab mnaogopa nini kuuza hiyo gesi?
Wazungu Wana namna yao ya kutatrua matatizo sio kwa hasiraWamekwenda kuwatongoza wazungu ili wawahonge Mbuga za wanyama + migodi ya madini+ uranium
Cause tukisema wamekwenda kujitetea hawawezi kujitetea Bure tu wakati Dunia nzima umeona kuwa wame massacre watu , so hapo lazima Nchi yetu iuzwe tu ili kuficha uovu wao
Wazungu mbele ya Hela wakipewa natural resources tu lazima wakaushe 🤣Wazungu Wana namna yao ya kutatrua matatizo sio kwa hasira
DuuhWazungu mbele ya Hela wakipewa natural resources tu lazima wakaushe 🤣
Milard AyoNatamani nipate link yakuangalia hilonbunge la seneti
Kesho Jumatano, Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni imepangwa kuchukua hatua ya "kutathmini upya Sheria ya Uhusiano wa Nchi Baina ya Marekani na Tanzania".Bunge la seneti la Marekani kesho linatarajia kukaa na kuujadili mswada kuhusu mahusiano yetu na Marekani.