Kishindo cha vikwazo kesho, Nchimbi na Kombo wapo Marekani, Samia yupo Dubai

Natamani nipate link yakuangalia hilonbunge la seneti
 
Wamekwenda kuwatongoza wazungu ili wawahonge Mbuga za wanyama + migodi ya madini+ uranium

Cause tukisema wamekwenda kujitetea hawawezi kujitetea Bure tu wakati Dunia nzima umeona kuwa wame massacre watu , so hapo lazima Nchi yetu iuzwe tu ili kuficha uovu wao
 
Wazungu Wana namna yao ya kutatrua matatizo sio kwa hasira
 
Na Yuda naye ni wale wale tu. Kashindwa kumshawishi Samia afanye simple reforms kama kuacha kuwaandama wapinzani aweze kuwashawishi senate ya Marekani? Yaani uende ukampige sound senetor wa Marekani akuamini huku kesi ya Lissu ikiahirishwa kwasababu za kijinga.
 
Kesho Jumatano, Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni imepangwa kuchukua hatua ya "kutathmini upya Sheria ya Uhusiano wa Nchi Baina ya Marekani na Tanzania".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…